dollar

Dollar (symbol: $) is the name of more than 20 currencies. They include the United States dollar, Australian dollar, Canadan dollar, Hong Kong dollar, New Zealand dollar, Singapore dollar, New Taiwan dollar, Jamaican dollar, Liberian dollar, Namibian dollar, Brunei dollar, and several other.

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel iko hoi kiuchumi baada ya kujiingiza Gaza. Ikiwa ni mwezi wa pili tu. Hamas wamelipandisha deni lake mpaka 8 bn Dollar

    Vita kati ya taifa kubwa la Israel na wanamgambo wa Hamas vikiingia mwezi wa pili tayari serikali ya taifa hilo imeshaingia hasara kwa kuongezeka deni lake kwa dola bilioni 8.sawa na shekel bilioni 30. Waziri wa fedha wa taifa hilo amesema deni hilo limetokana na serikali kugharamia shughuli...
  2. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Eti kuna uhaba wa U.S. dollar! Kwa hiyo….

    Ngebe nyiiiiingi, kumbe kisirisiri mnashoboka na Marekani pamoja na vitu vyake. Sasa kama kuna uhaba wa $ nchini ndo nini sasa? Si na nyinyi mna sarafu yenu. Wapumbavu wakubwa nyie. Kila mara kujifanya hambabaishwi na Marekani. Marekani hivi, Marekani vile. Marekani maisha yake magumu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sheria mbaya zimechangia ukosekanaji wa Dola Tanzania

    Sheria mbaya za wakati wa Magufuli zimechangia sana ukosefu wa dollar 1. Vitendo vya kuingiza jeshi na Polisi kwenye biashara ni kitendo kibaya. Kitendo cha kuvamia maduka ya pesa za kigeni karibu yote na kuchukuwa pesa bila amri ya mahakama, bila kuwa na kesi za wizi kulitoa mwanya kwa wezi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kukabiliana na upungufu wa Dollar nchini, napendekeza safari za nje kwa watumishi wa umma zifutwe

    Ni zaidi ya mwaka sasa Serikali yetu inalalamika upungufu wa Dollar Kwa ajili ya kuagizia bidhaa na kulipa mikopo na mahitaji mengine muhimu. Safari za nje Kwa viongozi wa umma, Hazina yetu ya dollar hutumika, hivyo nashauri tuanze na kufuta safari za nje za viongozi Ili kutunza akiba ya pesa...
  5. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa dollar duniani, huu ndio ukweli mchungu tusiotaka kuukubali

    Na: Charlie Bihemo. "Nations excluded from the 'imperial preference' trading system cannot reasonably be expected to relinquish control over the Bretton Woods institution" Mara chache sana huwa nalazimika kushika kalamu yangu kuandika hapa, na leo ni moja ya hizo siku chache maana wakati...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu: Akiba ya fedha za kigeni inatosha kwa miezi minne

    Jumanne, Agosti 22, 2023 Benki kuu ya Tanzania BoT imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa Dola za Marekani bilioni 5.41 ambacho kinatosha kuagiza bidhaa za nje kwa miezi minne na siku 27. Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Inawezakana vipi dollar iadimike halafu bidhaa zimefurika Kariakoo kiasi hiki na hata wanunuzi ni wengi pia?

    Kama dollar zimeadimika nilitegemea pawe na shortage ya bidhaa Kariakoo, lakini ni kinyume chake, Kariakoo bidhaa zinamwagika kipindi hiki kama mvua, na wanunuzi wanazichangamkia kama nzige, Maana yakenpesa ipo, na cha ajabu kabisa, bidhaa nyingi zinazidi kushuka bei! Sasa iweje pawe na...
  8. freelancer2302

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa fedha za kigeni

    Jamani hii ishu ya dollar kutonunulika na wananchi popote kwenye taasisi zenye fedha imekaaje? Wapi tunaweza nunua?
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kama Dollar inapanda kila siku Nchi huwa inalipaje Mikopo kutoka Mashirika ya Kimataifa

    Nimejaribu kufuatilia trend ya kupanda kwa dollar inshort inasikitisha na sijui tunaelekea wapi.... Wakubwa fedha zao nyingi zipo interms of dollars ko wanazidi kufurahia tu. Na pale awamu mmoja ya uongozi inapoingia na nyingine kutoka kuna uchakachuaji mkubwa sana wa kupanda kwa dollar...
  10. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Wanaolalamika us dollar kupanda bei sana wachungulie hapo kwa jirani

    Jirani tu hapo leo imepiga 150 ksh kwa dollar moja, na kutoka kwao kuja kwa madafu ni 18.5 mpaka 19 oi.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Gavana Tutuba tueleze kwanini kuna uhaba wa Dola nchini

    Inaelekea hata Benki Kuu yetu haina lengo kwenye ajira. Angalieni wenzetu, kuna upungufu mkubwa wa dollar lakini hakuna maelezo ya kueleweka mpaka leo. - Mapendekezo kutatua tatizo la Dollar Tanzania BOT The primary objective of the Bank is to formulate, define and implement monetary policy...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo kutatua tatizo la Dollar Tanzania

    Mawazo yangu ya jinsi ya kutatua tatizo la dollar Tanzania 1. Serikali iongee na kampuni za utalii na kuwaomba walete pesa hapa utaratibu wa sasa watalii wanalipia hotel na karibu kila kitu kabla hawajaja kutalii na pesa karibu zote zinabaki kwenye bank za nje 2. EAC tuharakishe kuwa na pesa...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa sehemu ya kupata Dola kwa Dar

    Habari ndugu zangu humu jukwaani, naombeni machimbo wapi ntapata dollar. Nimezunguka sana kwenye benki lakini nimekwama, hakuna kabisa. Sehemu gani naweza kupata dola ndugu zangu? Nahitaji kuagiza mzigo Japan.
  14. JF Member

    JamiiForums Tanzania US Dollar sasa ni 2600. Airport Haipo

    Wadau. Daktari wetu wa uchumi anasemaje huko?. Dollar sasa imeadimika sana na inazidi kupaa tu. Kiufupi sasa uchumi wetu unachuchumia kifo. Hapa Aiport ya Dar haipatikani imebidi niagize mtu KARIAKOO na hiyo ndio bei. Yaani nilikuwa na Milion yangu nimeambulia dollar 385. Tuwe makini sana...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Miaka kumi iliyopita dollar moja iliuzwa Kwa TZS 1600

    Mimi kama mdau wa mapesa ya kigeni. Nasikitika kusema pesa Yetu ya Tanzania inaporomoka Kwa Kasi ya ajabu sana haina thamani kabisaa. Hii fedha ni Kwa matumizi ya ndani tu, maana ukitaka utoke nayo nje labda ubebe Kwenye mabegi. Uongo mbaya SERIKALI imelala wasi wasi wangu pia most of...
  16. Mr. JF

    JamiiForums Tanzania Sarafu ya Tanzania (TZS) yazidi kuporomoka dhidi ya Dollar (USD)

    Power to the People Wanajamvi!!! Kama umekuwa ukifuatilia mwenendo wa SARAFU yetu pendwa ya TZS kuanzia mwezi wa 5, utagundua kwamba imeporomoka sana kwenye soko la ubadilishaji wa fedha za kigeni. Kiwango ambacho TZS imeporomoka sasa hivi, hakijawahi kufikiwa tangu uwepo wa TZS duniani, yaani...
  17. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

    DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu. Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu haijapungukiwa akiba ya Dollar tu, mpaka wazee wenye hekima haina!

    Ni jambo la hatari kama nchi kukosa wazee washauri na wenye hekima! Kama jambo hili la kubinafisishwa Bandari zetu za Bara lilipita mikononi mwa wazee kwa ajili ya kushauri na wakaona vema kwamba inafaa kwa DP word kupewa mkataba usio na kikomo! Doh!! Kama Taifa, tunahasara kubwa kiasi cha...
  19. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mjadala wa "debt ceiling" unaondelea sasa USA: ni anguko la dollar ya Amerika au kitisho kwa uchumi wa dunia?

    "Debt ceiling" ni mjadala fikirishi. America kama ipo kwenye anguko la kiuchumi vilee.., na pia wapo kama vilee kwenye kubana mzunguko wa dollar yao kutishia uchumi wa dunia kuanguka kama mbinu ya kutafuta uungwaji mkono wa kidiplomasia kutengeneza washirika wapya juu ya vita vya kuinusuru...
  20. TPP

    JamiiForums Tanzania Guangdong Province: Uwekezaji wa zaidi ya dollar billion 74 kwa ajili ya semiconductors China

    你好 China’s Guangdong province is doubling down on expanding its local semiconductor industry to meet growing demand for chips from the region’s carmakers and electronics companies, according to a high-ranking local government official. Guangdong vice-governor Wang Xi told the annual China IC...
Back
Top Bottom