dodoma

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Bunge: Taratibu za Uchaguzi wa Spika zinaendelea. Wabunge kurejea Dodoma Januari 31, 2022

    Bunge limesema taratibu za Uchaguzi wa kujaza nafasi ya Spika iliyo wazi baada ya Job Ndugai kujiuzulu zinaendelea Kamati zilizokuwa zikutane kuanzia Januari 10 pamoja na zile zilizotakiwa kukutana kuanzia Januari 17, 2022 hazitakutana wakati huo Badala yake zitakutana wakati wa Mkutano wa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanaohitaji usafiri wa Coster kesho asubuhi kwenda Dodoma na kurudi

    Kwa wanao hitaji usafiri wa kwenda Dodoma na coaster kesho asubuhi booking na sisi 0682373327, wahi mapema siti zipo chache.
  3. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ni ukweli upi kinachoendelea Dodoma? Je, kasi inadidimia kila kukicha?

    Wakuu, hivi karibuni maandiko yanaandikwa humu JF, kuhusu koporomoka kwa kasi ya biashara na uchumi wa Dodoma. Huku mtaani nako, wananchi baadhi wanasema tangu hayati ametoka, kasi ya ukuaji uchumi wa Dom unaporomoka. Wengine wamekuwa wakipotezea hizi claims kuwa mji unadidimia, wakisema mji...
  4. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Usafiri wa IT kwenda Dodoma

    Nahitaji usafiri wa Gari za IT nahitaji niondoke saa 3 usiku na kufika Dodoma saa 12 asubuhi, kuna issue ya saa 2:30 Asante waugwana nimefanikiwa kupata Coster pale Mbezi nimeanza safari saa 4 usiku nikeingia Dom saa 11:00 Nimemalizana na jambo langu nipo njiani kurudi jijini Dar.
  5. Lameckjr

    JamiiForums Tanzania PCCB usaili Dodoma

    Habari zenu wakulungwa!! Naomba kujua mtu ambaye ataenda/yuko invited kwenye usaili wa PCCB Jumamosi ijayo pale Dodoma? Anayetokea Dsm, Mwenye private car tuchangie mafuta twende naye Asante
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama 99.9% ya Viongozi wa Dodoma Jiji FC akina Mbunge Mavunde na Kunambi ni Yanga SC lia lia, leo mnategemea kabisa Yanga SC isishinde Goli nyingi?

    Dodoma Jiji FC kabla ya Kucheza na Simba SC kuanzia Msemaji wao, Mlezi wao Mkuu na Mbinge Antony Mavunde hadi Kiongozi wao Mwandamizi Kunambi walikuwa mara kwa mara wakizungumza, wakiitishia Simba SC huku wakiikamia ile mbaya Mechi husika. Je, mmeshajiuliza ni kwanini Viongozi hawa hawa...
  7. LIFE PAIN GAIN

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya sasa ungewekeza wapi -Dodoma, Katoro au Kahama?

    Yes wakuu, Ni mwaka mwingine huooo, its always about kupambana na maisha na kutafuta ugali pale palipo na unga mwingi. Naongelea penye kasi kubwa ya ukuaji, nguvu ya manunuzi inayoongezeka maradufu na mzunguko wa pesa unao impress. Recently hii miji imetajwa inayokuwa kwa kasi..Dom, Katoro...
  8. SaulGoodman

    JamiiForums Tanzania Tulioitwa Dodoma Kwenye Usahili wa Awali TAKUKURU (PCCB) hebu tujuzane kidogo

    Habari za wakati ndugu zangu, natumaini mu wazima. Bila kupoteza muda naomba nielekee kwenye hoja ya msingi. Leo Tume ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) wametoa orodha ya majina ya watu waliofuzu kwenda Dodoma kufanya usahili wa awali wa maandishi (amplitude test) siku ya tarehe 8...
  9. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Ndani ya jiji la Dodoma baada ya miaka 26, asante Hayati Dkt. Magufuli

    Hii mada inaonesha kumbe watu wengi bado wana mtazamo hasi dhidi ya mji wa Dodoma. Binafsi mara ya kwanza nimefika Dodoma miaka 26 iliyopita. Kweli wakati huo maisha yalikuwa magumu sana kuishi Dodoma kwa sababu zifuatazo; Mosi, mji ulikuwa ni mfinyu mno, ulikuwa unaweza kutumia dk zisizozidi...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais ukimaliza likizo ya Sikukuu tembelea vibanda vya chips Dar na Dodoma ujionee maajabu!

    Ofisi ya Makamu wa Rais ndo inashughulikia Mazingira. Baada ya Mifuko ya Plastik kuweza kuondolewa pale Mama Samia alipokuwa Makamu wa Rais Naona sasa Waziri wako Jaffo anataka kuichafua Ofisi yako Nimetembelea Dar na Dodoma Naona kwenye vipanda vya chips wameanza kufungia mifuko ya plastiki...
  11. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Toka Magufuli aage Dunia, umuhimu wa Dodoma unafifishwa kwa makusudi kabisa

    "....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa." "...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!" "...hii siyo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania WADAU WA KILIMO DODOMA MWENYE PLANTER YA KUKODISHA

    Kama mada inavyojieleza hapo juu ninajishughurisha na kilimo changamoto ni hiyo mashine ya kupandia mwenye nayo anione inbox tuelewane. asanteni
  13. Rumi96

    JamiiForums Tanzania Msaada kujua tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa client gani.

    Wakuu habarini, naomba kujuzwa tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa contractor gani. Supply and Installation of 220/33 kV, 2 x 10 MVA substation Extension in Mtera. Tender hii ilitangazwa mwaka 2013 kama sijakosea. Natangauliza shukrani.
  14. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

    Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa ===== WATU WASIOJULIKANA WAVAMIA NYUMBANI KWA MBUNGE HUMPHREY POLEPOLE, Watu...
  15. hyassin92

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watu wa Dodoma, msaada mishe za kufanya

    H
  16. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Dodoma atangaza kuondoa makazi ya watu zaidi ya elfu 10 kata ya Kizota

    Kumetokea na sintofahamu baada ya ya hati JPM kuaga dunia, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma ametangaza kuondoa makazi ya watu zaidi ya elfu 10 kata ya Kizota na bila kujali hawanchi wataenda wapi wala kuishi wapi bali wanajali kupata pesa. Wananchi wameuliza sababu za kubomoa makazi.
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Serikali imehamishiwa Dodoma kwa gharama kubwa, kwanini bado mnatutesa kwa misafara isiyoisha huku Dar? Hamna huruma?

    Kweli mnasubirisha watu maelfu kwa maelfu lisaa lizima, tena peak ya Rush hour, halafu gari zenyewe za msafara hata 10 hazifiki. Jamani, kama mna haraka sana wekeni utaratibu wa kupanda bodaboda, kwani nyie ni nani msipandishwe pikipiki?!
  18. Simple F

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa duka lenye mabati bora kwa bei nafuu

    Wanajamvi naomba kujuzwa duka lenye mabati yenye ubora na bei nafuu Dodoma maana nahitaji bati kama mia mbili (200) nitashukuru kwa msaada
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa TZS 300BL kukamilisha majengo ya Serikali Jijini Dodoma

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma, Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi. Akizundua awamu ya Pili ya...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Ditopile amshukuru Rais Samia kwa maendeleo anayoyafanya Dodoma

    MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna ambavyo ameendelea kuipa kipaumbele Mkoa wa Dodoma katika miradi mbalimbali ya kimaendeleo ikiwemo Sekta ya Maji, Elimu na Miundombinu huku akiwaomba wananchi wa Kata ya Handali kumchagua Mgombea...
Back
Top Bottom