Tutazame goverment school za Kenya kwanza. Tulinganishe na zetu kabla hatujajadili ubora wa elimu yetu

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,516
Habari wadau.

Video ya wanafunzi wa shule ya serikali Kenya waki have fun kucheza wimbo wa jerusalem

Binafsi nimeitizama sijavutiwa na style za kucheza. Bali mazingira ya shule yenyewe kuanzia madarasa, church la shule, viwanja vya michezo etc etc. Ni shule ya serikali kama ilivyo mzumbe, etc.

Binafsi naikubali sana kibaha secondary ila nimetazama video za shule za serikali za kenya youtube. Nikaona hatupo serious kwa kweli kwenye elimu

Bongo sizani kama kuna shule zenye mazingira haya hata hizo za private zinasubiri nyingi.

Kenya shule zao za serikali za high school wanaziita national schools . Ni balaaa
 
Sijui hata niandike nini.
 
Back
Top Bottom