Neenda ukaulizie wakupe maelezo wenyewe wanaufahamuOoh asante sana mkuu.Bugando s/m wana bweni?
Hizi shule nyingi hazina mabweni especially kwa kitengo Cha walemavu wa akili (Intellectual Impairment) ambazo nyingi zenye mabweni Ni Hawa wa Hearing Impairment. Kwahiyo hapo ukimpeleka mtoto itabidi utafute mtu wa kumpeleka asubuhi na saa Saba mchana kumchukua kwa sabab hawasomi siku nzima. Kundi hili Wana changamoto sana katika malezi wanapokua shuleni na ndyo maana hawapewi mda mwingi wa kufundishwa darasaniOoh asante sana mkuu.Bugando s/m wana bweni?
Asante sana mkuuHizi shule nyingi hazina mabweni especially kwa kitengo Cha walemavu wa akili (Intellectual Impairment) ambazo nyingi zenye mabweni Ni Hawa wa Hearing Impairment. Kwahiyo hapo ukimpeleka mtoto itabidi utafute mtu wa kumpeleka asubuhi na saa Saba mchana kumchukua kwa sabab hawasomi siku nzima. Kundi hili Wana changamoto sana katika malezi wanapokua shuleni na ndyo maana hawapewi mda mwingi wa kufundishwa darasani
Za bweni zipo chache jaribu kuulizia au uonane na Afisa elimu, Elimu Maalum atakuambia katika eneo lake Kuna shule gani za walemavu wa akili ambazo Zina hostel.