elimu

  1. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo juu ya uendeshaji elimu Tanzania

     Elimu ni jumla ya mambo yote ya kuhusu ujuzi,stadi,maarifa na muelekeo katika jamii.katika nchi yetu ya Tanzania tunaona kuwa Mfumo wetu wa uendeshaji umekaa vibaya,kuna baadhi ya mambo mengi ambayo hupelekea hichi chanzo. (1)Chanzo ni Nini mpak tunaona Mfumo wetu wa elimu ni mbaya? (i)...
  2. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Matunda ya elimu yangu

    Ilikua mchana nikichochea jiko la kuni kwa ajili ya kuandaa chakula, mara simu yangu iliyokua pembezoni mwa figa ikatoa mlio wa ujumbe mfupi. Baada ya kuifungua naona ujumbe kuwa "hongera umechaguliwa kujiunga masomo ya chuo kikuu ya shahada ya sayansi ya maabara".Nilipiga kelele na kububujikwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Dhana ya adhabu kwenye mfumo wetu wa elimu

    Ndugu wasomaji, salaamu. Elimu ni zana muhimu sana katika kupigana na adui ujinga. Elimu inatupatia maarifa ambayo hasa ndicho kila mtu hukitafuta. Elimu inapatikana katika mifumo rasmi na ile isiyo rasmi. Mifumo rasmi ni kwa maana ya shule ambako kunakuwa na mihutasari na miongozo mbalimbali...
  4. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo wetu wa elimu na matokeo kwa Taifa

    Nawasalimu wote kwa jina la taifa hili la thamani kwa kila mmoja wetu na mali yetu ambayo Mungu wetu alitubariki kuwa nayo, tunaamka kila asubuhi kulijenga hili taifa kwa nguvu zetu zote tukivuja jasho lenye chachu kubwa ya kuendeleza taifa letu. Wengi wa wananchi wa taifa hili kwa asilimia...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nashauri elimu na afya ziingizwe kwenye Wizara za Muungano

    Katibu inaweza kubadilishwa kwa manufaa ya taifa. Ushauri wangu, Zanzibar hainufaiki kwa elimu na afya kwasababu ya udogo wake. Tanzania bara tuna nufaika na kutumia mbinu zinazofanana kuanzia kujenga shule, maabara, hospitali na vyuo vya afya. Wenzetu wa Zanzibar wanapata shida maana hizi...
  6. Albashiri

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mifumo ya Elimu ndiyo kikwazo vijana kushindwa kujiajiri

    MIFUMO YA ELIMU YETU TANZANIA HAITUANDAI KUJIAJIRI Elimu yetu ya Tanzania hasa ya darasani iliyo rasmi haijawa katika kuwaandaa vijana kujitegemea baada ya kumaliza elimu ,nitazungumza maeneo ya hiyo mifumo ya kielimu. 1)MITAALA ,mitaala ya kuendeshea elimu haipo kwa ajili ya kuandaa mhitimu...
  7. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mtaala wa elimu Tanzania ni Ukoo wa babu

    Napenda kumshukuru Mungu kwa kunijalia afya njema pia kukupa nafasi ya kufuatilia matini yangu kikamilifu Pia shukran zangu za dhati nazielekeza kwa waasisi wa dawati la jamii forum stories of change baada ya hapo twende pamoja katika mada yetu ya ukoo wa babu... LEO TUNAGALIE KATIKA NYANJA...
  8. Mimmi Adams

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kuchochea hali ya kujiamini pamoja na elimu inayotolewa kwa vijana wa Kiafrika kama msingi wa kujenga ustawi wa taifa la kesho

    Kama ilivyo kwa sehemu kubwa duniani, Afrika pia ni sehemu ambayo inajengwa na nguvu kazi ya vijana kwa asilimia kubwa na kama inavyojulikana kwamba vijana ni watu wenye nguvu, akili na uwezo wa kutenda mambo mengi kwa sababu bado wapo imara. Lakini ni ukweli pia kwa miaka mingi sasa nchi nyingi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu + Teknolojia = Uchumi

    Kwanza, salaam kwako msomaji wa andiko hili, lakini pili sifa nyingi na utukufu kwake Allah mwenye enzi hakika ni kwa neema yake pekee mimi na wewe tu wazima wa afya njema. Kwa kuanza niseme kidogo ni kwanini nimechagua kichwa cha andiko iwe ni Elimu ongeza Teknolojia ni sawa na Uchumi ama kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Hali ya maisha isikukatishe tamaa kusaka elimu

    Naitwa Network Engineer, mzaliwa wa Wilaya ya Iringa. Nilizaliwa mwezi Agosti mwaka 1989 mama yangu akiwa nyumbani kwa bibi kwakuwa walikuwa hawajaoana na baba. Malezi yangu na mama yangu yalikuwa mikononi mwa bibi yangu. Nilipokua kidogo mama alibahatika kuolewa na baba mwingine (baba mlezi)...
  11. tenachew

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapendekezo kwa Serikali yatakayobadili mfumo wa elimu

    Mfumo wa elimu inahusisha sera na Sheria zote zinazoongoza mwenendo wa uendeshaji shughuli zote za elimu nchini. Makala hii ni andiko linalotoa mapendekezo Kwa serikali na wadau wengine wa elimu yatakayobadiri na kuboresha mfumo wa uendeshaji shughuli zote za elimu Kwa ngazi zote za elimu nchini...
  12. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utatu kati ya Serikali, elimu na uchumi utakaoleta mabadiliko katika sekta ya elimu na kusaidia kujenga uchumi wenye tija

    Utatu kati ya serikali, elimu na uchumi Serikali. Ili serikali iweze kukuza uchumi ni lazima kufanya kwanza maboresho katika mifumo yake ya elimu, kwa kuweka miundo mbinu wezeshi kumwezesha mwanafunzi kujifunza mfano majengo ya maabara na ya utafiti yawe hata kuanzia shule za msingi watoto...
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo wa Elimu kwa manufaa ya Wanafunzi na Taifa

    Jina: Hussein Juma Jitihadi 1.0 UTANGULIZI Elimu ni chachu katika maendeleo ya kila kitu, mfano teknolojia, uchumi, biashara n.k. Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanatokana na athari chanya kutoka katika mfumo wa Elimu ulio imara na wenye kubadilika ili kukidhi mahitaji. Elimu hutumika...
  14. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania tukiamua, elimu inaweza kuwa silaha dhidi ya maadui watatu wa maendeleo

    Moja kati ya hotuba maarufu sana ya aliyewahi kua muasisi wa taifa letu, Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere ni ile ya mwaka 1995, ambapo kiongozi huyo aliongea kuhusu swala zima la maadui watatu wa maendeleo, ambao ni umasikini, ujinga na maradhi. Katika karne hii ya 21, adui ujinga amekua...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la vitambi linatoka wizara ya elimu na afya, siyo jeshi la polisi

    Jeshi la Polisi wamekuwa wakinyooshewa vidole juu ya vitambi. Lakini shida inatoka wizara ya elimu na afya. Shida ya vitambi na msururu wa magonjwa yasiyoambukizwa chimbuko lake ni wizara ya elimu kutoa elimu mbovu kwa watu kwenye chakula na wizara ya afya kutotoa mwongozo sahihi. Tulitegemea...
  16. 0

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya vitendo ipewe kipaumbele sana kuliko elimu ya nadharia

    UTANGULIZI Mfumo wa elimu ya Tanzania ni mfumo unaomuweza mwanafunzi kuelewa mambo mengi sana lakin asijue namna ya kuyafanyia kazi. ELIMU YA NADHARIA. Elimu ya nadharia ni elimu ambayo hutolewa kwa njia ya maandishi vitabu na maelekezo ya mdomo kutoka kwa mtoaji wa elimu husika(mwalimu),mfumo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Elimu ya wanasheria wa Tanzania vs wa nchi jirani

    Je, mwanasheria wetu Bongo wana jua vizuri hesabu au ndio kula lala faulu background, kuachana na wazamani kama akina Issa Shivji? Making of a senior counsel: Prof Tom Ojienda You are one of the top lawyers in the country. Was this your childhood dream? I never intended to be a lawyer. I...
  18. vannie12

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya uraia wa kidijitali mashuleni

    Tunaishi katika ulimwengu unaounganishwa na teknolojia, ambapo teknolojia imewezesha shughuli nyingi za kielimu, kiafya, kibiashara n.k. Teknolojia ina athari kubwa kwa jinsi wanafunzi wanavyojifunza na jinsi wanavyojihusisha na elimu yao. Kwa kusudi hili, uraia wa kidijitali ni muhimu uhusishwe...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mitaala ya elimu na ajira kwa vijana

    UTANGULIZI "MITAALA YA ELIMU NA AJIRA KWA VIJANA" miongoni mwa sekta ambayo nchi ya Tanzania imekuwa ikifanya juhudi ili kupata maendeleo ni sekta ya Elimu,katika awamu ya Tano ya Raisi John Joseph Pombe Magufuli ambae alikuja na mpango wa Elimu bila Ada kuanzia ngazi ya shule ya msingi hadi...
  20. 0

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Tanzania iwe ni elimu inayoakisi mazingira ya Mtanzania

    Taasisi ya Elimu nchini Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inatakiwa ifanye maboresho hususani katika mitaala ya elimu, kuanzia ngazi za msingi mpaka ngazi za vyuo vikuu. Mitaala ya elimu inapaswa kuhusisha ufundishaji na ujifunzaji kwa vitendo na siyo kwa...
Back
Top Bottom