dodoma

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa jifunzeni kwa Anthony Mtaka wa Dodoma jinsi ya kufanya motisha kuinua elimu

    Elimu Dodoma ; - Uongozi wa Mkoa Umewazawadia kwa kuwalipia Ada ya miaka 2(Form Five na Form Six). Zawadi hii ni kwa wanafunzi wote waliofaulu mitihani ya kidato cha nne kwa kupata Daraja la Kwanza. Wavulana waliopata Pointi 7 ( Shule za Serikali) na Wasichana wote waliofaulu Daraja la...
  2. JamiiForums Tanzania Wauza ndizi wagomea soko la Ndugai

    Ni kwamba toka jumanne wiki hii hakuna kitu kinachoitwa ndizi Dodoma. Wauza ndizi wamegoma kuhamia soko la Ndugai wanadai liko porini, waandishi wa habari kazi kwenu.
  3. JamiiForums Tanzania Mwalimu auawa kikatili tena Dodoma wadau, hii inaogopesha

    Mwenye ripoti kamili ndugu zangu. Tuna shida. Tunahitaji uponyaji. Hii inaogopesha.
  4. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Dodoma linamwogopa Dogo Manda? Kuna nini nyuma ya Pazia?

    Miaka kama 20 iliyopita katika kijiji cha Chigongwe nje kidogo ya manispaa ya Dodoma, yalitokea mauaji ya mlinzi aliyekuwa akilinda yard ya kampuni ya Konoike kipindi kampuni hiyo inatengeneza barabara ya Dodoma - Singida - Mwanza. Inasemekana mlinzi huyo alipigwa mshale na watu waliodhaniwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba yanukia: Mahakama kuanzisha Supreme Court, jengo limeshajengwa Dodoma

    Katika hotuba yake, Mtendaji Mkuu wa Mahakama ameelezea kwamba ujenzi wa jengo la supreme court unaendelea. Bila shaka muda wowote katiba itafanyiwa marekebisho ili kuijumuisha mahakama hii, ambayo itakuwa mahakama ya juu kabisa, kwa Sasa mahakama ya juu ni mahakama ya rufani(court of appeal)...
  6. JamiiForums Tanzania Dodoma: Watu 5 wa Familia moja wauawa

    Watu watano wa familia moja wameuawa na watu wasiojulikana katika eneo la Zanka wilayani Bahi mkoani Dodoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amebainisha kuwa Jeshi hilo linaendelea na uchunguzi juu ya tukio hilo. Chanzo: Radio One...
  7. JamiiForums Tanzania Nani aliamuru jengo la bunge Dodoma kujengwa uswahilini

    Kila nikipita mbele ya ofisi za bunge Dodoma najiuliza nani alimuru lile jengo kujengwa pale. Hakuna parking ya kutosha, magari ya wabunge mengi huishia nje ya uzio Ni uswahilini hakuna utulivu huku wahuni wa Makole huku wanafunzi wa CBE na vurugu zao. Mapori yote ya Dodoma mkakosa kukamata...
  8. JamiiForums Tanzania Mbivu na mbichi za Wagombea Uspika wa CCM kujulikana leo Januari 19, 2022

    Mchakato huo unaendelea pia kwenye Chama cha ADC ambacho ni kati ya vyama vya upinzani chenye mgombea, Maimuna Kassim, aliyejitokeza kuchukua fomu ya kuwania kiti hicho kilichoachwa wazi. Wateule ndani ya CCM watajulikana baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama hicho kupitisha majina...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Dodoma tumezidi kuonewa kwenye suala la ardhi

    Inauma mwananchi kudhulumiwa maeneo aliyoyaendeleza kabla ya uhuru Inashangaza maeneo ya Msalato, Kiterela watu waliokuwa wanamiliki mashamba ya asili kuporwa kwa kisingizio cha upangwaji Jijji. Mbona MZEE Magufuli eneo alilopitisha SGR Mtumba na alipojenga Mji wa Serikali aliwalipa pesa bila...
  10. JamiiForums Tanzania EWURA Makao Makuu Dodoma wajifunza utapeli wa ajira hewa

    EWURA MAKAO MAKUU DODOMA WANATANGAZA. KAZI NA HAWAITO WATU KWENYE INTERVIEW MATOKEO YAKE WANAAJIRI KINYEMELA. Mfano ajira hii tangu itangazwe hadi leo Hakuna kinachoendelea ila unaweza Kukuta Nafasi hii ilishajazwa huku watanzania Salisbury kuitwa kwenye Interview. January Makamba upo...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kujua 'Logic behind' Ikulu mpya ya Dodoma kufanana Kiujenzi ( Kiramani ) na hii ya Dar es Salaam

    Kama tunajenga Ikulu hiyo hiyo kama ya Dar es Salaam nini maana ya Wasomi wetu hasa wa Ujenzi kuhimizwa zaidi Suala la Ubunifu ili Kupendezesha eneo na hata Mazingira pia? Nayasubiri tu majibu yenu Wapendwa.
  12. JamiiForums Tanzania Dodoma: Afungwa miaka miwili kujifanya ofisa TRA

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Dodoma, imemhukumu mkazi wa Dar es Salaam, Kitareti Mahuti, kifungo cha miaka miwili jela na kulipa faini ya Sh. milioni mbili kwa kosa la kujifanya mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Hukumu hiyo ilitolewa Jumanne wiki hii na Hakimu Mkazi Aloyce...
  13. JamiiForums Tanzania Job Ndugai akutana na Rais Samia Ikulu Dodoma

    Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Rais Samia kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino. Pia soma; Spika Job...
  14. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae kukabidhi crown very soon akiwemo mbabe Mwanza ambaye so far bado anahold title la jiji kubwa after...
  15. JamiiForums Tanzania Usaili wa PCCB Dodoma umenikutanisha na Ex’s wangu kwa ufupi tu ukiona manyoya jua keshaliwa

    Baada ya jana kumpokea stendi kuu ya Dodoma na kumlipia lodge, akanipa tunda maana tuna miaka miwili hatujaonana na huyu Mama E. Asubuhi nikampeleka chuo cha Dodoma kwenye usaili, mchana nikamfuata nikampeleka Malaika Annex kula kuku wa kuchoma baadae nikampeleka room kwake akapumzike kidogo...
  16. JamiiForums Tanzania Kilichotutokea jana Bambalaga - Dodoma

    Tukiwa tunapta vinywaji tukiwa na jamaa zangu, mmoja wetu alimtaka demu mmoja mbaye inaonekana alikuwa muuzaji wa K, jamaa alimwimbisha demu akakubali akajumuika na sisi. Yule demu alikuwa anafanya movement ambazo nizitilia shaka, mara kadhaa alikuwa anaenda kuongea na mabaunsa sikujua walikuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Bunge: Taratibu za Uchaguzi wa Spika zinaendelea. Wabunge kurejea Dodoma Januari 31, 2022

    Bunge limesema taratibu za Uchaguzi wa kujaza nafasi ya Spika iliyo wazi baada ya Job Ndugai kujiuzulu zinaendelea Kamati zilizokuwa zikutane kuanzia Januari 10 pamoja na zile zilizotakiwa kukutana kuanzia Januari 17, 2022 hazitakutana wakati huo Badala yake zitakutana wakati wa Mkutano wa...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanaohitaji usafiri wa Coster kesho asubuhi kwenda Dodoma na kurudi

    Kwa wanao hitaji usafiri wa kwenda Dodoma na coaster kesho asubuhi booking na sisi 0682373327, wahi mapema siti zipo chache.
  19. JamiiForums Tanzania Ni ukweli upi kinachoendelea Dodoma? Je, kasi inadidimia kila kukicha?

    Wakuu, hivi karibuni maandiko yanaandikwa humu JF, kuhusu koporomoka kwa kasi ya biashara na uchumi wa Dodoma. Huku mtaani nako, wananchi baadhi wanasema tangu hayati ametoka, kasi ya ukuaji uchumi wa Dom unaporomoka. Wengine wamekuwa wakipotezea hizi claims kuwa mji unadidimia, wakisema mji...
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji Usafiri wa IT kwenda Dodoma

    Nahitaji usafiri wa Gari za IT nahitaji niondoke saa 3 usiku na kufika Dodoma saa 12 asubuhi, kuna issue ya saa 2:30 Asante waugwana nimefanikiwa kupata Coster pale Mbezi nimeanza safari saa 4 usiku nikeingia Dom saa 11:00 Nimemalizana na jambo langu nipo njiani kurudi jijini Dar.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…