Habari za jumamosi wakuu, mdogo wenu nauliza jinsi ya kufika kiwanda cha magodoro ya Dodoma asili ukiwa Dodoma. Sehemu ya kuanzia safari itakuwa sabasaba stendi au chako ni chako.
Natanguliza shukrani🙏
Waziri mkuu ametembelea kwa ghafla hospital ya Uhuru iliyopo Chamwino mkoani Dodoma na hajaridhishwa na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wake.
Akiwa amekasirishwa mh. Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa kuhakikisha ujenzi unakamilika ndani ya siku 15 ili mh. Rais Magufuli aje aifungue siku ya...
Kama mnavyojua wandugu kuwa kwa sasa makao makuu rasmi imekuwa ni Dodoma, mpaka Rais yuko hapa, Waziri Mkuu na wadosi wengine wamehamia huku.
Kwahiyo gharama za vitu na bidhaa zimesogea kidogo hasa kwa upande wa wale jamaa wa kula Faru John mbuzi katoliki.
Yaani hapa nilipo naona kama ni...
Greetings!
Nia ya President JPM ya kuifanya Dodoma kuwa capital city kwa vitendo was great. Ninaomba afanikiwe. Jiji la Dodoma ni kubwa geographically na ni zuri ki-usalama na kwa serikali kukaa hapo tofauti na a notable commercial city like Dar. My intention is to advise the CiC kuhusu...
Huku mtaani kulikuwa na magofu mengi yamesimama ila watu baada tu ya kulipwa hela ya uhamisho ujenzi umeendelea na wengine wamemaliza kabisa.
Watumishi waliokuwa na ndoto za magari wamenunua hata ya mkononi kwa mtu.
Wengine wamenunua viwanja hata kama ni vidogo.
Wengine wamepauwa nyumba zao...
Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
Amani iwe nanyi wadau!
Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.
Leo alfajiri, Magufuli...
Ni mbunge wa Bunge la Tanzania
Ni Wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania & Zanzibar
Msomi wa Shahada ya Uzamili Sheria aliyoipata Chuo Kikuu Cha Wales nchini Uingereza.
Amehudumu akiwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwa Miaka kumi kuanzia 2007
Mwanachama hai na Mtiifu wa Chama Cha...
KWA MAHITAJI YA RAMANI ZA NYUMBA NA MAJENGO MBALI MBALI.
Faida utazozipata kwetu ni hizi.
1: Tutakuandalia gharama zote za ujenzi wa jengo lako.
2: Tutakusaidia kufuatilia kibari cha ujenzi.
Wasiliana nasi: 0765105802/0626814150.
Ofisi zetu: Dodoma Mjini, Makole, Karibu na ofisi za kata.
Na 'Uchungu' zaidi unakuja pale ambapo GENTAMYCINE naweza Kuingia Kenya kwa njia za Panya na nikakaa huko bila 'Kukamatwa' lakini wengine 24/7 huwa 'wanatuaminisha' kuwa ni Wanasiasa 'Wajanja' lakini wakiingia mitaa ya 'Kaijia Dodo' wanakamatwa kama 'Kuku' na kurudishwa walikokumbilia baada ya...
Leo November 5, 2020 anaapishwa Dkt. John Magufuli kumalizia Muhula wake wa mwisho kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi uliofanyika October 28 mwaka huu. Wageni kadhaa wameshafika akiwemo Rais wa Uganda, Yoweri Museveni.
Kuwa nami kukujuza...
Huu uzi ufutwe.
Nilikuwa na kijana Namuombea kazi.
Alikiwa ni kijana wa Dodoma
Elimu yake
Undergraduate Development Economics.
Masters Degree in Finance and Investment.
AMEMALIZA MASOMO NA AMEPATA KAZI.
Asanteni kwa ushirikiano.
🙏
Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Magufuli ataapishwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, Novemba 5, 2020, hafla itakayohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa.
Wananchi wanaopenda kuhudhuria wanakaribishwa kufika uwanjani kabla saa 1 asubuhi.
Dkt. Magufuli wa...
Ndege aina ya Airbus 220_300 leo imetua katika uwanja wa ndege wa Dodoma na kupokelewa na wananchi walokuwa wakiisubiri kwa hamu.
Gharama halisi ya tiketi ya ndege kwenda Dodoma sasa ni shilingi 247,000 /-.
Ndege hii ina urefu wa ni mita 38.7, na kwa jumla inaweza kuketi abiria 141.
Urefu wake...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dodoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Dodoma una jumla ya majimbo ya uchaguzi 10. Wagombea walioshinda kwenye hayo majimbo ambayo ni...
Rais Magufuli amefungua msikiti wa kisasa unaoitwa Abubakar Bin Zuber Chamwino Dodoma leo.
Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Vyombo vya Dola akiwemo CDF Mabeyo, IGP Sirro, Mkurugenzi wa TISS, Diwani na makamanda wa JKT waliojenga msikiti huo.
Source: Channel Ten
Maendeleo...
Wakuu kwa sasa ni suala la muda tu kwa Nchi yetu kupata Rais Mpya kutoka kwenye chama kipya , naandika haya kwa kujiamini kabisa baada ya Tathmini ya uhakika , njia pekee ya kumshinda Lissu kwenye uchaguzi huu ni kuiba kura tu .
Nirudi kwenye mada , Leo Tundu Lissu ataendelea na mikutano kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.