Dkt. Hassan Abbas: Matukio mawili tu yaliyotokea Dodoma mnatangaza Dodoma sio salama? Hivi mmefika New york na London kweli nyinyi?

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,399
Akizungumza kwa njia ya simu kupitia Global TV msemaji wa serikali,Dr. Abbas amewashangaa wote wanàodai kuwa Dodoma sio salama kisa eti kumetokea vitukio viwili Tena vya kawaida tu.

Amesema watu hawa wanaosema Dodoma sio sehemu salama hawajawahi kufika London na New York na kujionea matukio makubwa yanayotokea kila siku.

Yaani mlevi adondoke kwenye ngazi akiwa chakali alafu uje utuambie Dodoma sio sehemu salama!?

Hatari sana.
 
Kuna kitu kinaitwa "trend".Democrats wawili washambuliwe au waingie matatani katika eneo moja hilo hilo whatever the the time lapse inaweza kuwa tukio kubwa kuliko ukabaji wa kila siku wa eneo hilo.Wasemaje wa serikali wakati mwingine wakae kimya hasa haya masuala ambayo yanahusu Polisi.
 
Akizungumza kwa njia ya simu kupitia Global TV msemaji wa serikali,Dr. Abbas amewashangaa wote wanàodai kuwa Dodoma sio salama kisa eti kumetokea vitukio viwili Tena vya kawaida tu.

Amesema watu hawa wanaosema Dodoma sio sehemu salama hawajawahi kufika London na New York na kujionea matukio makubwa yanayotokea kila siku.

Yaani mlevi adondoke kwenye ngazi akiwa chakali alafu uje utuambie Dodoma sio sehemu salama?

Hatari sana.

Nikiwa mkubwa sitasoma nikafikia kiwango cha PhD
 
Ukiona giza totoro karibia kuna kucha, wacha shetani azidi kuwapa kibri! Soon Moroto atatoa taarifa kuthibitisha maelezo spika,Msemaji wa serikali ,jamani tumieni hata vijana wetu Bongo movie wana ubunifu mkubwa!!!
 
Huyo ni Daktari kweli? tena msemaji wa serikali na katibu mkuu wa wizara?
Ungemuuliza kua anapendekeza matukio yafike mangapi ndiyo tuseme Dodoma siyo salama?
Poleni sana waTanzania kwa aina hii ya uongozi; yote haya yanasababishwa na raia wa Tanzania kutokujitambua. Mungu wasaidie waTanzania wajitambue.
 
Matukio yakitokea huko nchi za watu wao huchukua hatua za kuwatafuta wahalifu, na kuwafikisha mahakamani; hapa kwetu Lissu anamiminiwa risasi kumi na sita toka mwaka 2017 mpaka leo kimya!.

Huyo Abbas haoni hilo ni ajabu la dunia?
 
Hivi jamaa anakula mishahara miwili?
 
Akizungumza kwa njia ya simu kupitia Global TV msemaji wa serikali,Dr. Abbas amewashangaa wote wanàodai kuwa Dodoma sio salama kisa eti kumetokea vitukio viwili Tena vya kawaida tu.

Amesema watu hawa wanaosema Dodoma sio sehemu salama hawajawahi kufika London na New York na kujionea matukio makubwa yanayotokea kila siku.

Yaani mlevi adondoke kwenye ngazi akiwa chakali alafu uje utuambie Dodoma sio sehemu salama?

Hatari sana.
Ni kweli ametamka "...vitukio viwili tena vya kawaida.."?
 
Akizungumza kwa njia ya simu kupitia Global TV msemaji wa serikali,Dr. Abbas amewashangaa wote wanàodai kuwa Dodoma sio salama kisa eti kumetokea vitukio viwili Tena vya kawaida tu.

Amesema watu hawa wanaosema Dodoma sio sehemu salama hawajawahi kufika London na New York na kujionea matukio makubwa yanayotokea kila siku.

Yaani mlevi adondoke kwenye ngazi akiwa chakali alafu uje utuambie Dodoma sio sehemu salama?

Hatari sana.
Ni hadi yeye abakwe ndio atajua dodoma sio salama
 
Kuna kitu kinaitwa "trend".Democrats wawili washambuliwe au waingie matatani katika eneo moja hilo hilo whatever the the time lapse inaweza kuwa tukio kubwa kuliko ukabaji wa kila siku wa eneo hilo.Wasemaje wa serikali wakati mwingine wakae kimya hasa haya masuala ambayo yanahusu Polisi.
Mtu anaitwa Doctor lakini anayoyaongea ni ujinga mtupu hata mtu aliyeishia darasa la 7 ana nafuu
 
Akizungumza kwa njia ya simu kupitia Global TV msemaji wa serikali,Dr. Abbas amewashangaa wote wanàodai kuwa Dodoma sio salama kisa eti kumetokea vitukio viwili Tena vya kawaida tu.

Amesema watu hawa wanaosema Dodoma sio sehemu salama hawajawahi kufika London na New York na kujionea matukio makubwa yanayotokea kila siku.

Yaani mlevi adondoke kwenye ngazi akiwa chakali alafu uje utuambie Dodoma sio sehemu salama?

Hatari sana.
Duh...!.
Wabongo Bwana!.
P
 
Kuna nchi inaitwa Scandtania, sifa kuu ya kuteuliwa ni roho mbaya, kumsifia kiongozi mkuu, ufisadi na kuwa mpiga propaganda.
Sifa ya ziada ni kuwa kilaza
 
IMG-20200609-WA0004.jpg
 
Matukio yakitokea huko nchi za watu wao huchukua hatua za kuwatafuta wahalifu, na kuwafikisha mahakamani; hapa kwetu Lissu anamiminiwa risasi kumi na sita toka mwaka 2017 mpaka leo kimya!.

Huyo Abbas haoni hilo ni ajabu la dunia?
Huyu dk ana akili za kuvukia barabara tu,hana hata wazo la kujua juu ya kesho yake yeye.
 
Dodoma si salama, viongozi wa upinzani wanawindwa kama wanyama wa mwitu.

Kwanza nani aliyetoa askari wa lindo kwenye hiyo compaund ya viongozi kabla ya kutekeleza uhuni huo.
 
Abbas awambie umma wa Tanzania lini congressman au senator amepigwa risasi au ameshambuliwa na kujeruhiwa USA.
Mwaka 2017 Steve Scalise na watu wengine walipigwa risasi mjini Alexandria Virginia wakati wanacheza baseball. Aliewashambulia alipigwa risasi na baadae alifariki. Mwaka 2016, Jo Cox aliuawa Birstall kwa kupigwa risasi na kuchomwa kisu. Aliemshambulia amefungwa kifungo cha maisha. Hatatoka jela akiwa hai. Tofauti kubwa ni kuwa hawa hawakushambuliwa sehemu ambayo ilitakiwa na ulinzi wa hali ya juu. Kama watu wanaweza kuingia katika sehemu kama hii na kumshambulia kiongozi with impunity basi ni lazima maswali mengi yaulizwe. Na hakuna shambulio la kawaida mbele ya sheria. Kama amesema hivyo, amekosea.

Amandla...
 
Dik
Akizungumza kwa njia ya simu kupitia Global TV msemaji wa serikali,Dr. Abbas amewashangaa wote wanàodai kuwa Dodoma sio salama kisa eti kumetokea vitukio viwili Tena vya kawaida tu.

Amesema watu hawa wanaosema Dodoma sio sehemu salama hawajawahi kufika London na New York na kujionea matukio makubwa yanayotokea kila siku.

Yaani mlevi adondoke kwenye ngazi akiwa chakali alafu uje utuambie Dodoma sio sehemu salama?

Hatari sana.
Siku yakikuta ukiwa dodoma,utatuambia tofauti ya usalama wa miji uliyoitaja ukilinganisha na dodoma.kwa Sasa unakula mkate uliopakawa siagi.muulize membe Bernard atakuambia alikotoka naaliko kwa sasa.muulize kinana,lowasa ,sumaye na mzee makamba.kwa nafasi uliyopewa kwa Sasa lazima ume delete mafaili mabovu kichwani mwako.utayakumbuka ukifukuzwa
 
Back
Top Bottom