Nauza kiwanja Dodoma Nala-Lugala

0717557514

Member
Aug 26, 2016
10
3
Kiwanja kimepimwa..ni kwaajili ya shule (nursery) kina ukubwa wa square meter 2786. Bei ni 6000@square meter 1 (maongezi yapo) kwa yoyote alokua interested anicheki watsap no 0755322896
 
Siyo kazi ndogo kubadilisha matumizi ya ardhi mkuu,ni bora bango lako likajikita kuwauzia watakaowekeza katika shule
Yeah kweli boss..ndo mana nikamjib ni kwaajili ya shute..kubadilishika inawezekna ila ni process na gharama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom