elimu

  1. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

    Kuna sakata linaendelea chinichini juu ya baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoendelea na masomo (continuous) kuongezewa Ada,ama kupunguziwa MA(Boom) ,Sasa bodi ya mikopo iweke wazi kuondoa mianya ya rushwa na upigaji wa Ela za wanafunzi!!
  2. J

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAMISEMI ingilieni kati sakata la walimu kutapeliwa na Afisa Elimu wao huko Katavi

    Walimu waliofanya kazi ya kusahihisha Mtihani wa Kidato cha Nne Kanda ya Nyanda za Juu mwezi Julai mwaka 2022 hawajalipwa pesa yao hadi leo na wamekuwa wakipewa ahadi hewa na bosi wao ambaye ni Afisa Elimu wa Mkoa wa Katavi. TAMISEMI wasaidieni walimu walipwe haki yao maana inaonekana kama bosi...
  3. adriz

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi maalumu kuhusu sintofahamu katika utoaji wa Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu

    Habari za muda huu wana Jf . Mimi kama mdau wa maswala ya elimu hapa Tz hilo suala nimeliona kubwa ,muhimu na linapaswa kupatiwa ufumbuzi. Nimepitia nyuzi mbalimbali humu ,maoni ya wadau ,wanafunzi na utafiti wangu binafsi nimegundua kuwa kuna malalamiko makubwa katika utoaji mikopo kwa...
  4. Hagwila

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nyagabona ni Afisa Elimu Taaluma (W) mla rushwa wilayani Magu

    Ingekuwa ni amri yangu; huyu Afisa Elimu Taaluma (W) Magu angeondolewa mara moja kwa sababu ni mla rushwa aliyekithiri na ayependelea waalimu wa kabila lake (Wajita). Amekula fedha kwa walimu wengi sana aliowaahidi kuwapa ualimu mkuu (hao nao wanastahili kushughulikiwa kwa sababu kutoa rushwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kuna uhitaji mkubwa wa elimu ya uandaaji wa mbolea ya asili

    Habari za wakati huu watanzania wenzangu. Kuna makala niliweka humu juu ya uandaji wa mbolea ya samadi ya maji kwa ajili ya matumizi ya bustani na shamba kiujumla. Kulingana na watu walionitafuta kuhitaji kujua zaidi na mrejesho ninaoupata kwa walioanza kutumia hakika ninapata faraja kubwa...
  6. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Serikali haina budi kupitia upya sera ya elimu bure

    Elimu ya sasa imewaacha vijana wengi kutojituma kimasomo, hawana uchungu kabisa kupambania viwango vyao darasani na hili ni tokeo la Elimu bure, Na ndio Maana shule binafsi bado zinaongoza kufaulisha wanafunzi kila iitwapo leo. Hoja muhimu Hawa wanafunzi hawaoni uchungu kabisa Ela inayotolewa...
  7. britanicca

    JamiiForums Tanzania Tuendelee na Mambo ya Msingi Elimu inachezewa sana

    Kuhusu Ya endeleaayo kwenye kuiba mitihani na kubadili namba za watahiniwa Baada ya shule husika kufungiwa kuwa kituo cha Mitihani ya Baraza, Nini Hatma ya Wanafunzi waliokuwa wanasoma shule hiyo? Je, kuifungia shule husika ndiyo suluhisho la udanganyifu wa mitihani ya elimu nchini?, Je, Bila...
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu kataza wanafunzi kulazimishwa kwenda na madaftari yote shule

    Huwezi kuelewa mzigo wanaobebeshwa wanafunzi wa shule za kutwa mpaka pale utakapojaribu kuubeba mfuko wa madaftari wanaobeba wakienda shuleni. Kitendo cha watoto kulazimishwa kwenda na Vitabu vya kiada na Madaftari ya Masomo yote shuleni kila siku kinawaletea wanafunzi hao matatizo kwenye uti wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Msingi hadi kidato cha nne sawa ila...

    Tanzania ni moja ya mataifa masikini duniani ikiwa na asilimia kubwa ya watu wanaotegemea kilimo cha kujikimu na shughuli za uchuuzi wa bidhaa hususani chakavu ama zenye viwango duni kutoka nje kwa ajili ya kipato. Hali hii huwaweka katika hali tegemezi kiuchumi kutokana na njia zisizotabirika...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Elimu yetu ni kwenye shule za Umma siyo za Binafsi

    Kwenye mfumo wa Elimu Yetu tuna matatizo mengi sana ambayo kwa haraka haraka inawezekana ikatuchukua hata miaka zaidi ya 20 kuyarekebisha, tena kama tukiwa makini na tuliodhamiria kufanya marekebisho yanayotakiwa. Kwenye Mfumo wetu wa Elimu watu waliofundishwa kuwa Maafisa Elimu kwenye vyuo...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya ufundishwaji wa masomo ya sayansi kwa Afrika na China

  12. K

    JamiiForums Tanzania Sasa kiundwe Kikosi Kazi kuhusu Elimu

    Salaam, Moja kati ya mambo muhimu kwa taifa letu tunayoweka uvivu kuyarekebisha ni hili la Elimu. Kiukweli hatutoweza kufikia maendeleo endelevu bila kuwekeza vyema kwenye elimu ya teknolojia. Tazama Asia, nchi nyingi zimeibuka kiuchumi kwa kuboresha elimu kwanza. Mimi namiliki kajishule na...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania DC Moshi kukosa kura za CCM awaangushia hasira maafisa elimu kata kwa kuwahamisha vituo vya kazi wote bila malipo

    Kasheshe la DC MOSHI Bw. ABBAS KAYANDA, huko Kilimanjaro kupata pigo la kukosa kura za CCM limechukua sura nyingine. Baada ya gazeti la mwananchi kumrusha hewani DC wa moshi kwa kukosa kura ndani ya chama cha mapinduzi, amewaangushia maafisaelimu kata na kuwahamisha wote vituo vyao vya kazi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu kutegua kitendawili kizito cha Wahandisi mitambo

    Kongamano la saba la kimataifa linaloendelea katika chuo kikuu cha Dar es Salaam UDSM ili wanya0yofundishwa yaendane na yale ya uhalisia wataj0ayokutana nayo katika ulimwengu wa nje ya vyuo yaani kule wanapokwenda kuajiriwa au kujiajiri. Marekebisho ya mitaala ya elimu katika vyuo vikuu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Msingi kwa miaka sita: Je, tumejiuliza mambo haya?

    Kwanza kabisa nimshukuru Mungu kuniwezesha kupata elimu bora kabla siasa za nchi yetu hazijashika hatamu katika ELIMU. Tunaposema tunataka elimu ya MSINGI iwe miaka sita, kusiwe na mtihani darasa la sita, wanafunzi wote wanaomaliza darasa la sita waende sekondari. je tumejiuliza mambo...
  16. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Hii ni habari njema, sasa tunaongea kuhusu elimu nchini

    Next.... (1) Futa kidato cha Tano na Sita. Vyuo Vikuu vyote viwe na mwaka mmoja wa kufundisha Foundation courses mbili (i) Foundation course for Natural Sciences na (ii) Foundation course for Social sciences. . Tupunguze kabisa muda wa kukaa shuleni kabla haja fuzu fani fulani. Imagine Sasa...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Sera mpya ya Elimu, nahisi inatatua matatizo binafsi ya Waziri

    Nchi yetu imefikia hatua sera ya nchi inaweza kutungwa ili kutatua matatizo ya familia ya waziri. Inasadikiwa Mungai alikuwa na watoto walioshindwa Sayansi ya sekondari, akaamua kuyaunganisha masomo. Bodi ya mikopo ya elimu ya juu ilipigwa shinikizo kwa mwaka mmoja kuwapa mikopo wanafunzi...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wadau wapendekeza Elimu ya Msingi kuishia darasa la 6

    Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omary Kipanga amesema Wadau wa elimu nchini wameshauri elimu ya msingi ianze darasa la kwanza hadi la sita na kuondolewa kwa mtihani wa mchujo wa kuendelea na elimu ya sekondari ili kuifanya elimu hiyo kuwa elimu msingi. Naibu Waziri wa Elimu...
  19. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu ipitie upya Mtaala wa Masomo ya Sayansi wa A-Level

    Wanafunzi wengi wa Advance wamejikuta kwenye hali ngumu hususani kwenye masomo ya Mathematics, Physics, Chemistry na Biology Kwanza, Mambo ya kujifunza ni mengi sana (materials) bila kupima uwezo wa ubongo wa mwanafunzi ivo kupelekea kufeli Pili,Uchache ama ufinyu wa mda, miaka miwili kwa...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanapaswa kupewa elimu ya njia za kumwadhibu mtoto kuepusha vifo na ulemavu

    Kuna haja wazazi na walezi kupewa elimu ya malezi ili kupunguza vifo vya watoto wao wanaowaua kwa kuwapa adhabu kubwa au hata ulemavu, kuwaachia makovu na majeraha moyoni kwa kuwapiga kupindukia wakiamini wanawaonya. Matukio mengi ya wazazi na walezi kuwapiga watoto hadi kuwajeruhi zama hizi...
Back
Top Bottom