Mbona internet ya Dodoma ni Vodacom tu?

artch2311

JF-Expert Member
Jan 5, 2016
1,374
808
Mimi ni mgeni Dodoma. Kwenye mitandao natumia zaidi Halotel na Tigo kutokana na unafuu wa gharama.

Nilipofika hapa internet inasumbua mno kiasi kwamba siwezi kustream na kuangalia video kwenye internet, wakati mwingine hata kuingia JF natakiwa kusubiri muda kidogo.

Awali nilijua simu imeharibika nikawa nafikiria kuidispose kabla ya kupata wazo la kujaribu Vodacom. Vodacom wana 4G kama Tigo lakini wako faster mno.

Nimeumia sana kwa sababu mimi sio mpenzi wa Vodacom kutokana na gharama zao. Kwa kweli Vodacom natumia M-Pesa tu.

Halotel na Tigo rekebisheni mapungufu haya, mnatuumiza wateja wenu.
 
Natumia halotel na iko vizuri sana
 
artch2311,
Nimetoka huko leo internet haijawah nisumbua kwa airtel
Airtel situmii ndugu. Nilikuwa nayo 'COORPERATE LINE' Ilipotea nikajaribu kuswap hapa Dom. Nimesumbuka miezi 2 kuirudisha bila mafanikio. Nimegundua kurudisha cooperate line ya Airtel ni kazi kuliko kurudiana na mke mlie achana.
Nimeinua mikono.
It's enough..
 
Back
Top Bottom