Kero kubwa ya Dar es Salaam kushinda zote ni foleni ndefu za magari kuelekea na kutoka Posta. Shida hii imechangiwa kwa kiasi kikubwa na ofisi na huduma nyingi kupatikana mitaa ya Posta.
Je, huko Dodoma kosa kama hili wamelizingatia? Je, ofisi nyingi za serikali zimetawanywa au zote ziko mtaa...
Hatimaye Serikali umeamua kufungua kiwanda kikubwa na cha kisasa cha kusindika mbogamboga maana sasa hivi akina mama wengi wanafunga mboga zao, Serikali imeamua kuboresha na kuandaa kiwanda kitakachoajiri watu 100,000 na kupewa mishahara ya laki 5.
Hakika hakuna kiwanda kilichokufa vyote vipo...
Wajumbe husikeni na kichwa cha habari hapo;
Mwaka jana mwezi wa saba nikiwa katika harakati za kumvisha pete mchumba wangu tuliedumu kwa muda wa miaka miwili, niligundua hakuwa mwaminifu hata kidogo. Kilichosababisha nikajua ni rafiki yangu waliyekutana kwenye semina Da es salaam ambapo demu...
Kimsingi watumishi wa umma wengi tuliohamishiwa Dodoma tunaishi maisha ya ajabu sana, bado hatujakubali kwamba ngoma ndio ishatoka hiyo na kifupi ikirudi ni panchaaa!wengi wetu tumepanga chumba kimoja ndani kuna gororo tumeweka chini basi.
Wengi wetu muda wa kazi ukiisha tunazugazuga pale...
Baada ya Rais wetu mpendwa Dk. Magufuli kutimiza ndoto ya baba wa taifa ya kuhamia Dodoma ni wakati sasa wa kufikiria ndoto ya pili ya Mwalimu Nyerere ya kuwa na muungano wa serikali moja.
Dodoma ni katikati ya ramani ya muungano wetu hivyo serikali kuhamia katika jiji hilo ni ishara nzuri ya...
Rais John Magufuli ameliagiza Jiji la Dodoma kuanzia Desemba mosi mwaka huu lianze kulipa fidia kwa wananchi wa Kikombo Dodoma ambao maeneo yao yamechukuliwa kwa ajili ya ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi Tanzania.
Ametoa agizo hilo leo muda mfupi baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo na...
Wakuu zipo sababu kibao ambazo tukizitaja zinaweza kuwa mwiba mchungu sana lakini itabidi tuzitaje ili kuuboresha mji wa Dodoma ambao umepewa hadhi ya jiji ikiwa kimuonekano baado sana
1. Geografia ya mji wa Dodoma
Mkoa huu ni miongoni mwa mikoa mikame na yenye asili ya jangwa kwa maana hauna...
Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.
My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Nauliza tu kwa wajuzi wa itifaki maana sasa kiti cha Rais kimehamia Dodoma, je hapo magogoni patajulikana kama Ikulu ndogo?
Je, ofisi za mkuu wa mkoa zitahamia humo magogoni au pale ilipokuwa wizara ya elimu ili iwe jirani na Ikulu ndogo kama ilivyo katika mikoa mingine?
Nasubiri majawabu...
Rais John Magufuli amawapa jeshi la Police jengo lililokua linatumiwana Idara ya maji Dodoma kua makao mkuu ya jeshi hilo jijini Dodoma. Pia amempongeza IGP Saimon sirro kwa kuhamia rasmi Dodoma.
Namkumbusha mheshimiwa Rais awakumbuke Zimamoto na Magereza ambao nao ni wanamahitaji kama Polisi.
Rais Magufuli amesema hakumtoa Dr Mahenge mkoani Ruvuma na kumleta Dodoma kwa bahati mbaya bali alifanya hivyo kwa kuwa anaujua uwezo wake tokea akiwa waziri wa Mazingira.
Rais Magufuli amesema Dr Mahenge anaibadilisha Dodoma kwa kasi ya ajabu na mkoa huo unaelekea kwenda kuupiku mkoa wa Dsm...
Rais Magufuli amewapa jengo la ghorofa 4 Wizara ya Mambo ya Ndani ili liwe ndio makao makuu jijini Dodoma.
Rais Magufuli amekabidhi picha na michoro ya jengo hilo kwa IGP Sirro na Waziri Kangi Lugola jijini Dodoma leo.
Source: Channel ten
Rais Magufuli ametoa pendekezo kuwa soko kuu jipya linalojengwa jijini Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai.
Hii ni kstika kuenzi mchango wa Spika Job Ndugai wa kuuletea maendeleo ya haraka mkoa wa Dodoma
Source TBC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika Sayansi ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Shahada hiyo imetolewa na Rais Mstaafu Benjamini Mkapa katika mahafali ya 10 ya chuo hicho.
====
Rais Magufuli awasili...
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango ameiomba Benki ya Maendeleo ya Afrika kuipatia Tanzania mkopo nafuu kwa ajii ya kujenga barabara ya njia Nne kuanzia Morogoro hadi Dodoma ili kuboresha usafiri na usafirishaji wa abiria na mizigo
Dkt. Mpango ametoa ombi hili Jijini Dodoma...
Rais Magufuli amejitokeza katika kitongoji cha Sokoine jijini Dodoma kwa ajili ya kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Baada ya kujiandikisha, amewaambia wakazi wa eneo hilo kuwa kwa sasa yeye ni mwenzao na ameshahamia rasmi kwenye Ikulu ya Chamwino. Hivyo yeye ni mwenzao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.