elimu

  1. S

    Natafuta kazi nina uzoefu wa kazi za stationary na kiwandani. Elimu yangu Diploma ya HR. Nipo Kigamboni Mjimwema

    Natafuta Kazi ya secretary nina uzoefu wa kutumia computer. Pia nina uzoefu wa Kazi za stationary kwa miaka miwili.
  2. Sildenafil Citrate

    Ushauri: Bima kwa wote iendane na utoaji wa elimu. Kuna "Lightness" wengi sana wasio na sauti

    Jana waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu alitoa maelekezo kwa Lightness Shirima (22), mwanafunzi wa Chuo Cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo - Dodoma kufika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kuchukua kitambulisho chake kilicho zuiwa kutolewa kutokana na kushindwa kulipa deni la tsh 9M la...
  3. Roving Journalist

    TET: 60% Watoto wenye changamoto ya kufaulu darasani wana tatizo la uoni hafifu

    Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imetoa ripoti baada ya kupokea maoni ya wadau kupitia mikutano mikubwa mitatu iliyofanyika Dar es Salaam, Dodoma na Zanzibar kuhusu Mapitio Makubwa ya 6 ya Mitaala ya Elimu ya Tanzania TET imesema imekusanya maoni kupitia vikao vilivyofanywa na makundi...
  4. Lidafo

    SoC02 Mabadiliko ya kufanya katika mfumo wetu wa elimu ili uweze kuendana na dunia ya sasa

    Tangu Tanzania ipate Uhuru imepita miaka 60 miezi 7 na siku 30 Sasa. Ushawahi jiuliza mfumo wetu wa elimu wa Sasa ni mfumo gani? na je umepitia mabadiliko gani mpaka kufika hapa? Wakati wa Mwalimu Nyerere tulikuwa na mfumo wa elimu ya kujitegemea, mfumo huu ulikuwa na lengo la kuhakikisha kila...
  5. B

    SoC02 Kiswahili kitumike kama lugha rasmi ya kujifunza na kufundishia

    By Erick Mange Leo nakuja na maada hii nyeti kabisa katika maendeleo na kukua kwa lugha ya kiswahili katika nchi yetu na duniani kwa ujumla. Mara kadhaa nmekuwa nkijiuliza kwanini tumeamua kutumia kiingereza kama lugha ya kufundishia wakati lugha ya taifa ni kiswahili? Sipati majibu.. kuna...
  6. M

    Serikali itenge fedha ya dharura kukabili changamoto za elimu bure

    FEDHA YA DHARURA ITENGWE HARAKA KUOKOA ELIMU NCHINI🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ✍️Mwl. Modest Alphonce (Mwandishi wa Makala hii ni mwalimu wa Sekondari, mwalimu wa Taaluma Mwandamizi na Mjumbe wa Kamati ya Shule ya Msingi iliyopo jijini Dsm) Wakati shule wanazosoma watoto wa watunga Sera hapa nchini zikizidi...
  7. S

    SoC02 Ukombozi wa kifikra kwenye elimu

    ELIMU ni ujuzi anaoupata mtu ili umsaidie katika kujikomboa katika mazingira yake,na ujuzi unaweza kupatikana katika mifumo miwili ,mfumo rasmi na mfumo usio rasmi. Hapa nchini Tanzania pamoja na kwamba tuna aina hizi za mifumo ya elimu lakini Bado mfumo unaotumika Sana ni mfumo rasmi ambao...
  8. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Afisa Elimu mkoa wa Tabora usitumie mtihani ya (dhihaki) Mock kulamba asali!

    Mkuu Pole KWA majukumu Nimepata malalamiko kutoka KWA wakuu wa shule za secondari hapo mkoani Tabora kwamba maandalizi ya mitihani ya mock kidato cha nne na cha pili hayakuridhisha! Kuna kasoro nyingi kama hizi;- 1.Mitihani ilichapiwa kule Mwanza matokeo yake ikachelewa kufika mashuleni KWA...
  9. M

    SoC02 Kubadilishwa mfumo wa elimu wa Tanzania

    Upo umuhimu mkubwa sana wa kubadilishwa mfumo wa elimu ya hapa nchini Tanzania kutokana kwa asilimia kubwa kutokidhi mahitaji ya jamii ya Watanzania wengi. Kwa kawaida elimu ya hapa nchini Tanzania imekuwa ikianzia kuanzia chini mpaka elimu ya juu, yaani shule za awali, shule za msingi, shule za...
  10. Colly 7

    SoC02 Elimu ya sasa haimkomboi kijana wa Kitanzania

    Tanzania ni moja kati ya nchi ambazo mpaka sasa elimu yake kwa kiasi kikubwa ni ya kinadharia. Tangu shule ya awali na ya msingi, mwanafunzi hupimwa zaidi uwezo wake wa kuelewa masomo husika kwa nadharia zaidi na sii kwa vitendo, ambapo akimaliza darasa la saba, na hata kidato cha nne, hawezi...
  11. Mr sule

    Njia za kupata elimu bila kwenda chuo kikuu

    Teknolojia imekuwa muhimu na msaada kwa kila mtu, jinsi inavyoszid kukua na ndivyo inavyoleta mabadiliko. Leo nataka tuangazie njia kadha unazoweza kuzitumia kupata elimu bila kwenda chuo kikuu. watu wengi wana ndoto ya kufanya vizuri katika elimu lakini kwa namna moja ama nyingine huwa...
  12. Tanzania wani

    Elimu yetu ni pagara lililotelekezwa

    Elimu ya msingi ni darasa la kwanza mpaka darasa la nne basi kuanzia hapo ni mtoto akue tu!!maana wanaowafundisha wanahitaji kufundishwa je wanaofundishwa na wanaohitaji kufundishwa wataelewa? Mpe hili swali mtoto wa la saba atunge sentensi kwa kutumia neno "unless"" 100% atafeli wakati huo...
  13. S

    SoC02 Elimu nchini Tanzania

    ELIMU NCHINI TANZANIA Mwandishi: Shida Masuba 1.0. Fasili ya Elimu Kwa mujibu wa sera ya Elimu na Mafunzo (2010:1) inafasili elimu kuwa ni “mjumuisho wa maarifa na stadi za kujitambua na kukabiliana na changamoto zilizopo katika mazingira na mabadiliko ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kisayansi...
  14. S

    SoC02 Utawala bora

    Utawala ni uongozi ambao unakuwa madarakani katika kipindi fulani, utawala huu unaweza kutokana na kuchaguliwa, kurithi kama ilivyo katika baadhi ya nchi kama Korea Kaskazini ama mapinduzi. utawala bora no utawala unaozingatia misingi ya haki, taratibu na kanuni kwa mujibu wa sheria ambazo nchi...
  15. N

    SoC02 Falsafa ya elimu bila malipo

    Na mwandishi Nosim. Elimu ni ujuzi, utambuzi au maarifa. Kwa kulitambua hili, Serikali ya Jamhuri ya Muungano waTanzania imejidhatiti katika sekta ya elimu kwa kuipa kipaumbele. Serikali imejitahidi kwa kiasi kikubwa kutatua changamoto kubwa inayopelekea wananchi haswa vijana na watoto kukosa...
  16. N

    SoC02 Sera ya mfumo mpya wa Elimu

    SERA YA MFUMO MPYA WA ELIMU. Binafsi, Kama kijana naumia sana kuona watoto, vijana na watu wengine kwenye jamii zetu wanapoteza uwezo wao wa kipekee walio zaliwa nao eti kisa, MFUMO WA ELIMU ULIOPO SASA. MFUMO WA ELIMU ULIOPO SASA, Ni Mfumo ambao, haujatengenezwa kwa ajili ya kila...
  17. PrMujuni

    SoC02 Elimu Bora ilenge kutimiza mambo manne kwa mwanadamu

    ELIMU BORA ILENGE KUTIMIZA MAMBO MANNE KWA MWANADAMU. Na PrMujuni ELIMU BORA inahitajika sana na kila siku inaimbwa na wanaharakati wa kisiasa na kijamii. Leo nakuja na wazo kuwa ELIMU yoyote iliyo Bora inapaswa kutimiza malengo makuu manne kwa mwanadamu. Nitatumia msitari wa Biblia kufafanua...
  18. Brother Wako

    SoC02 Selivesh: Dini ya Manyanyaso (Waumini Ni Watumwa wa Kiongozi)

    Miaka yangu miwili kama muumini wa Imani hii, niliamini hakuna mtu anaweza kusikia maagizo ya Mungu kama hajafunguliwa kutoka kwenye nguvu za giza zinazomshikilia katika ulimwengu wa kiroho (wanaita vifungo). Lakini siku chache baada ya kutoka Selivesh, kwa msaada wa Neema ya Mungu, kulitafakari...
  19. A

    SoC02 Kilio changu elimu yetu

    Mara kwa mara mitaala ya elimu hufanyiwa marekebisho lakini bado haijakidhi wala kufikia robo ya matarajio kwa watanzania. Nilikaa nikatafakari nikagundua kuwa kuna mahali lazima hapako sawa. Elimu yetu watanzania imeingiliwa sana na siasa kiasi ambacho kila kitu kinaenda kisiasa na mwisho wake...
  20. La3

    SoC02 Elimu ya msingi ni mhimili muhimu katika Sekta ya Elimu

    Elimu ya msingi ni eneo nyeti sana katika safari ya maisha ya mwanafunzi au mtu yeyote. Ni katika elimu ya msingi tu ndipo mtu anafundishwa kujua kusoma, kuandika na kuhesabu ambayo ni mambo muhimu mno kwenye maisha. Kwa hiyo ni muhimu sana kuwekeza kwenye elimu ya msingi zaidi kwa kuwa huku...
Back
Top Bottom