elimu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mwajiri kwenye Utumishi wa Umma atakubali cheti changu cha elimu ya juu nilichokificha

    MTU ANAHITAJI MSAADA WA MAWAZO, NA CASE YAKE NI KAMA ILIVYO HAPA Kama nilimaliza Degree yangu 2014, kisha mwaka 2016 nikasoma kozi ngazi ya cheti, na mwaka 2019 nikatumia elimu ngazi ya cheti kuomba kazi kupitia sekretariate ya Ajira, nikafaulu ule usaili na kupata kazi, na sasa nalipwa kama...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Dodoma: RC Antony Mtaka amchana Waziri wa Elimu kuhusu mwisho wa Watoto kusoma kuwa ni saa tisa

    Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma. Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school. Sikiliza audio hapo. Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu. Ndalichako...
  3. hiram

    JamiiForums Tanzania ELIMU YA HISA: Simba wakipata bil40 za Azam basi 49% ni za Mo Dewji

    Mfanyabiashara Mo Dewji anamiliki asilimia 49 ya hisa za Simba, Kama Simba watapata dili la kama la Yanga la bilioni 41 basi moja kwa moja asilimia 49 ya pesa hiyo itakwenda kwa Mo Dewji ambayo ni sawa na bilioni 20 na milioni tisa. Hisa ni nini? Hisa ni namna ya kuchanga mtaji wa biashara...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikijibiwa kitaaluma na kuelimishwa vyema juu ya hili swali langu nitaondoa wasiwasi juu ya elimu ya Tanzania na matokeo ya mitihani

    Swali... Je, Kipaumbele cha sasa cha Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu na Wadau wa Elimu ni Kufaulisha sana na Kushindanisha tu Shule za Serikali na Binafsi au ni Kuzalisha Wasomi (Future Intellectuals) wa uhakika wa kuja Kuisaidia Tanzania katika Changamoto zake nyingi za Msingi...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bima na ujasiriamali zifundishwe kuanzia ngazi ya shule ya msingi

    Nimesikitishwa sana na taarifa za kuungua kwa soko la Kariakoo. Hasara iliyopatikana ni kubwa mno, haswa ikizingatiwa kuwa wafanyabiashara wetu hawana elimu ya kutosha ya bima, hivyo huwa hawakati bima, ni wachache Sana wenye kufanya Jambo hili. With wangu kwa serikali hasa wizara ya elimu...
  6. DustBin

    JamiiForums Tanzania Kama mambo ni hivi basi elimu yetu itaendelea kuwa ya chini miaka na miaka

    Wadau nawasalimu kwa jina la JMT. Kazi iendelee...! Najikita moja kwa moja kwenye mada husika, juu ya yanayoendelea huko mashuleni (shule za msingi) Mimi nipo haoa mkoani (nausitiri), juzi nimekutana na mtendaji mmoja wa idara ya elimu wakati tukipeana dondoo za hapa na pale ndio akaanza...
  7. LordMasele III

    JamiiForums Tanzania Ijue kozi ya Diploma in Diagnostic Radiography (DDR)

    Ddr ni kozi ambayo haifahamiki sana miongoni mwa watu. Diploma in diagnostic radiography inatolewa na vyuo viwili tu Tanzania ambavyo ni muhas and cuhas. Ni kozi ambayo degree yake inatolewa na cuhas tu hapa Tanzania lakini pia muhas Wana mpango was kuanzisha degree yake. Kiufupi katika kozi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Elimu kuhusu Corona inatolewa na Wakuu wa Mikoa na Wilaya. Kirusi kinabadilika badilika siyo kama mwanzo!

    Waziri wa afya Dkt. Gwajima amesema wagonjwa wa Corona wanaongezeka hivyo wananchi wachukue tahadhari. Kwa sasa elimu ya kupambana na Corona inatolewa na Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa sababu kirusi kinabadilika badilika na sisi tunabadili style ya kukikabili kwani Wizara ina mambo mengi sana ya...
  9. mgt software

    JamiiForums Tanzania TEC na Taasisi nyingine mnalialia kuwa mnasaidia elimu bora kumbe ndio mnasujudu umaskini

    Wana JF, Nimeona sehemu wakuu wa vitengo kidini wakijitetea kupunguziwa kodi wakijinasibu kuwa wanasaidia sana kwenye sekta ya elimu, kumbe ndio wanyonyaji wakubwa. Kwa sasa shule za Romani na KKKT ni ghali mno. Kuna shule zilianzishwa kama za kusomesha watoto yatima lakini zimekuwa...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Hivi HESLB wametoa mkopo wa elimu ya juu kwa Watumishi?

    Mkopo wa HESLB 2021 watumishi wanapewa?
  11. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Kuinua Elimu nchini, mfumo wa kuajiri kwa kuangalia Vyeti ufutwe

    Moja ya sababu ya elimu kuwa Duni na pia kukutana na Graduate au Masters ambaye uwezo wao ni mdogo sana kulinganisha hata na Darasa la saba au mtu mwenye elimu ya certficate ni kwa sababu ya Vyeti kuabudiwa. Vyuoni watu huenda kutafuta vyeti na si kutafuta maarifa, ndo maana kule kuna njia...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kinachomponza Mbowe na genge lake ni kukosa elimu na kukariri kuwa siasa ni harakati

    Sio kila siku ni Jumamosi au sio kila zama zitabakia kuwa hivyo hivyo. Awamu ya nne chini ya Jakaya Chadema walifanya siasa za harakati kiasi cha kumtisha Jakaya kuwa hawezi kutawala nchi. Maandamano na operasheni zilitawala kiasi cha kumtikisa Jakaya. Pamoja na hayo kwa kiasi fulani harakati...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waajiriwa wapya wa afya na elimu hawapewi hela ya kujikimu

    Tunawauliza OR TAMISEMI,hivi ni nini maana ya "hela ya kujikimu"? Waajiriwa wapya wa kada ya afya na elimu (walimu) walioajiriwa hivi karibuni wameshaanza kuripoti vituoni lakini hakuna hata halmashauri moja iliyowalipa waajiriwa hao fedha ya kujikimu. Unajiuliza, Nini maana ya "hela ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Elimu ni kwa Wasioelewa - Ushuhuda

    Ni wazi kuwa mtu kubeza kupatikana kwa katiba mpya ni matokeo ya kuwa na: 1. uelewa usio sahihi, au 2. maslahi kwenye katiba iliyopo. Hapa chini ni ushuhuda wake bwana Extrovert. Heshima kwako sana mkuu: (comment #95) Uzi: CHADEMA haya mnayoyafanya ndio yalipelekea tukaletewa Hayati...
  15. Mchokozi wa mambo

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu yatoa mwongo wa utoaji mikopo mwaka 2021/22

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB) imetoa mwongozo wa utoaji mikopo mwaka 2021/22 ambao inatakiwa kila mwombaji anatakiwa utumie tarehe 02-04/07/2021 kuusoma na kuelewa na kisha mfumo wa maombi utafunguliwa tarehe 05/07/2021. karibu hapa nimekuwekea pakua usome lakini pia ukiwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Wanufaika wa Katiba Iliyopo hawahitaji elimu

    Katiba Iliyopo ina mapungufu mengi yasiyoweza kuvumilika zaidi. Ni wazi kuwa anayebeza jitihada zozote za kuanzishwa tena kwa mchakato wa kupata katiba mpya kiporo uliobakia, ni kwa sababu tu ya kuwa na uelewa mdogo au ni mnufaika wa moja kwa moja wa katiba mbovu hii iliyopo. Wanaobeza...
  17. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Shahada kuna namna mnahujumiwa na Serikali, ajira zimekuwa za kibaguzi. Fanyeni jambo ili elimu yenu ithaminiwe

    Kumezuka tabia ya kuwabagua watu wenye degree katika utoaji wa ajira. Just imagine mtu amekomea form 4 akaenda kusoma special diploma anaajiriwa kwenda kufundisha sekondari ilihali walio na shahada kwa masomo hayo ni wengi tu mtaani. Kwenye upande wa afya mambo ni yaleyale hakuna ahueni yoyote...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania imekosa ushawishi wa kisiasa, haina motisha kwa mtoto wa Tanzania

    Ushawishi, motisha ndo mambo ambayo yanainua hali na matamanio ya mtoto kusoma na mzazi kusomesha. Wanasiasa na serikali Elimu mnaepeleka wapi kama mambo haya mnayafanya nyinyi, Ajira za Ualimu mnapendelea kuajiri certificate zaidi kuliko ngazi za degree. Matangazo ya ajira za maafsa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu kwanini sheria ya bodi ya mkopo ina ubaguzi?

    1.Ilipoanzishwa VRF 6% mwaka 2013 ikatumiwa kwa wote hata wale waliokopa kabla ya 2013. 2. Ilipoanzishwa makato 15% mwaka 2016 ikatumika kwa wote hata wale waliokuwa wanakatwa kabla ya 2016. 3. Ilivyofutwa VRF 1st May 2021 na Rais Samia imeanza kutumika kuanzia mwezi huo huo May 2021. Huku...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kwa wale 'Washamba' tu na wenye 'Chuki' na Goli 'halali' kabisa la Simba SC dhidi ya Azam FC huko Songea katika ( ASFC ) leo

    Nianze Kwanza kwa Kumshukuru Mchambuzi 'mahiri' wa Mpira kutoka Clouds FM Kipindi chao cha Michezo cha Sports Extra Farahani (Farhan) Kihamu kwa Ufafanuzi wake ulioenda Shule (Kidato) Na nikiri kuwa 100% ya kile nitakachokiandika hapa nimekitoa Kwake Mchambuzi huyu Farahani Kihamu na siyo...
Back
Top Bottom