Anahitajika Afisa Mikopo elimu iwe diploma au degree, intern pia katika fani ya microfinance anahitajika mmoja au wawili

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Anahitajika Afisa Mikopo elimu iwe diploma au degree, intern pia katika fani ya microfinance anahitajika mmoja au wawili, anaye hitaji kazi hii natakiwa awe anaishi Meru au mpakani mwa Arusha na Moshi au Wilaya ya Hai maeneo ya Bomangombe. Intern anahitajika mmoja au wawili katika fani hiyo, kazi inaanza haraka iwezekanavyo, maeneo ya kazi ni Kikatiti Wilaya ya Meru au Arusha mjini.

Maombi yote yaelekezwe kwa email: gevafinances@gmail.com au piga sim kwenda 0767712576 kwa maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom