Bungeni, Dodoma: Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba aeleza changamoto za Wizara hiyo

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,205
2,000
Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba amesema licha ya kutekeleza majukumu, Wizara hiyo imekumbwa na changamoto mbalimbali

Akiwa Bungeni, ametaja baadhi kuwa ni ugumu wa kutoa viwango stahiki vya fidia kwa waaathirika wa ajali za mali za Serikali kutokana na kukosekana #Sheria/Mwongozo wa viwango

Changamoto nyingine ni baadhi ya maeneo kutofikiwa na huduma za Mtandao ambazo ni kiungo kikuu cha matumizi ya mifumo ya kielektroniki ya usimamizi wa Mapato na Matumizi. Pia, kuongozeka vihatarishi vya kudukuliwa mifumo ya kifedha na watu wenye nia ovu.

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom