dodoma

  1. J

    Rais na Taasisi saidizi zirudi Dar es Salaam, Makamu wa Rais abaki Dodoma

    Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote. Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo...
  2. Kaluluma

    Naomba pikipiki kwa ajili ya bodaboda Dodoma

    Habari za leo wakuu,kijana wenu naomba yeyote mwenye pikipiki kwa ajili ya bodaboda anipatie nimfanyie kazi kama dereva wake kwa hesabu tutakayokubaliana kwa uaminifu mkubwa kabisa. Au kama kuna ambaye anafahamu wapi nitapata mkopo wa pikipiki unaolipiwa either kwa kila wiki au mwezi kwa...
  3. Nizhneserginsky

    Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

    Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada. Mapenzi yana nguvu sana pale unapopenda kisawasawa unaweza tembea umbali mrefu kufuata penzi bila kujali umbali, gharama zozote ili mradi ufanikishe jambo Binafsi nina visa viwili. 1. Niliwahi kusafiri toka Moshi kwenda Tanga kufata penzi...
  4. Yenga08

    Hongereni wana Mbeya na poleni wana Mwanza

    Toka ateuliwe kuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya huyu ndugu wana Mbeya hawajawahi kumkubali kabisa, maana utendaji wake wa kazi ni wa sifasifa tu na mda wote kwa media siyo kama Jembe la Simiyu lililopelekwa Dodoma, hongereni saana pia wana Idodomya. Naamin kabisa watu wa Mbeya watakuwa na furaha sana...
  5. J

    Kwanini viongozi wa kitaifa hupenda kula Sikukuu DSM badala ya Dodoma yalipo makazi yao?

    Nauliza tu maana Dodoma wamebakia akina mzee Mgaya na mzee Ndugai wengine wote wametimkia Dar es salaam kula sikukuu ya Eid El Fitr. Ni kwamba Dodoma ni padogo au bado ni mashambani hakufai kusherehekea sikukuu zenye amsha amsha?!! Eid Mubarak!
  6. Y

    Natafuta kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa , Ipagala au Nzuguni

    Salaam wadau. Natafuta Kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa, Ipagala au Nzuguni. Kiwe kimepimwa na kiwe na hati kwa Matumizi ya makazi. aksanteni.
  7. J

    Anthony Mavunde akutana na Walimu, Maimamu na Masheikh wa kata wa Jiji la Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde akiongozana na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma Alhaj Mustafa Rajabu Shaban leo amekutana na walimu,maimamu na masheikh wa kata wa Jiji la Dodoma na kutoa salamu zake na ujumbe kuelekea sikukuu ya Eid El fitri katika hafla iliyoenda sambamba na...
  8. Doctor Mama Amon

    Uzinduzi wa ripoti ya utendaji wa mamlaka za maji Dodoma: Bwana asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo na Asalam Aleikum za nini?

    Kuna matangazo mbashara kupitia TBC1. Ni uzinduzi wa ripoti ya utendaji wa mamlaka za maji na usafi wa mazingira kwa mwaka 2019/2020. Ni tukio zuri. Watendaji wote wa RUWASA kutoka nchi nzima wapo hapa Nafuatilia. Tatizo: wengi wanaosimama salamu ni Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo, Asalam...
  9. PendoLyimo

    Waziri wa Mawasiliano, Dkt. Faustine Ndugulile atembelea Maonesho ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu

    DKT. NDUGULILE ATEMBELEA MAONESHO YA MAKISATU. Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile ametembelea mabanda ya wabunifu mbalimbali kwenye Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Jamhuri jijini...
  10. Poppy Hatonn

    BAWACHA wapo Dodoma kupima kina cha maji

    Polisi ya Tanzania ni ile ile. Jambo gani litawafika hawa wadada? Hawa wadada lazima wafuate Sheria za Tanzania kama wengine wote tunavyozifuata. Wanataka kulivamia Bunge kama wafuasi wa Trump walivyoivamia Congress. Hawa watu hawana uzalendo. Hawa ni vilaza au vipi? Lazima tuwe na nidhamu...
  11. J

    Basi la Bawacha kuondoka Geita kesho kuelekea bungeni Dodoma kuwang'oa akina Halima Mdee na wenzake

    Msafara wa Bawacha unatarajiwa kuondoka Geita kesho asubuhi kuelekea bungeni Dodoma kumshinikiza Spika Ndugai awatimue bungeni akina Halima Mdee na wenzake. Ni msafara wa mabasi kadhaa ambapo mengine yataunga msafara njiani kama Kahama, Nzega na Singida huku Husna Said wa Chato akiongoza...
  12. J

    Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde ashiriki zoezi la ufunguzi wa barabara zilizokuwa hazipitiki kwa muda mrefu

    Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ashiriki zoezi la ufunguzi wa barabara zilizokuwa hazipitiki kwa Muda mrefu Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde leo ameshiriki na viongozi wa Kata ya Chigongwe kukagua zoezi la kufungua barabara yenye urefu wa kilomita 5.2 kutoka eneo la...
  13. Etwege

    Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

    Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi! Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka...
  14. U

    Rais Samia Suluhu awasili Dar es Salaam akitokea Jijini Dodoma

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani amewasili Jijini Dar es Salaam kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na amepokelewa na Waziri Mkuu Mhesh Kassimu Majaliwa pamoja na Viongozi wengine wa Serikali. Mama Samia atazungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam jioni ya leo katika...
  15. J

    Mbunge Mavunde aishukuru Serikali kwa utekelezaji wa Miradi ya Elimu jijini Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ameishukuru Serikali kupitia Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo kwa shule za msingi nne za Dodoma Jiji ambazo ni Shule ya Msingi Kisasa,Medeli,Kizota na Mlimwa C. Mradi huu ambao...
  16. J

    Wazee wa Dar es Salaam vs Wazee wa Dodoma - wapi wanajua siasa?

    Nimeupenda huu utaratibu wa viongozi wakuu wa nchi kuongea na wazee hasa wa Dar es Salaam. Ni vema wazee wa Dodoma nanyi mkachangamka maana ndio mko makao makuu, najua hapo yupo Malecela, Ndugai, Kimbisa, Mavunde nk...nk. Hapa mzizima pamesheheni wazee na kesho bila shaka tutawaona akina Hemed...
  17. beth

    Juliana Shonza: Maji bado ni kilio kikubwa licha ya miradi kuwepo

    Mbunge Juliana Shonza suala la maji limeendelea kuwa kilio kikubwa cha wananchi licha ya Wizara ya Maji kupelekewa fedha nyingi huku vilio vikitoka kwenye maeneo yale yale ambayo Serikali tayari imepeleka miradi mikubwa Ameeleza hayo Bungeni wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Maji na...
  18. J

    Mbunge wa Dodoma Mjini, Mavunde akabidhi sare kwa kituo cha madereva taksi wa Uwanja wa Ndege Dodoma

    Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe Mavunde Leo amekabidhi sare kwa kituo cha madereva taksi wa Uwanja wa Ndege Dodoma ikiwa ni sehemu ya kuboresha huduma ya usafirishaji Jijini Dodoma. "Nimekabidhi sare hizo leo kwa madereva taksi 30 zenye thamani ya Tsh 1,500,000 katika eneo la Uwanja wa Ndege kwa...
  19. U

    Dodoma: Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akutana kwa mazungumzo na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdory Mpango leo Mei 04, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Mwigulu Nchemba. Viongozi hao walifanya mazungumzo hayo kufuatia ziara iliyofanywa na Dkt Mwigulu ofisini kwa Dkt Mpango Ikulu ya...
  20. seedfarm

    Je, Spika Ndugai asaidiwe kisaikolojia au aachwe?

    Dunia kuna vituko sana, Moja ya vituko vinapatikana Bungeni vikiongozwa na Job Ndugai. Huyu Ndugai anajulikana kama mheshimiwa Spika. Leo Ndugai ametumia dakika nyingi Bungeni akitaka kutetea legacy yake na kujifananisha na Spika Marehamu Samwel Sitta, Ndugai anaumia na kukwazika sana kwanini...
Back
Top Bottom