Shahada ya Uzamili ya Uchawi kutolewa chuoni Uingereza

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,861
Uchawi sasa hivi unaenda kuwa kitu cha kawaida sana Duniani. Kozi mbalimbali zimeanza kuanzishwa zikifundisha uchawi na uganga wa jadj. Nchi ya uingereza inaweza ikawa nchi ya kwanza ya kutoa Elimu ya juu ya uchawi.

1696340783354.jpg
Vivyo hivyo Sahada ya Uzamili ya uchawi itakayoanza kutolewa mwaka 2024 itakuwa ya kwanza nchini Uingereza, Chuo Kikuu cha Exeter kimesema.

Shahada ya Uzamili ya "Ubunifu" katika Sayansi ya Uchawi na Uganga imeundwa kufuatia "kuongezeka kwa mahitaji ya watu kutaka kujifunza uchawi", kiongozi wa kozi hiyo alisema.

Je upo tayari kujifunza uchawi?

Ikumbukwe hapa Tanzania mwaka huu huko mkoani Shinyanga wahitimu wa chuo uchawi na uganga wa Jadi walihitimu mafunzo na habari zao kuenea mitandaoni.
 
Muda wa kusoma masters ya uchawi 😂
 
Back
Top Bottom