Sina nia mbaya, naomba kujua Elimu ya Babu Tale

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,457
Shukrani kwa wote. Hivi kwanini hii nchi mtu akiwa na influence kidogo tu anakimbilia siasa? Wasanii, Comedian waigizaji wote wanataka Ubunge, hivi wana uelewa wa kutosha kuwapa dhamana ya kutuwakilisha bungeni kweli?

Unaweza kuwa mzuri kwenye muziki lakini haimaanishi hata kwenye ubunge unatosha hapana. Tupambane sana tupate tu katiba mpya maana,tunajidhalilisha sana.

Mbona Musukuma ni STD7 lakini ana point za kuwakilisha jamii? Nikipata CV yake na quote zake mbalimbali labda kwenye mitandao ni sawa pia.
1622543557836.png

Shukrani kwa wote. Hivi kwanini hii nchi mtu akiwa na influence kidogo tu anakimbilia siasa? Wasanii, Comedian waigizaji wote wanataka Ubunge, hivi wana uelewa wa kutosha kuwapa dhamana ya kutuwakilisha bingeni kweli?

Unaweza kuwa mzuri kwenye muziki lakini haimaanishi hata kwenye ubunge unatosha hapana. Tupambane sana tupate tu katiba mpya maana,tunajidhalilisha sana.

Mbona Musukuma ni STD7 lakini ana point za kuwakilisha jamii? Nikipata CV yake na quote zake mbalimbali labda kwenye mitandao ni sawa pia
Kasoma shule ya msingi Karume Mwembechai, kuhusu kuendelea na elimu sijui
 
Hyo elimu unayoitaka haisaidii watu kibao wanaangaika kitaa.
Na elimu yako bila kujiongeza utabaki kuwa zero
 
Babu tale alipaswa kuwa babu jinga!
Ndiyo Mtaji Wa Ccm
Chawa,Kupe,Papasi,Ndorobo
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜…๐Ÿ˜„๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Ingawa Babu Tale kaongea ujinga wakati wa Nyerere ..Rais alikuwa Nyerere peke yake...
 
"naomba vyeo vya Rais viondolewe mfano sijui rais wa tff itolewe Rais abaki samia tu, mfano unakuta mtu kiatu chake kina vumbi, ni kulidhalilisha neno Rais, ndio maana mimi nilijiita babu"

Na huyu ndio anategemewa kutunga sheria๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Mpuuzi sana hajui hata definition ya president ni nini? Yeye anajua Rais lazima awe kiongozi mkuu wa nchi.

Inabidi apitie maana ya ayatollah ,sultan etc
 
Shukrani kwa wote. Hivi kwanini hii nchi mtu akiwa na influence kidogo tu anakimbilia siasa? Wasanii, Comedian waigizaji wote wanataka Ubunge, hivi wana uelewa wa kutosha kuwapa dhamana ya kutuwakilisha bingeni kweli?

Unaweza kuwa mzuri kwenye muziki lakini haimaanishi hata kwenye ubunge unatosha hapana. Tupambane sana tupate tu katiba mpya maana,tunajidhalilisha sana.

Mbona Musukuma ni STD7 lakini ana point za kuwakilisha jamii? Nikipata CV yake na quote zake mbalimbali labda kwenye mitandao ni sawa pia
STD.7 iliyo poa
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Back
Top Bottom