Ni nani anaeindesha dunia?

Ni nani anaeindesha dunia?

Ni nani anaetaka dunia iende kwa favour yake?

Ni nani ana panga sytstem, structures and njia za maisha?

eli -DEFIANT- cohen
Mshana Jr
Castle_Lite
Maxence Melo
Kutokana na mtazamo wa kiroho (Spiritual and Metaphysical perspective), dunia haiongozwi na nguvu za kibinadamu, silaha, au pesa. Badala yake, inaendeshwa na nguvu za kiungu, mamlaka za ulimwengu wa roho, na sheria za asili za ulimwengu (Universal Laws) ambazo mwanadamu hawezi kuzizuia
Katika ulimwengu wa roho, mambo yanayoonekana kwa macho ni matokeo ya yale yaliyokwisha kuamuliwa au kupangwa katika ulimwengu usioonekana.
 
Back
Top Bottom