elimu

  1. Masiya

    JamiiForums Tanzania Elimu Yetu na Lugha

    Mengi yamesemwa kuhusu nini kinarudisha elimu yetu nyuma. Ukweli ni kuwa lugha inamchango mkubwa kwani ndio msingi wa mawasiliano. Kwa hapa kwetu kuna lugha tatu za msingi: kingereza, kiswahili na hesabu/hisabati. Sisi wengi wetu ni wabovu katika hayo pamoja na kiswahili. Kingereza ni lugha ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya katiba na sheria imejizindulia utaratibu wa kula pesa za walipa kodi kwa kampeni ya elimu ya katiba mpya 2024/2026; waanza kuandaa mikutano

    Hii nchi kila kitu ni drama; waziri wa katiba na sheria na watumishi wa ofisi yake tayari wameandaa kinachoitwa kampeni ya elimu ya katiba mpya na bajeti yake inalengwa kwa mwaka wa kwanza kutumia si chini ya bilioni tisa. Watumishi wote wa ofisi yake wameshajiwekea ratiba hakuzunguka nchi...
  3. President of China

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Aliyeharibu nchi hii ni Mwalimu Nyerere kwa kushindwa kuwapa Watanzania Elimu

    Nawasalimu wanaJF. Leo nimeamua niseme ukweli kuhusu nchi yetu hii ya Tanzania. Katika miaka 24 ya utawala wa Mwalimu Nyerere, alitangaza maadui wakubwa wa watatu wa watanzania:- 1. UJINGA 2. UMASKINI 3. MARADHI Mwalimu Nyerere hakuwa visionary leader alikuwa mwanaharakati, badala ya kujenga...
  4. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sipati wa kunipenda wakati nina elimu ya Masters?

    Hili swali nimeuliza muda Sana Ila nashindwa kuweka uzi. Jaman wenye elimu ZENU naombeni niwasaidie, hamkusoma ili mkaajiriwe, jiajirini basi tuone matunda ya elimu yenu? Mwanaume kukupenda sio sababu Una masters, wanaume wanaangalia vitu vingi jamaan sahivi wamekuwa worst wanaangalia mpaka...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Elimu iwe kigezo cha kwanza kwa mtu anayeutaka udiwani, ubunge na urais

    Kigezo kiwe ni -urais , minimum qualification Masters ubunge minimum qualification burchelor degree. Udiwani minimum qualification Diploma. Uongozi unataka mtu mwenye upeo mkubwa tukiacha vipaji lkn elimu inamfanya mtu awe na upeo Mpana zaidi wa kufanya reasoning&judgement, ili kuendana na Kasi...
  6. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliye-graduate chuo cha nje ya nchi anakua more potential na kupewa kipaumbele kwenye ajira?

    Je, mwanafunzi alie-graduate chuo cha nje ya nchi anakua more potential na kupewa kipaumbele kwenye ajira tofauti na alie graduate ndani ya nchi?
  7. Kasiano Muyenzi

    JamiiForums Tanzania Askofu wa kanisa la Ufunuo ashutumu viongozi wa Kanisa Katoliki kwa kuingilia masuala ya siasa

    ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari. Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi wa dhehebu la Kikatoliki kwakile alichodai kuwa wao ndio wamekuwa chanzo cha vurugu kwenye maeneo...
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa mstaafu Kikwete tulidhani ni busara kumbe hamna kitu

    Aisee mzee wetu katia aibu kubwa sana. Alichoongea hakina uhalisia wowote kwa sababu wanasiasa hawa hawa wanategemea sana kufanikisha mambo yao kupitia dini. Yaani Edo Kumwembe amechambua vizuri sana sijajua nani alimwandalia ile hotuba huyu mzee kule Mara. ====== Edo Kumwembe: Wakati...
  9. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Russian high school pupils to learn how to operate drones

    Huku mpaka uende chuoni! Angalia watu wanaoangalia kesho ya taifa lao. Russian high school pupils to learn how to operate drones Russian teenagers will learn how to operate and counter military drones in the upcoming school year, according to a curriculum published Monday by the education...
  10. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Watoaji wa huduma ya majanga na maafa Nchini wametakiwa kutoa elimu Mashuleni

    Taasisi za Serikali na zisizo za Serikali zinazo jihusisha na utoaji wa huduma ya majanga na maafa Nchini wametakiwa kutoa elimu Mashuleni na katika vikundi ili kuepuka majanga mbalimbali yasiendelee kujitokeza Nchini. Katika maadhimisho ya siku ya Ubinadamu Duniani, siku iliyotengwa kwa ajili...
  11. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Bakhresa, Mo Dewji na GSM Wekezeni kwenye Elimu haswa kwenye Dini zenu

    Kupitia vugu vugu la Bandari nimegundua Viongozi wengi wa Dini na Wananchi hawana elimu. Mashehe ndio kabisaa hawana uelewa wa kuelewa na kudadavua mambo nyeti ya nchi hii.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upokeaji wa maombi ya wanafunzi Elimu ya Juu

    Kwa heshima na taadhima, ninaandika kama mdau wa elimu nchini. Tangu kufunguliwa kwa dirisha la maombi ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, waombaji wanashindwa kuwasilisha maombi yao kwa wakati. Wengi wanaishia hatua ya demographic information tu. Wanapowasilisha (submit) hakuna mrejesho...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hawajui madhara ya usafirishaji haramu wa binadamu (human trafficking). Elimu izidi kutolewa

    Jana tarehe 14/08/2023 kupitia ukurasa wa ITV nimesoma habari ya kukamatwa kwa wahamiaji haramu huko Katavi waliokuwa wakisafirishwa kupitia tenki la mafuta. Ni habari ya kutisha sana. Kilichonitisha zaidi ni baada ya kusoma comments. Kiufupi ni kuwa watu wengi wamelaumu mtu aliyewapa taarifa...
  14. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Maoni kwa mtaala mpya wa elimu: badala ya somo la dini ondoa iwepo falsafa

    Katika pitiapitia yangu mitandaoni nimeona mapendekezo ya maboresho ya mtaala wa elimu. Tumekuwa tukilialia kuhusu oooh, mfumo wa elimu/mtaala unatufundisha kukariri sana. Mara haufundishi watu kujiajiri. Mambo mengi tu. Je katika mtaala mpya tumeweka jambo lipi la kuwafundisha hawa watoto...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naomba nijue elimu za marais wetu na ufaulu wao

    Kuna vitu ukiangalia kwa jicho la kawaida kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuongoza inchi kwa marais wetu, mfano nimebahatika kuuona utawala wa Mkapa,Kikweta,Magufuri mpaka Samia, Niseme ukweli nilikuwa nawakubali Mkapa na Magufuli, ingawa sijui walipata division gani form four,ila nina...
  16. Global Peace Foundation

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni rahisi kijana asiye na kipato kushawishiwa na makundi mabaya?

    Kila mwaka idadi kubwa vijana hapa nchini wanamaliza masomo yao katika ngazi mbalimbali za elimu. Taasisi za elimu kuanzia darasa la saba, kidato cha nne, kidato cha sita, vyuo mbalimbali vya ufundi na vyuo vikuu vinazalisha idadi ya wahitimu kila msimu. Takwimu za Tume ya Vyuo Vikuu (TCU)...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ndani na nje ya Tanzania, nina elimu ya Degree ya Education

    Habari wana jamvi, Natafuta kazi yoyote ya halali, Elimu: Bachelor degree (shahada) ya ualimu masomo kiswahili na Geography Umri: Miaka 28 Eneo nilipo: Dae Es Salaam, Goba Lugha: kiswahili na English fluently (speaking and writing) Uzoefu: Nina uzoefu wa mambo mbalimbali ikiwa ni ufundi wa...
  18. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Jamii za wafugaji wapewe elimu maalumu kuhusu usafi, mapenzi na kuvaa nguo za ndani

    Jamii za wafugaji zinajulikana Sukuma, Maasai, Mang'ati na wengine wengi. Ni muda sasa Serikali itoe elimu kwa hizi jamii kuhusu Afya, Usafi na Kuvaa nguo za ndani. Wengi wanaishi kama Wanyama hawaogi, hawafui, hawavai nguo za ndani naogopa wasije kuharibika sehemu za siri. Najiuliza, wanawake...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wananchi Simiyu wawajengea walimu nyumba za matope

    HABARI Wananchi wa Kitongoji cha Ihula kilichopo Kata ya Gibishi Halmashauri ya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu wameamua kujenga nyumba za tope ili kuwawezesha Walimu kuishi jirani na shule. Wananchi hao wamesema walimu wakiwa karibu na mazingira ya shule wanao uhakikia wa kuwahi hususani...
  20. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Ikitokea ndugu yako yupo kijijini, na hana fani, hana elimu, we mwambie ukweli tu

    Huku mjini ni kugumu sanaa wazee, sio kuzuri kuja pekupeku aisee, utahaibika 😂😂😂😂
Back
Top Bottom