OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,244
103,937

Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?

Bonus šŸ¤£šŸ¤£
 
Hawa ndio wanadhalilisha mtu Kuwa na Ph.D; kwasababu hawaendani na heshima ya kisomo cha kiwango hicho!!! Hii ndio hasara ya kusoma degree ya kwanza mpaka kutunukiwa Ph.D Chuo kimoja[ UDSM}!!!! Wengi wa namna hii wanapata taabu sana kwa kukosa exposure!!!
Kungekuwa na utaratibu mtu akichaguliwa kuwa tutorial assistant basi apelekwe nje angalau kwa miaka miwili aka-brush kimalkia chake!
 
Back
Top Bottom