Kuna binti nilimuonesha nia ya kumtaka kimapenzi ila sikumtongoza, tangu hapo akiniona unanikimbia

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,688
Kuna binti nlimwonesha dalili ya kumtaka Kimapenzi, ila sikumtongoza direct, kaishia kunitangaza kwa rafiki zake kuwa namtaka, Hajawahi kunikosea chochote na mm sijawahi kumkosea chochote, nashangaa sahiv tukikutana anabadilisha njia tusionane, au saa ingine akiniona anakimbia kabisa..Yani Nlivvoona ananikimbia nikaona akili hana kabisa Yani kichwani yuko sifuri..kapishana na gari la mshahara.

Kuna Baadhi ya wadada hawana akili kabisa.
 
Kuna binti nlimwonesha dalili ya kumtaka Kimapenzi, ila sikumtongoza direct, kaishia kunitangaza kwa rafiki zake kuwa namtaka, Hajawahi kunikosea chochote na mm sijawahi kumkosea chochote, nashangaa sahiv tukikutana anabadilisha njia tusionane, au saa ingine akiniona anakimbia kabisa..Yani Nlivvoona ananikimbia nikaona akili hana kabisa Yani kichwani yuko sifuri..kapishana na gari la mshahara

Kuna Baadhi ya wadada hawana akili kabisa.
"Yani binti nimekuzidi umri, urefu, elimu, exposure, pesa, halafu ukiniona unanikimbia?"

Amekimbia au ametibua mchongo kabla hujaweka mambo wazi.
 
Inafurahsha sanaaa et "nmekuzd umr mara urefu mara elim mara pesa" inaskitsha sana wanaume weng wanahs kuwa na hvyo vtu ndo kutokukataliwa 🤣🤣🤣🤣 mapenz n zaid ya hvyo​
 
Ukichimba fresh Lazima kuna sababu. Wakati fulani ni zaidi ya ulivyotaja.
 
Kuna binti nlimwonesha dalili ya kumtaka Kimapenzi, ila sikumtongoza direct, kaishia kunitangaza kwa rafiki zake kuwa namtaka, Hajawahi kunikosea chochote na mm sijawahi kumkosea chochote, nashangaa sahiv tukikutana anabadilisha njia tusionane, au saa ingine akiniona anakimbia kabisa..Yani Nlivvoona ananikimbia nikaona akili hana kabisa Yani kichwani yuko sifuri..kapishana na gari la mshahara

Kuna Baadhi ya wadada hawana akili kabisa.
Sikiliza vizuri huu wimbo wa DDC Mlimani Park.

Unaambiwa usitumie pesa kama fimbo, mambo ya pesa hutaka makubaliano, hapo ndipo pesa huwa na thamani.

Inafurahsha sanaaa et "nmekuzd umr mara urefu mara elim mara pesa" inaskitsha sana wanaume weng wanahs kuwa na hvyo vtu ndo kutokukataliwa mapenz n zaid ya hvyo​
Ni kweli lakin siyo kwa wanawake wakibongo uki watongoza Wana angalia ume vaaje je ume pendeza na shida zao Uta weza kuzitatua, Wana tabia ya kuuliza je utaweza kuni hudumia
 
Naona unajifariji kwa myth mbalimbali at blah blah any way sio liziki jaribu na kale kaa mtaa wa pili tuone
 
Back
Top Bottom