Hivi kwa huu utaratibu wa vyuo vingi tulivyo navyo hapa nchini tunatarajia hawa wasomi wetu watatutoa kweli. Vyuo vingi vinatoa wahitimu wengi lakini ambao wanakosa sifa za kiusomi kwa sababu nyingi.
Na hizi ndizo nilizobaini kwanza uwezo mdogo wa hao wanachuo wenyewe katika mazingira ya...
Moja kwa moja kwenye mada!!
Mara nyingi najiuliza kwamba suala hili la mfumo wetu wa elimu kuzalisha mbumbumbu, Serikali hailioni imeshindikana kuubadilisha, au kuna manufaa gani inapata kwa mfumo huu.
Miaka 7 ya primary school tunafundishwa Mkwawa alikufa mwaka gani? Mara Kinjekitile Ngwale...
Nianze kwa kusema naipongeza serikali kwa juhudi kubwa iliyoiweka katika utengenezaji was miundombinu mizuri hasa madarasa pamoja na kuweka mikopo Kwa wanafunzi wa Elimu ya juu.
Swali linabaki Moja je, uwekezaji huu wa serikali kwenye Elimu utawezesha vijana kuwa na fikra chanya juu ya...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la rufaa kwa wanafunzi ambao hawakuridhika na viwango vya mikopo walivyopangiwa kuwasilisha taarifa za uthibitisho ili kuongezewa viwango vya mikopo kulingana na uhitaji wao.
Taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB...
Kama hauna Elimu kaa mbali na kitu kinaitwa siasa hautoelewa unapigania nini
Siasa inahitaji Elimu ukitaka kuifaidi hapa nazungumzia Elimu Kuanzia Degree na Masters au Angalau hata PHD
Mimi mjomba wangu ni Darasa la saba yupo Uvccm mwaka wa 10 kama katibu wa vijana huu lakini Mambo yake Ni 0-0...
Habar wakuu,
Nadhani sisi wote tunatumia digital devices lakini shida ya hivi vifaa vinasababisha matatizo ya macho lakini ajabu ni kwamba wapo watu wameajiriwa kama secretary au developers muda mwingi wapo on screen na hawana miwani au matatizo ya macho, sasa najiuliza hawa wanawezaje...
Comedian ANTON KAMONGA ambaye amekuwa akisambaza ujumbe wake wa mada mbalimbali kwa njia ya mabango, akionesha mabango yenye kutoa elimu kuhusu Virusi vya Ebola
Pia soma: Ugonjwa wa EBOLA: Asili, Dalili, Usambaaji na Kinga dhidi yake
Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri Serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiriwa kwa sheria ipi? Anakidhi vigezo?
Note: Sina tatizo/wivu and the like naye kuajiriwa, but tusiwe vipofu...
Nimejiuliza sana juu ya hivi Kwanini lisiwepo somo la self defense Kama Ulaya mtu ajue kuogelea na kujikinga na baadhi ya majanga?
Simaanishi waliopata ajali ndo waogelee namaanisha mfumo wetu wa elimu wa ku kalili mambo ya kinjekitile kichwani bila msaada wowote bora Liwepo somo la uokoaji...
1. Special theory of relativity
2. General theory of relativity
3. Time dilation
4. Warping of spacetime
5. Spacetime continuum
6. E=mc2
7. Gravity as bending of spacetime
8...............................................
Hivi vitu ni vigumu kuvielewa.......
Bunge ni moto
Dr Kigwangala amesema Waziri wa Elimu Prof Mkenda amelidanganya Bunge kwamba Bodi ya Mikopo imekuwa inamdharau
Spika Tulia amzuia Dr Kigwangalla kwa sababu kabla ya kuongea Bungeni Kigwangalla ameshaliongea hili kwenye mitandao ya Jamii
Aidha Spika Tulia amesema inafahamika wazi...
Unapozungumzia Mbunge anabidi kuwa na sifa tofauti na hizi zilizopo za kujua kusoma na kuandika tu. Ubunge ni Kazi ya muhimu sana haiwezekani mtu mwenye Elimu ya kuunga unga apewe ubunge?
Vigezo viwe:
~ Mtu msomi aliye na Degree Safi kutoka katika chuo kizuri na sio lasaba au form four au...
Noma sana.
Wanakagua vitu vingi ikiwemo bajeti iliyotengwa kwa ajili ya elimu.
============
Educational growth in African countries ensures that better academic requirements can be implemented to grow a literate nation. While many African countries are still developing, some have shown...
Nimefuatilia kwa ukaribu sana hili suara la board ya Mikopo. Ni kama serikali imeendelea kulifumbia macho, yaani haioni kitu kabisa.
Bungeni nako wameamua wanafunzi wapokelewe vyuoni bila kuwa na mikopo. Hapa ni danganya toto, vyuo vitajiendeshaje ? Wanafunzi wataishije huko vyuoni?
Serikali...
Nani Mtetezi Wa kweli Wa yatima na mnyonge kwenye elimu ya Yetu.
Anayeweka mfumo Wa electroniki unayohitaji documents Ili yatima apate mkopo.
Au anayeanzisha scholarship Kwa jina la Raisi"Samia Scholarships" na kuweka vigezo ambavyo Zaidi ya Asilimia 90 ya wanufaika ni Watoto Wa wenye Uwezo...
Katika hali isiyo ya kawaida, mwalimu wa shule ya msingi Moshi Manispaa amewekwa lokapu kituo kikuu cha polisi Moshi na afisaelimu sekondari Moshi Manispaa, bila mwajiri wake ambaye ni Mkurugenzi wa Moshi Manispaa kujua mwalimu aliko kwa muda wa siku mbili.
Kwa maelezo ya mwalimu huyo...
Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa agizo hilo Leo Novemba 1, 2022 baada ya kuwahoji Wabunge ambao kwa pamoja wamepitisha Azimio la kuitaka Serikali ihakikishe Wanafunzi wenye vigezo wanaendelea na Masomo.
Hatua hiyo inakuja baada ya kuwepo taarifa za Wanafunzi wenye vigezo vya kupata...
Mwaka 1995 ulikuwa ni mbaya sana katika maisha ya Zhang Guimei, kwani ni mwaka ambao alimpoteza mume wake mpenzi aliyefariki kutokana na kuugua saratani, baada ya kutumia akiba yao yote kumpatia matibabu.
Zhang Guimei ambaye amechaguliwa kuwa mjumbe wa Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha...
Kuna sakata linaendelea chinichini juu ya baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoendelea na masomo (continuous) kuongezewa Ada,ama kupunguziwa MA(Boom) ,Sasa bodi ya mikopo iweke wazi kuondoa mianya ya rushwa na upigaji wa Ela za wanafunzi!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.