Waziri Jaffo: Nitawashawishi wenzangu tukubaliane mji wa Mtumba uliopo katika jiji la Dodoma uitwe Dkt. Magufuli City

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,959
141,956
Waziri wa Tamisemi Mhe. Jaffo amesema atawashawishi viongozi wenzake ili mji wa kiserikali wa Mtumba uliopo jiji la Dodoma uweze kuitwa Dkt. Magufuli City.

Jaffo amesema anajua Rais Magufuli atakataa lakini piga uwa garagaza mji wa Mtumba lazima uitwe Dr Magufuli City.
Hatuwezi kumpa vibarabara vya uchochoroni mh Rais Magufuli wakati yeye ndiye ameujenga mji huu kufikia hapa tulipo, amemalizia Jaffo.

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama!
 
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema atawashawishi viongozi wenzake ili jiji la Dodoma liweze kuitwa Dr Magufuli City.

Jaffo amesema anajua Rais Magufuli atakataa lakini piga uwa garagaza jiji la Dodoma lazima liitwe Dr Magufuli City.
Hatuwezi kumpa vibarabara vya uchochoroni mh Rais Magufuli wakati yeye ndiye ameujenga mji huu kufikia hapa tulipo, amemalizia Jaffo.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Mji wa serikali Mtumba au Dodoma cuty? Naona unapotosha?
 
Wasisahau hivi sasa huko Ulaya kuna masananu ya watawala wa zamani yaliyodumu kwa miaka mingi ila leo hii yanaondolewa kwa kuangushwa na waandamanaji hivyo wajue kumbukumbu nzuri ni ile ya kufanya mambo yatayodumu katika mioyo ya watu kwani hilo jina kesho anaweza kuja mtawala mwingine na kulifuta, ila ukitenda mema,hakuna mtawala ataeweza kufuta mazuri yaliyo katika mioyo ya watu na ndio maana Nyerere leo hii anakumbukwa sio kwa sababu ya vitu vinavyobeba jina lake, bali ni kwasababu amekaa katika mioyo ya watu ingawa hakuwa mkamilifu.
 
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema atawashawishi viongozi wenzake ili jiji la Dodoma liweze kuitwa Dr Magufuli City.

Jaffo amesema anajua Rais Magufuli atakataa lakini piga uwa garagaza jiji la Dodoma lazima liitwe Dr Magufuli City.
Hatuwezi kumpa vibarabara vya uchochoroni mh Rais Magufuli wakati yeye ndiye ameujenga mji huu kufikia hapa tulipo, amemalizia Jaffo.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!

Kwa walivyolewa sifa, ashakum si matusi watu mahaba yamewazidi kupitiliza bado kuliwa tu.
 
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema atawashawishi viongozi wenzake ili jiji la Dodoma liweze kuitwa Dr Magufuli City.

Jaffo amesema anajua Rais Magufuli atakataa lakini piga uwa garagaza jiji la Dodoma lazima liitwe Dr Magufuli City.
Hatuwezi kumpa vibarabara vya uchochoroni mh Rais Magufuli wakati yeye ndiye ameujenga mji huu kufikia hapa tulipo, amemalizia Jaffo.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Naona kumekuja na gear nyingine eti "tutamlazimisha"
 
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema atawashawishi viongozi wenzake ili jiji la Dodoma liweze kuitwa Dr Magufuli City.

Jaffo amesema anajua Rais Magufuli atakataa lakini piga uwa garagaza jiji la Dodoma lazima liitwe Dr Magufuli City.
Hatuwezi kumpa vibarabara vya uchochoroni mh Rais Magufuli wakati yeye ndiye ameujenga mji huu kufikia hapa tulipo, amemalizia Jaffo.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Swala mpeni Hilo jina Ila akiingia rais mwenye akili timamu analibadilisha sijui mtajisikiaje kuonekana wajinga tujikumbushe achofanya Mungai akiwa Waziri wa elimu,ka unampenda Sana my mpe jina lake mwanao mbona inatosha tu,kila siku atake asitake yaan mshamjua mh anapenda nn basi mnacheza na code tu
 
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema atawashawishi viongozi wenzake ili jiji la Dodoma liweze kuitwa Dr Magufuli City.

Jaffo amesema anajua Rais Magufuli atakataa lakini piga uwa garagaza jiji la Dodoma lazima liitwe Dr Magufuli City.
Hatuwezi kumpa vibarabara vya uchochoroni mh Rais Magufuli wakati yeye ndiye ameujenga mji huu kufikia hapa tulipo, amemalizia Jaffo.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!

Hongera kwake kwa hilo pendekezo, angalizo tutapambana hilo pendekezo lisifanikiwe, Idodomya itabaki hivo milele
 
Back
Top Bottom