dunia

  1. JamiiForums Tanzania KWELI? Dunia imeanza kuzunguka haraka zaidi, sekunde moja kufutwa mwaka 2029

    Shalom shalom Wanasayansi wanasema Dunia yetu imeanza kuzunguka kwa kasi zaidi kuliko kawaida. Kwa kawaida, Dunia huchukua sekunde 86,400 kumaliza mzunguko mmoja (siku moja kamili). Lakini hivi sasa, kasi hiyo imeongezeka kidogo sana, kiasi kwamba siku moja inaweza kuwa sekunde chache fupi...
  2. JamiiForums Tanzania Dunia itasimama na kama haitoshi itarudi kinyumenyume

    Tukio la ajabu/kushangaza litakalo leta mijadala mipya ya kisayansi ulimwenguni. Chukulia mfano; Mida ya jioni kijua cha usoni uko katika harakati zako zahapa na pale gafla jua linazama giza linaanza kuingia kama kawaida lakini ghafla tena baada ya dakika 3,4 hivi unaona mwangaza wa jua na una...
  3. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Nyota wa Muziki Connie Francis aliyeimba "Pretty little baby" amefariki dunia

    Connie Francis, nyota wa muziki wa pop aliyejizolea umaarufu miaka ya 1950 na 1960 kwa nyimbo kama “Pretty Little Baby”, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 Taarifa za kifo chake zimetolewa na rafiki yake pamoja na msemaji wake, Ron Roberts, ingawa hakutoa maelezo zaidi mara moja Francis...
  4. JamiiForums Tanzania Maisha magumu, Dunia haina huruma, duniani unaishi kwa mateso na bado ukifa unaenda kuteseka, bora kuwa tajiri wa ushirikina

    Sisi binadamu tunaishi maisha yenye dhambi sana duniani, bado ni maskini lakini tunazidi kufanya maovu unafikiri siku ukifa je utaenda peponi hilo ni jambo gumu sana, ni bora uishi maisha ya raha yenye utajiri, yenye dhambi na hata kwa kutoa kafara ila tu umeifaidi dunia, kuliko kuishi maisha...
  5. JamiiForums Tanzania Vipi bado tuendelee kuuamini huu Upuuzi au tukubaliane tu kuwa Dunia ni Sayansi na kwamba tuheshimu tu Asili?

    Kuwa sijui.... 1. Ukiona Paka jike na dume wanatiana jua ni Uchuro ama utakufa au utapokea Msiba 2. Bundi akitua katika Paa la Nyumba yako jiandae Kufa au Kufiwa 3. Mbwa akibweka sana Usiku Kwako jua Wachawi wanapigana Angani Kwako hivyo utaamka Asubuhi ukiwa Mchovu kama umetoka Kulimishwa...
  6. JamiiForums Tanzania Unatambua uwepo wa vita hapa Duniani (Itambue dunia)

    Kila unachokifahamu kuhusu wewe na kuhusu dunia ni taarifa kutoka kwa Wazazi, Ndugu, Pastor au Shehe, Mwalimu. Binadamu anapozaliwa huja duniani na kuwekwa kwenye Mwanga, Mwanga ni kitu muhimu sana kwa binadamu, Hakuna mmea wa ardhini ambao unaweza kukuwa vizuri bila mwanga (Light). Huwezi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania World Footballers Award 2024-25: Karibuni mchague wachezaji na kocha wenu bora wa msimu ulioisha Katika dunia ya mpira.

    Vote for your best player, youngster, goalkeeper and coach. For the 2024-25 World Footballers Award.
  8. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa zamani wa Nigeria, Muhammadu Buhari, afariki dunia

    Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametangaza kifo cha Rais wa zamani Muhammadu Buhari, ambaye amefariki Jumapili mjini London baada ya kuugua kwa muda mrefu. Licha ya tangazo hilo familia ya Mohamed nayo imethibitisha kifo hicho cha Raisi huyo Baada ya taarifa hiyo Makamu wa Rais Kassim Shettima...
  9. JamiiForums Tanzania Je ? Huyu director wa hii movie anataka kuiambia nini Dunia

    Wakuu, Najua wengine mpo kanisani sasahv au ndio mnajiandaa kwenda. Licha ya nyuzi nyingi sana hapa jukwaani naomba kujua kwa uchache tu. Director wa hii movie anataka kuthibitisha nini kwa walimwengu. Natanguliza shukrani. Freedom is coming, No Reform, No Election. Kidumu chama Cha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Imebaki miaka kama 553 Dunia ifike mwisho

    Nimewaza tu mpaka kufika mwaka 2578 dunia utakuwa imefika ukingoni, Kuna vitu naona vya ajabuajabu vinaendelea sasa hivi duniani mpaka unajiuliza mpaka kufika miaka hiyo hali sijui itakuwaje.
  11. JamiiForums Tanzania Tamthilia ya Dunia ni nzuri mno sijawahi ona kwa Tanzania, naomba kuwajua wale wahusika

    Mimi sio mpenzi wa tamthilia ila hii ya Dunia ni kiboko naomba kuwafahamu wale wahusika Kwa undani. Maisha yao kazi zao wanapotoka makabila yao nk. 1. Manyanya 2. Mke wa manyanya 3. Mlevi mme wa sindi 4. Sindi mwenyewe 5. Wale wadada wanaomuita manyanya kaka nk
  12. JamiiForums Tanzania Leo July 10, dunia yetu inakuwa mbali zaidi na Jua (aphelion)

    Dunia siku ya leo inakuwa mbali na jua Kwa 152.5 million kilometers kutoka kwenye jua, Hivyo satellite kwa siku ya leo zinaiona dunia ikiwa katika hali ya ukungu mzito wa icy. -Baridi ikizidi tukafa msije makasema sikuwaambia😄
  13. X

    JamiiForums Tanzania Mataifa yote duniani hata yaungane hayaifikii China kwa uzalishaji wa chuma

    Top 10 Steel-Producing Countries in 2024 🏗️ 1. 🇨🇳 China – 1,005 Mt 2. 🇮🇳 India – 149 Mt 3. 🇯🇵 Japan – 84 Mt 4. 🇺🇸 U.S. – 80 Mt 5. 🇷🇺 Russia – 71 Mt 6. 🇰🇷 South Korea – 64 Mt 7. 🇹🇷 Türkiye – 37 Mt 8. 🇩🇪 Germany – 37 Mt 9. 🇧🇷 Brazil – 34 Mt 10. 🇮🇷 Iran – 31 Mt 🌎 Rest of the World – 293Mt (in...
  14. JamiiForums Tanzania Tech Zone: GPS ni bure dunia nzima, ila raia wa Marekani ndio wanahenyeka kulipa kodi za uendeshaji wa mfumo.

    Mfumo wa GPS (Global Positioning System) ni huduma ya bure kwa watumiaji wa kawaida duniani, lakini uendeshaji na matengenezo yake si bure kabisa. Mfumo huu unamilikiwa na serikali ya Marekani kupitia jeshi lake la anga (U.S. Space Force) na unajumuisha mtandao wa satelaiti zaidi ya 30...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Dunia kuzunguka jua yaongezeka, siku kadhaa kuwa fupi Julai, Agosti 2025

    Kwa miezi ya Julai na Agosti 2025, Dunia inatarajiwa kuzunguka kwa kasi zaidi, na kusababisha siku kuwa fupi kidogo. Hasa, siku tatu zinatarajiwa kuwa fupi zaidi: Julai 9, Julai 22, na Agosti 5. Katika siku hizi, urefu wa siku unaweza kupunguzwa kwa milisekondi 1.30, 1.38, na 1.51 mtawalia...
  16. JamiiForums Tanzania Dunia na Ulimwengu ulitokea wapi?

    DUNIA NA ULIMWENGU ULITOKEA WAPI? BIG BANG ni mlipuko mkubwa ajabu sana ambao ulitokea hapo kale ikihusisha dark energy/nishati nyeusi au nishati ya kiza na chanzo cha nishati hiyo ya giza haijulikani ni nini wana sayansi wanadai ndani ya hiyo nishati ya kiza ilizaa kila kitu unachokiona...
  17. JamiiForums Tanzania Kihasibu imekaaje? Kombe la Dunia la Klabu 2029 – Mchujo wa Afrika

    Moja kwa moja kwenye mada. Nimeipata kwa Micky wa Ghana. 🚨 Kombe la Dunia la Klabu 2029 – Mchujo wa Afrika! 🌍 ✅ Pyramids FC ndio timu ya kwanza ya Afrika kufuzu! 🎟️ Nafasi 3 zaidi zitakwenda kwa mabingwa wa CAF Champions League wa misimu ijayo: 2025/26 2026/27 2027/28 📌 Iwapo timu itashinda...
  18. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu wa CCM Wilaya ya Mbozi, Julius Mbwiga afariki Dunia

    Ndugu zangu Watanzania, Ni majonzi , masikitiko na huzuni kubwa sana kwa wana CCM wote wilaya ya Mbozi na mkoa mzima wa songwe. Kutokana na Kifo cha Katibu wa CCM wilaya ya Mbozi ndugu Julius Mbwiga. Alikuwa ni kiongozi mchapakazi,mzalendo na aliyekipenda Chama kwa moyo wake wote. Ni kiongozi...
  19. JamiiForums Tanzania Upendo ndio nini? Dunia imekosa Upendo ila ina kila kitu

    Binadamu tupo busy na mambo ambayo hayana msingi tunawaza kula kufanya mapenz kulala Tabia zote za mnyama kupigana kuuana Dunia ina kila kitu lakini imekosa upendo hatuna upendo kuanzia kwenye Familia mpaka Serikali zote duniani BINADAMU tupo busy na kufukuzana na panya wakati Nyumba yetu...
  20. JamiiForums Tanzania Dkt. Kazungu: Nishati safi ya kupikia ni ajenda ya Dunia, Wizara inaitekeleza kwa vitendo

    Naibu katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia umeme na nishati Jadidifu, Dkt Khatibu Kazungu leo 04 Julai, 2025 amepokea magari mawili yatakayotumika kwa ajili ya kampeni ya kuhamasisha na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia chini ya kampeni ya nishati safi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…