dollar

Dollar (symbol: $) is the name of more than 20 currencies. They include the United States dollar, Australian dollar, Canadan dollar, Hong Kong dollar, New Zealand dollar, Singapore dollar, New Taiwan dollar, Jamaican dollar, Liberian dollar, Namibian dollar, Brunei dollar, and several other.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania itaimarika lini dhidi ya Kenya shilingi (KES) au Dollar ?

    Ina sikitisha sana leo hii ukienda kubadilisha fedha ya Tanzania kwa dollar au kwa shiling ya Kenya rate ni kama ifuatavyo 1 US Dollar unatakiwa utoe 2700 Tsh 1 Ksh itabidi utoe 25 Tsh Swali kwa Wana uchumi je kuna jitihada zozote za kuinusuru shiling yetu iwe na thamani...
  2. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nimeilipia huduma mtandaoni kwa M-PESA visa, dollar 1 ni sawa Tsh 3,000

    Kama kichwa cha habari hapo juu Nimeilipia huduma Fulani mitandaoni naona gharama ni kubwa sana ni kwamba voda huwa wanakata makato yao wa huduma ama ndio hali iliyopo
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali isichukue mkopo mkubwa tuimarishe mifumo ya gas ili tusiagiz mafuta kutokea nchi za nje?

    Nawaza tu kama raia wa kawaida na mawazo haya nimeyapata baada ya kununua dollar Moja kwa tshs 2800 Ni declare interest kwamba kwenye mambo ya uchumi mimi ni maamuma, ila wazo linajia kwamba, kutokana na ukweli kwamba bidhaa inayoongoza kwa kutumia fedha nyingi za kigeni ni mafuta sasa kwa...
  4. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Leo dollar moja ya Marekani imesimama 2700 kwa shilingi ya Tanzania, tumekosea wapi kama taifa?

    Hii wachumi tunaomba mtupe shule kidogo, zipi athari zake kiuchumi kwa maisha ya mtanzania? Ukosefu wa ajira na matatizo ya kiuchumi vijana tutachomoka?
  5. Codehood

    JamiiForums Tanzania The BRICS Trading System Is Arleady Wiping Out US Dollar.

    The BRICS trading system is already wiping out US farmers, as global price discovery is destroyed (2024.08.29) Millions of tons of annual agricultural trade is now being conducted OUTSIDE the US dollar, and within the new BRICS framework.
  6. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania KERO Us dollar bado inatufinya wapangaji wa maeneo prime area Dar

    Wenye nyumba maeneo ya Masaki/Mikocheni n k wengi bado wanashinikiza malipo ya Dola (US $) Wakati nchi haina udhibiti tena wa sarafu hii. Bei ya Dola inazidi kupanda na haitabiliki kesho itakuwa kiasi Gani. Mawazo yenu wadau, namna ya kuondokana na gharama hizi za ongezeko linalotokana na...
  7. oko majimaji

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio nchi 10 za Afrika zenye thamani ndogo zaidi sana ya hela yake dhidi ya Us dollar

    Ukiangalia sarafu dhaifu za Afrika, inadhihirika kuwa udhaifu wa nchi hizi unachangiwa na sababu nyingi zenye utata. Iwe ni kutokana na kutokuwa na uthabiti kisiasa, changamoto za kiuchumi, utegemezi wa misaada. Shuka nazo hizo. 10. Angolan Kwanza (AOA) Exchange rate: 1 AOA = 0.0012 USD 9...
  8. ward41

    JamiiForums Tanzania Eti Marekani wanachapisha dollar market value ya baadhi ya makampuni ya Kimarekani

    Narudia tena na tena mchina, Russia bado
  9. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nini kilipelekea 1 Us dollar kubadilishwa kwa shilingi za kitanzania 7 mwaka 1960 mpaka shilingi 2600 mwaka 2024 ?

    Karibuni wataalamu wa Siasa na Uchumi . 1966 - 1 US dollar ilikuwa shilingi 7 za kitanzania . 2024 -1 us dollar ni shilingi 2600 za kitanzania. Hapa inaelezwa thamani ya shilingi ya Zanzibar kwa kipindi hicho
  10. ward41

    JamiiForums Tanzania Matajiri 10 wa dunia, 9 ni wa Marekani mmoja Mfaransa

    Matajiri kumi wa dunia, 9 ni wa MAREKANI mmoja MFARANSA Products zao zinajulikana. Hapo kuna google, Microsoft, Tesla, space x, Apple nk. Je, na wao wanachapisha mi dollar. Tuache kushupaza shingo, eti USA wana print dollar.
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ukuu wa Dollar ya Marekani umefika mwisho?

    Short story. Nguvu ya Marekani ipo kwenye dollar yake anbayo ndiyo "sarafu ya dunia." Moja ya sababu inayofanya dollar iendelee kuwa sarafu ya dunia ni kutumika kwake kufanyia biashara ya mafuta. Biashara yenye pesa nyingi zaidi duniani. Mwaka 1974 Marekani na Saudi Arabia(Akiwa mzalishaji...
  12. greater than

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupokea mkopo wa dollar million 150

    Kuna habari nimeiona mtandaoni,nimeona niilete jukwaani. Shirika la fedha la IMF ,litaikabidhi Tanzania mkopo wa dollar millioni 150 ili kuweza kukabiliana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dollar... Kuanzia tarehe 17 May 2024,mkopo utakuwa tayari ushaanza kupokelewa. Lucas...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Safaricom yaweka rekodi Africa Mashariki kufikisha mapato ya dollar billion 1 kwa mwaka

    Wiki hii kampuni ya simu ya Safaricom ya Kenya imefikisha mapato ya dollar bilioni 1.07 kwa mwaka na kuifanya kampuni ya kwanza katika ukanda wa Africa Mashariki kufikisha na kupita kiwango cha mapato ya dollar bilioni kwa mwaka.
  14. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Investor(s) wa kuwekeza Dollar($) 1 Million kwenye kampuni ya teknolojia (Fintech)

    How do I futa this?
  15. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Human being; Very complicated gods experiments

    Nimekaa na kutafakari; binadamu ni nani? Na purpose yake kuu ni kipi duniani? Kwanini kila mmoja anawaza tofauti lakini huwa kwenye same circle, kuanzia birth to death? Je kama kuzaliwa kwa kiumbe kipya ndio namna pekee ya kuleta mradi mpya duniani; na huonfolewa kwa kufa kwake? Je hivi kama...
  16. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Pluribus Anum, coin ya dollar ya Marekani yenye vituko vingi, je nini sababu yake kuweka emage hizi?

    Duniani kuna mambo Sana, watu wengi wakiangalia mambo yanavyokwenda sasa hivi huwa wanaamini kuwa dunia sasa imekwisha. Sasa Mimi ngoja niwaeleze dunia ndio Kwanza inaanza, utakwisha wewe tu. Je unazijuwa sarafu za dollar ya Marekani prulibus unum ambayo ndio Motto wa Marekani kwenye National...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mbona shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi dhidi ya dollar ya Marekani?

    Leo dollar moja ya Marekani ni T.shs. 2580 kulikoni?
  18. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Suala la dollar limekuaje?

    Wakuu mmeshagundua kwamba Equity bank wamesitisha manunuzi online
  19. K

    JamiiForums Tanzania Chambulo amwambia Gavana wa Benki kuu kuwa dollarization ipo kubwa zaidi serikalini

    https://youtu.be/0UZFmqxo2AY?si=2Q43Jp6nYxZ0pW5U Hadi gavana hajui sababu ya matatizo ya $? Auibu Mwenyekiti wa Chama cha watalii Tanzania, Wilbard Chambulo, amesema kuwa dollarization ipo zaidi serikalini na inasababisha watu wa wengine wadai dola. Amezungumza hayo baada ya Gavana wa Benki...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa Dollar za Marekani limekuwa tatizo lisilovumumilika Tanzania

    Nimefika bank Moja nchini kubwa kununua USD 10,000 Kwa ajili ya kukununulia gari nchini Japan. Nilichkokutana nacho ni kuuziwa USD 500 tu! Kuna shida ya USD nchini na BOT wamepiga kimya! Kibao cha kuonyesha exchange rate Kiko na kimeandika bei ya USD Kwa siku hiyo ila no USD,,! Ni nini...
Back
Top Bottom