dunia

  1. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Figisu figisu za mpira wa Africa zimefanya tuaibike kombe la dunia la vilabu

    Mpira wa Africa haupo stable na haupo serious. Licha wa Africa wengi kuwa na wendawazimu wa mpira labda uongozi wa mpira Africa ni kama Wana project yao tofauti na matarajio wa watu wengi. Na kitu cha kushangaza zaidi asilimia kubwa ya timu za Africa zinazofanya vizuri kwenye AFCON huwezi kuona...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Baada ya Hotuba ya leo uelekeo wetu ni kwa Benki ya Dunia na Wafadhili wote. Tunajua bila Mikopo na Misaada hamuwezi kufurukuta.

    Kwa zaidi ya asilimia 98 katika hotuba ya leo ya kufunga Bunge kuna uwezekano atatoa vijembe, atajisifu sana na kujaribu kujionesha amefanya reforms nyingi kustahili kufanya Uchaguzi wa kiini macho hapo Oktoba mwaka huu. Kwa kuwa tunajua kuwa mnaendesha nchi kwa mikopo na misaada, Baada ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania China yaweka rekodi ya Dunia kwa kukamilisha ujenzi wa barabara pana zaidi chini ya maji ndani ya siku 110

    Jinan, China – Juni 2025 Katika hatua ya kushangaza dunia, China imekamilisha ujenzi wa barabara ya chini ya maji yenye upana mkubwa zaidi duniani ndani ya siku 110 pekee, chini ya Mto wa Njano (Yellow River) katika jiji la Jinan. Barabara hiyo ya ajabu ina urefu wa kilomita 3.3 (sawa na maili...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Dunia ya penseli

    Nguvu ya penseli kupitia sanaa ya uchoraji
  5. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Safari ya Harland Sanders: Kutoka Kituo cha Mafuta Hadi KFC ya Dunia na Mafunzo kwa Vijana wa Leo

    KFC ni kifupi cha Kentucky Fried Chicken, mgahawa maarufu duniani kwa kuuza kuku wa kukaanga. Historia yake inaanzia kwa mtu mmoja aitwaye Harland Sanders, ambaye alizaliwa mwaka 1890 huko Indiana, Marekani. Maisha yake hayakuwa rahisi. Baba yake alifariki akiwa na miaka sita, na hivyo...
  6. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kitundu wa tamthilia ya juakali afariki dunia

    Aliyekuwa muigizaji wa Tamthilia ya JUAKALI maarufu kama Kitundu amefariki dunia jioni ya Leo, Juni 24. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na @lamataleah ambaye ni muongozaji wa Tamthilia hiyo pendwa nchini. Bado chanzo cha kifo cha muigizaji huyo hazijajulikana. Familia ya CROWN MEDIA...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Injili ya uamsho imeshaanza kuhubiriwa kutokea Tanzania kwenda Dunia nzima!

    Salaam, Shalom! Kama ikivyotabiriwa tangu msimu mpya ulivyoanza 2021-2030, kwamba injili ya ufalme itahubiriwa duniani kote. Mwanzo injili hii ilihubiriwa tokea Israel kwenda ulaya, ikasambaa Dunia nzima, Sasa wakati wa mwisho umewadia, na kabla ya unyakuo, ni lazima kanisa la Mungu...
  8. hamis77

    JamiiForums Tanzania Bado hakuna wakuifuta Israel kwenye uso wa dunia

    📜 BADO HAKUNA WAKUIFUTA ISRAEL KWENYE USO WA DUNIA 🌍 Katika historia yote ya mwanadamu, taifa la Israeli limekumbwa na majaribu mengi – vita, maangamizi, uhamisho na chuki ya mataifa mbalimbali. Hata hivyo, taifa hili limeendelea kusimama imara, likithibitisha kwamba mpango wa Mungu juu ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Siamini kama Aziz Kii kasajiliwa Wydad kwa ajili ya kombe la dunia la vilabu

    Game zote mbili alizocheza KAINGIZWA DAKIKA 5 ZA MWISHO
  10. Tman900

    JamiiForums Tanzania Pesa ndo Kila Kitu kwenye Hii Dunia

    Tembea ufurahi
  11. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mashine hii hapa, Iran nehi nehi, Marekani ina silaha za hatari sana ambazo dunia haijui

    Wakuu marekani imeinyesha ni namna gani ikiamua jambo lake hakuna kima anaweza tia mguu. Iran nehi nehi. Iran ameonyeshwa ni namna gani yeye ni mchumba tu kwenye masuala ya vita, wanaume wameingia kwenye anga lake wamefanya yao haooo wamesepa na kuacha vilio nyuma.Iran nehi nehi.
  12. ubongokid

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mmiliki Kampuni ya TOP Maasai Company Limited, Joram Lukumay amefariki Dunia

    Habari nilizopata Usiku huu ni kwamba Mmiliki na Mwanzilishi wa Kampuni ya TOP Maasai Company Limited Ndugu Joram Lukumay Amefariki Dunia. Bwana Lukumai alikuwa mfanyabiashara katika Sekta za Nishati na Sekta za Madini Mkoani Arusha. Mwenye taarifa zaidi naweza kutupa zaidi.Ila nimpe Pole...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Je, tupo kwenye dakika za lala salama unabii wote wa biblia umeshatimia ?

    Kulingana na unabii kulikuwa na falme nne katika danieli 7 zilizotabiriwa kuwa baada ya hizo ufalme watapewa watakatifu na ndipo mwisho wa dunia. wafalme hao waliotabiriwa ni babeli, umedi na uhajemi, uyunani na rumi. je, tawala hizi zina uthibitisho na ushahidi wa kihistoria nje ya biblia ili...
  14. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Israel inafanya huu unyama na Dunia iko kimya tu?

    Wamemuua huyu kiongozi wa jeshi wa Iran bila hatia yoyote. Kwa nini wanafanya huu unyama hawa watu? Nimeumia sana huyu baba kuuwawa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Haijawahi kutokea tangu Dunia iumbwe chama cha upinzani kufanyiwa hivi

    Mambo makuu ya kisiasa ambayo hajawahi kutokea tangu Dunia iumbwe na tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uanze Nchini ni pamoja na:- 1. Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Nchini kupigwa ndani katika mwaka wa uchaguzi Mkuu. 2. Chama kikuu cha upinzani kuondolewa kwenye uchaguzi Mkuu. 3...
  16. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Kombe la dunia la vilabu na marefa wetu wa bongo

    Hivi nyie marefa mnaona wenzenu wanavyochezesha Mpira? Bongo mtu akiguswa tu kidogo filimbi inapulizwa hasa mkiwa mnachezesha hizo timu zetu za kurithi. Kama mna akili na mnataka mfike mabli fatilieni haya mashindano hamtabaki kama mlivyo msimu ujao. Naipenda Sana ligi ya Saudia hakuna...
  17. Age 17

    JamiiForums Tanzania Swali langu kwa CHAT GPT endapo dunia itafikisha miaka Bilioni Moja

  18. Bueno

    JamiiForums Tanzania Hii Dunia Haipo Fair Hata Kidogo

    Wapo washenzi kwenye hii Dunia wanacheza rafu sana. Wewe uki-play-fair wenzako wanaingia na miguu yote miwili, watakuvunja kua makini. ...........................
  19. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Dunia imeniacha kinywa wazi!

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA 🌍 Kusema ukweli sina siku nyingi sana tokea nimefika katika hii dunia, nina jumla ya wastani wa siku 10,800 sawa na miaka kama 30 hivi au 29., Kwenye kipindi chote nimekuwa hapa kuna mambo yameniacha kinywa wazi sana, naamini hata na wewe ndugu msomaji...
  20. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri Iran iifute Israel kwenye uso wa dunia kama ilivyo ahidi

    Kwa style hii bado tunasubiri iran iifute Israel kwenye uso wa dunia kama ilivyo ahidi chini ya kiongozi wao mkuu wa kidini ayatolah al kamenei. Viongozi wa kuu wa kijeshi na wanasayansi wakuu wa nyuklia na teknolojia ya maswala ya silaha na ulinzi wa anga huko iran mpaka sasa wamesha uwawa...
Back
Top Bottom