Nimemsikia Tundu Lissu kupitia East Africa Radio kwamba leo ataendelea na kampeni mkoani Ruvuma kisha wataelekea Dodoma, Singida, Kilimanjaro, Tanga na kumalizia Dsm siku ya mwisho.
Nauliza tu ratiba hii ya mikoa 6 ndani ya siku 3 ina baraka za NEC?
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28 yatatangazwa Da es Salaam na sio Dodoma kama ilivyotangazwa awali
Dodoma ni Makao Makuu ya Tume hiyo lakini Dar kuna tawi la Tume kwa hiyo watatumia ofisi ya Dar kama ilivyokuwa katika Uchaguzi Mkuu wa...
Hii imeandikwa na Mwananchi Online Newspaper leo..
Kwamba mji wa Dodoma makao makuu ya serikali ya nchi hii kuna shida ya maji kiasi cha wananchi kununua ndoo ya maji Tshs. 1,000?
Ni nini kinapaswa kuwa kipaumbele kuwekeza fedha kwa ajili ya maendeleo ya watu?
Je ni kujenga uwanja wa ndege...
Inaelezwa jiji la Dodoma linakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji uliopelekea dumu kuuzwa kwa bei ya Tsh 1000 katika mji mkuu huo wa Tanzania
Chanzo: Gazeti la mwananchi kupitia Facebook page yao
Tukutane kwenye comment
Siku chache zilizopita mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM na makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan alinukuliwa ktk moja ya mikutano yake ya kampeni akisema..
Hata kama kura hazitatosha mwaka huu, wao (i.e CCM) wana uhakika wa kuunda serikali na kuendelea kutawala kwa miaka mingine...
Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo Wanaomuunga Mkono Tundu Lissu wanavyojitokeza na kuzidi kuongezeka.
Mwangalie Sheikh Ponda Issa Ponda alivyotikisa Dodoma leo.
Video hii hapa
====
SHEIKH PONDA: WAISLAMU TUMEKUBALIANA TUTAMPIGIA KURA LISSU
Sheikh Ponda Issa Ponda amesema Mgombea wa Urais...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya mwisho ya kampeni za urais inaonyesha wagombea wanaochuana katika Uchaguzi Mkuu, Rais John Magufuli wa CCM atafunga kampeni zake Dodoma huku Tundu Lissu wa CHADEMA akihitimisha Dar es Salaam 27 Oktoba 2020.
Ratiba inaonyesha mgombea wa CCM, Rais...
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni zake za kuingia Ikulu katika mikoa ya kati.
Mgombea huyo ambaye kila dalili inaonyesha atapata ushindi mkubwa ataingia jimboni Kongwa anakotokea aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai.
Kuna Maandalizi makubwa ya mapokezi...
MKINICHAGUA OKTOBA 28, KUWA RAIS WA NCHI HII NITAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA"
DODOMA- CHEMBA
Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote
Haki ya Elimu kwa kila Mtanzania
Haki ya Lishe Bora na uhakika kwa kila Mtanzania
Haki ya Afya Bora na ya uhakika kwa...
Akiwa mkoani Dodoma ambayo kwa asili ni ngome ya chama cha mapinduzi, Ndugu Lissu amefafanua kwa uzuri kabisa na kwa lugha rahisi kabisa ya kueleweka anamaanisha nini pale CHADEMA inaposema haki, uhuru na maendeleo ya watu.
Mheshimiwa Lissu ameelezea ukosefu wa haki kwa kutolea mfano chaguzi za...
Hatimaye adhabu aliyopewa Tundu Lissu imemalizika Jana.
Mgombea huyo anayeungwa mkono na mamilioni ya Watanzania leo ataendelea na Kampeni yake katika mikoa ya Dodoma katika maeneo ya Chamwino na Singida katika maeneo ya Ikungi na Manyoni.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekuwa ni kichekesho Cha...
CCM imekuwa ikipoteza uungwaji mkono katika maeneo mbalimbali ya nchi kwa muda sasa na chaguzi zimekuwa zikithibitisha ukweli huu.
CCM ilianza kufutika taratibu katika mikoa ya Kigoma,mikoa ya kanda ya kaskazini, ikaja Dar-es-Salaam, kisha Mbeya, maeneo ya mijini na kwenye majiji nchi nzima...
Hiko cha kwenye msingi wa jiwe
Chenye bamba 1129
Hicho ktkt ya hiyo duara
Ukubwa sqm 611
Ni km 3 tu kutoka City Centre(katikati ya jiji)
Kipo mtaa wa Chinyoya kata ya kilimani Dodoma mjini
Price: 6 million (negotiable)
Contact ; 0715354693 au 0759395908
Habari wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza kama una eneo halina kazi naomba tukutane, ili tuone kama tunaweza kushirikiana tufuge nguruwe kama washirika mimi nina mtaji wewe eneo.
Eneo lisiwe nje sana ya mjini
Tafadhari tuwasiliane PM
Mrejesho: Nimeshapata eneo tayari ahsante JF
Mgombea Urais kupitia CHADEMA amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao. Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni
=====
=> Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na...
RIPOTI ya hali ya ukeketaji nchini inaonesha kuwa Mkoa wa Manyara ni kidedea kwa kukeketa wasichana huku ripoti hiyo ikieleza kuwa wasichana wanaozaliwa au kulelewa na mama aliyekeketwa hukeketwa pia.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kutokomeza ukeketaji kwa Mikoa ya Kanda ya Kati...
Baada ya kuanza kampeni za kuwania Urais katikati ya kitovu cha nchi na kwenda mikoa mbalimbali, leo mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amerejea mjini Dodoma na kulakiwa na wananchi mbalimbali wa mkoa.
Katika furaha isiyo kifani, Dkt Magufuli amecheza wimbo wa 'Tanzania ya sasa'...
"Kuna watu wanagombea urais nimewasikia mwingine anasema ameonewa sana 'nimepigwa risasi', hiyo kupigwa risasi ni jambo baya lakini sio kila anayepigwa risasi anafaa kuwa rais, vinginevyo watu wote wangetamani kupigwa risasi ili wawe marais." - Stephen Wasira.
globalpublishers
Nyie Watoto wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.