elimu

  1. JamiiForums Tanzania Elimu ya sasa hivi haisaidii mtu kuweza kujiajiri wala haitoi wahitimu wenye sifa stahiki

    Elimu siku hizi ni ile bora ni graduate mjomba atanisaidia nipate kazi. Kwanini nasema hivyo, nimeenda na kuona interview nyingi sana baadhi ya wahitimu wanaokuwa wamemaliza hawana uelewa wa walichosomea kutokana na ile kukaririshwa. Mfano niliwahi sikia chuo fulani lecture fulani akitunga...
  2. JamiiForums Tanzania Wazo na Ushauri: Serikali ikisimamia na kutoa elimu vizuri vitambulisho vya wamachinga, inaenda kuvunja rekodi nyingine kukusanya mapato

    Naomba nitoe ushauri kuhusu vitambulisho vya wamachinga. Kwa kifupi Watanzania wengi atupendi kulipa kodi sasa inahitajika elimu na kueleweshwa na kupewa mazingira rafiki kulipa kodi. Niende kwenye main point yaani wafanyabiashara wadogo wameongezeka kwa kiasi kikubwa mno kila kona wamepata...
  3. JamiiForums Tanzania Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu

    Hivi hii taarifa inayoenea kuwa deni linaloonekana kupungua kwenye salary slip ni tofauti na uhalisia uliopo kwenye database ya HESLB ina ukweli? Tupeni uzoefu kwa mliowahi kuomba Loan statement kutoka HESLB. Na kwa wale waliomaliza deni la bodi,je Bodi waliendelea kukata pesa baada ya deni...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hili swala limekaaje wadau wa Elimu

    Habari wakuu! Mm ni mzazi na mlezi!! Vyuo vya maendeleo ya jamii (FDC)! Ni Vyuo vya serikali ambavyo vipo chini ya usimamizi wa VETA! Vyuo hivyi vinatoa mafunzo ya ufundi stadi kama ya Vyuo vya VETA, mfano kozi ya umeme, magari, ushonaji, uashi, useremala n.k! Hata mitihani wanayofanya ya...
  5. JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere (Mjamaa) na Lowassa (Bepari) walitofautiana kifikra ila kisera juu ya Elimu walikuwa Sawa, UPE na Shule za Kata zinawakutanisha

    Wana JF Ukisikia mchawi mpe sifa zake. Hili la Nyerere na Lowassa ni watu walioona mbali, kama si Nyerere kuanzisha UPE Taifa hili lilikuwa lizalishe wajinga wengi kwani idadi ya watu ilizidi kuoongezeka sana wakati ujenzi wa shule za primary zikiwa kidogo sana kukabiliana na idadi ya watu...
  6. JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliofaulu kidato cha kwanza Dar kusoma kwa zamu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge leo Jumanne Januari 5 amesema wanafunzi waliofaulu kuingia kidato cha kwanza mwaka huu watasoma kwa zamu kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa katika mkoa huo. Akizungumza wakati wa ziara ya kukagua maandalizi ya shule kwa ajili ya wanafunzi...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu simamia ubora wa elimu na mbinu za ufundishaji

    Kuna tatizo la ufundishaji ktk vyuo vyetu. Najisikia vibaya kwamba tunalaumiwa kwa kutopenda kusoma vitabu lakini kuna uzembe kwa wafundishaji wetu ktk vyuo na hata sekondari kwa sasa. Kuna mtindo wa kutumia simu za mkononi kuandika notisi badala ya kuwashawishi wanafunzi kusoma vitabu, Mtindo...
  8. JamiiForums Tanzania Fanta mwanamke mwenye akili aliyekosa elimu

    Fanta alizaliwa katika familia duni mno. Baba yake alikua mlinzi, katika harakati za kuhakikisha hawakosi chakula nyumbani mama aliuza matunda mchana. Fanta alikua na uzuri wa ajabu alikua na akili pia lakini alipofika kidato cha tatu baba yake alipata maradhi, hali ya nyumbani ilibadilika...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ni failed state,ona hichi kituko kwenye elimu yao

  10. JamiiForums Tanzania Kujikwamua kielimu au kibiashara huku ukijitegemea

    Habari, wanajamii? Kuna wazo moja ninapenda nililete kwenu nikitumai kubadilishana mawazo nanyi. Kuna huu mfumo, uliojiimarisha hasa katika nchi za magharibi, wa kujisomesha kwa kufanya kazi au wa kuwekeza katika biashara, bila kuitegemea biashara hiyo kiuchumi. Jambo hili linawawezesha - hasa...
  11. JamiiForums Tanzania Elimu kwa Umma: Maswali na Majibu kuhusu Safari za Ndege na Changamoto zake

    Ndugu WanaJF, Tunafahamu si kila mmoja ni mzoefu wa kufanya safari kwa usafiri wa ndege. Sababu ni nyingi, ila kwa uchache ni hofu, kipato au sababu tu ya kusafiri kwa ndege haijatokea bado. Pia, usafiri huu licha ya kuwa ni wa haraka na uhakika, una changamoto zake lukuki ambazo zinapelekea...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali na mikakati ya kuwezesha wasomi kuajiriwa, vingenevyo tunakoelekea elimu itakosa thamani hapa Tanzania

    Baada ya Serikali ya awamu ya tano kukwama kwenye sekta ya ajira kamekuja katabia ka watu kuwabeza wasomi waliorundikana mitaani kwa kukosa ajira, kwamba wameshindwa kutumia elimu waliyoipata ama kujiajiri au kuwa wabunifu ili waweze kujikwamua. Kiuharisia suala la msomi kujiajiri baada ya...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Elimu sasa hasa katika ngazi ya Msingi na Sekondari na hata vyuo vya Kati/Diploma imekuwa kama biashara ya Magendo

    Kwanza niwaombe Moderators kuacha uzi huu hapa kwenye jukwaa la Siasa, japo kwa muda, kwa sababu uzi una Hoja ya Kisiasa ijapokuwa unahusiana na Elimu. Nitangulize shukurani kwenu Moderators. Tukija katika hoja yenyewe, ukweli ni kuwa Elimu sasa hasa katika ngazi ya Msingi na Sekondari na...
  14. JamiiForums Tanzania Elimu haina mwisho

    Habari za weekend wapendwa katika bwana. Naomba nianze na historia yangu kiufupi ili uweze kunisaidia ushauri. Nina umli wa takribani miaka 24 kwa sasa. Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu darasa la saba na kupata ufaulu mzuri tu ila sikubahatika kuendelea na masomo ya sekondari kutokana na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi waandamizi jifunzeni kujitegemea, mnawatesa wasaidizi wenu kuwatumikisha kinyume na kazi zao

    Kiongozi mwandamizi hana gari binafsi yakutembelea amekalia kutumia gari ya umma kufanya shughuli za Kiserikali na shughuli za familia bila kujali masaa ya kazi kwa madreva na wasaidizi wengine. Ninaishi na mzee mmoja hapa anatumia gari ya Serikali kama yake binafsi, kila sehemu anapokwenda...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba elimu juu ya hiki kifaa cha jeshi

    Naomba kujua wajuzi mnijuze haya madude yanaitwaje na yanafanya vipi kazi. Ni manual au automat? Je, kwa nchi yetu tunayo? Ni mangapi yako wapi. Elimu haina kikomo
  17. JamiiForums Tanzania Wayahudi wanavyojipenyeza wizara za elimu duniani kufuta kutajwa vibaya

    Saudi Arabia imechapisha upya vitabu vyote vya shule za nchi hiyo na kuondoa vipengele vilivyokuwa vikiwataja kwa ubaya Wayahudi pamoja na Wakristo. Baadhi ya vipengele hivyo ni kama vile utabiri wa kuzuka vita hapo baadae ambapo waislamu watawapiga vibaya mayahudi na kuwashinda. Kipengele...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri Elimu ya Uvumilivu hasa wa Kimapenzi (Kimahusiano) kwa Majeshi ya Ulinzi na Usalama iwe ni lazima

    Jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma, linamshikilia Askari Polisi Keneth Mkwela, kwa kosa la kumjeruhi mwanaume mwenzake kwa kitu chenye ncha kali anayejulikana kwa jina la Andrew Milanzi, baada ya kumfumania akiwa na mwenza wake kwenye nyumba ya kulala wageni. Kutoka: Habari Star TV Tanzania
  19. JamiiForums Tanzania TCRA achieni Twitter yetu! Tunaojitambua tunaihitaji kwa elimu yetu

    Tuko mikoani tukilamba x-mas yetu lakini tunataka kuwa connected na dunia. Tangu iliposikika kwamba kuna video ya ngono ya wanasiasa wawili, twitter haiko hewani. Tunahangaika kupitia njia za panya ili kuwasiliana na kusoma mambo ya muhimu. Hii kufunga funga itaendelea hadi lini wakati kuna...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada kwa Wanaotaka Kusoma vyuo vikuu Bora nje ya nchi.

    Habari! Kwa wale wanaotaka kusoma vyuo vikuu nje ya nchi naweza kuwasaidia hatua zote, iwe Ulaya, Asia au Marekani. Pia tunatoa ushauri wa vyuo bora, gharama na tunakusaidia kila hatua. Tunakuwa pamoja na wewe mpaka utakapomaliza chuo, Pia tunakuunhanisha na wenyeji. Tumesajiliwa kisheria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…