elimu

  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa elimu hii ya Tanzania tusahau kuhusu uvumbuzi

    Binafsi darasa la kwanza nilianza nikiwa na miaka 13. Hii ni kwasababu ya kimasingira na kimwamko. University nimemaliza nikiwa na miaka 30 na ushehe kidogo, kwakuwa nilipomaliza six nikahangahikia ajira kwanza, uamuzi ambao mpaka kesho naufurahia. Turudi kwenye mada. Tanzania tunasoma kwa...
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Taratibu jamii ya Watanzania inaanza kuinyanyapaa elimu ya mtaala wa NECTA. Unaweza kuamini msomi kama Carol Ndosi anaweza kuandika kitu kama hiki

    Wewe Mtanzania ambae bado haujajuwa kwamba sasa hivi tunaishi kwenye zama za internet na kwa sasa dunia umebadili uelekeo wake utakuja kustuka ukiwa umechoka sana. Unyanyapaa dhidi ya elimu. 1. Wasomi wana nyanyapaliwa. 2. Elimu ina nyanya paliwa. 3. Mifano inatolewa mingi kwamba ambao...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa elimu ya juu (HESLB)

    Nimelipia elfu 30 ktk heslb nataka kucreate account nikibonyeza submit form inaload tu nashindwa kuendelea na mchakato hawa bodi. Nimewapigia simu Hawapokei simu zangu nimetuma adi katika instagram katika page yao wapo kimya sijui wanampango gani na mimi naomba msaada wenu
  4. Spinal Health

    JamiiForums Tanzania Fahamu afya ya uti wako wa mgongo: MUHIMU!

    Kuna vitu vitatu: Ubongo, Mishipa ya fahamu na Uti wa mgongo. Vitu hivi vinafanya kazi bega kwa bega na kwa kutegemeana sana, Kitu kimoja kati ya hivo kikipata shida basi mfumo mzima unavurugika na hapo ndipo magonjwa yanaanza kujitokeza, mara nyingi ni magonjwa yanayohusiana na uti wa mgongo...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Elimu ya mjinga ni Majungu?

    Hivi ni kweli Elimu ya mjinga ni Majungu? Tena ni eti, Bora kukosa mali lakini Upate akili? Eti Elimu ni Bahari haina Mwisho. maneno na misemo hii ya kiswahili ilikusudia nini hasa au ilitoholewa wapi?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu

    Habari, Hivi naomba kuuliza, wakisema "verification is arleady, weight for another stage", ni stage gani inafuata?, na majina ya waliopata mkopo yanatoka lini? Maana naona watu wanaendelea kuomba mkopo tu.
  7. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Naomba tumsaidie Mwanafunzi Sifika Daniely Ruben apate haki yake na arudi shule

    Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda okoa mstakabali wa maisha ya binti huyu. "Kaka Yericko pole na Majukumu, Naomba kaka nisaidie, mtoto huyu kwenye picha anaitwa SIFIKA DANIELY RUBEN, naomba apate Haki zake, Ipo hivi kaka, Nilikuwa natafuta binti wa kazi za ndani, Nikapata binti kutoka...
  8. M

    JamiiForums Tanzania TEC toeni tamko kukemea ubaguzi kwenye elimu

    Tunaomba baraza katoliki la maaskofu (TEC) kukemea kwa sauti moja ubaguzi unaofanyika chini ya shule ambazo zinaendeshwa na kanisa katoliki hapa nchini. Ni muda sasa shule husika kuchagua wanafunzi kwa misingi ya kuhakikisha ya kwamba mwanafunzi yoyote yule ambae anaonekana kutokuwa na uwezo...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 9 Walioanza Elimu ya Msingi Kititenebo, Chini ya Mti Wahitimu Darasa la Saba, Mbunge Lekaita Awatabiria Makubwa

    Na Mathias Canal, Kiteto-Manyara Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe Edward Ole Lekaita amekoshwa na wanafunzi 9 ambao wamehitimu elimu ya msingi (Darasa la saba) leo tarehe 22 Septemba 2023 katika Shule ya Msingi Kititenebo ikiwa ni mahafali ya kwanza tangu kuanizshwa kwa shule hiyo. Akizungumza...
  10. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bongo ina umuhimu mwisho shule ya msingi sekondari na vyuoni ni kupoteza muda tu

    Kwa namna elimu yetu hapa bongo ilivyo na inavyoleta matokeo yasiyo tarajiwa kwa kundi kubwa la wasomi na vijana. Nadiriki kusema kwa asilimia kubwa elimu ya Tanzania ina umuhimu mkubwa kwa shule ya msingi pekee( awali mpaka darasa la 7) ila sekondari na chuo ni kupoteza muda tu. Elimu ya...
  11. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Elimu bure inatengeneza bomu

    1. Aina ya shule ( madawati, vitabu nadra). 2. Ufundishaji (idad kubwa ya wanafunzi Vs idadi ya walimu hususani wa Sayansi). 3. Matokeo ya mtihani wa kitaifa awamu ya elimu bure..maslahi ya walimu hayazingatiwi unategemea chochote? Mpwayungu Village
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Shule ya Mvinza Kagerankanda haina Madarasa na Madawati. Waandikia Majivu

    Shule ya Msingi Muvinza iliyopo Kata ya Kagerankanda, Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma ina changamoto ya upungufu mkubwa wa madarasa na madawati hali nayowafanya wanafunzi wengi kusoma nje na wengine kusoma wakiwa wamekaa chini katika madarasa machache yaliyopo. Wanafunzi ambao wameanza elimu ya...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watafiti 47 ambao wameshinda tuzo watangazwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imetangaza watafiti 47 kutoka taasisi za elimu ya juu za umma na binafsi, ambao wameshinda tuzo kwa kuchapisha matokeo ya utafiti waliofanya kwenye majarida yenye hadhi ya juu kimataifa katika nyanja za afya, sayansi shirikishi, sayansi asilia na...
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Muda wowote kutoka sasa Serikali itatangaza nafasi za kazi kwenye utumishi wa umma

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema serikali imepanga kutangaza ajira mpya zaidi ya 47,000 ili kupunguza uhaba wa watumishi. Waziri Simbachawene ametoa taarita hiyo wakati akizungumuza na watumishi wa umma wilayani Chato...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Falsafa za 4R za Rais Samia ni msingi wa siasa safi na demokrasia. Je, zijumuishwe kwenye mtaala wa elimu na kuanza kufundishwa mashuleni?

    Najaribu kutafakari namna ya kutoka na picha kubwa kwenye falsafa za 4R za Rais Samia. Kwa kuwa falsafa hizo zimejikita zaidi katika misingi ya siasa bora na demokrasia, Je sio vema zikajumuishwa kwenye mtaala wa elimu ili zianze kufundishwa mashuleni? Najaribu kutafakari Zaidi kuhusu matokeo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kama siasa ni maisha, basi katiba ni document ya kisiasa juu ya mgawanyo wa madaraka na utowaji haki

    Enyi wanasheria mnioneshe ibara yoyote kwenye katiba yetu ya 1977 inayoelezea wajibu, haki na madaraka ya mkulima/ mfugaji katika kumiliki ardhi, kulima/ kufuga na kupata masoko. Au nionesheni ibara inayoonesha haki, wajibu na madaraka ya mfanyabiashara ktk kupata soko, kupanga bei ya bidhaa...
  17. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuhitimu elimu ya msingi, wanafunzi wasikae nyumbani

    Habari, naitwa mwalimu HERMAN LAMECK MANYILIZU, naomba kushare nanyi wazo hili. TUMLINDE MTOTO WA KIKE BAADA YA KUHITIMU ELIMU YA MSINGI Kama mjuavyo, wanafunzi wa Darasa la Saba wanahitimu elimu ya msingi leo tarehe 14 Septemba. Nashauri wanafunzi hawa wasikae nyumbani kusubili matokeo na...
  18. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

    Kwa miaka ya sasa ni rahisi sana kuona mwalimu ana Masters/PhD lakini yupo tu anafundisha huko shuleni, ila mabosi wake wote wana Shahada. Huyu mwalimu mwenye Masters/PhD anaambulia kuhujumiwa tu na mabosi hao ili kumkatisha tamaa. Mfano, anaweza akawa amepata mchongo mahali pengine kutokana na...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anayajua ndio maana anayasema: Bila kubadili mtazamo kwanza kwa kutoa elimu, mabadiliko ya katiba ni kazi bure

    Tukiwa na watu wenye mtazamo huu tulionao wa uzembe, kusukumwa na uvivu basi tusitegemee mabadiliko yoyote chanya kwa kubadili katiba maana watekelezaji wakubwa wa katiba ni watu. Kwa mfano, mtazamo mkubwa wa wapinzani kwenye mabadiliko ya katiba ni kubadili vifungu vinavyoelezea mamlaka ya...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Watawala kutumia mbinu ya kutaka kutoa elimu ya Katiba Kwa miaka 3, wanataka KUTULAZIMISHA tuendelee kutumia milele Katiba tuliyonayo sasa!

    Baada ya kauli ya aliyekuwa waziri wa Katiba, Dkt Ndumbalo kusema kuwa watatoa elimu ya Katiba Kwa miaka 3, nilidhani kuwa huo ulikuwa ni mtazamo wake na siyo wa chama chake. Hata kuondolewa kwake kwenye wizara hiyo na kupelekwa kwenye wizara ya michezo, niliamini kuwa ilitokana na kauli yake...
Back
Top Bottom