Ndugu zangu watu wa Dodoma, msaada mishe za kufanya

Ndugu zangu watu wa Dodoma, msaada mishe za kufanya

Sikia mwanangu...tafuta ofisi hata tatu au nne za uhakika tuje kuuza juice na matunda huko. Au nenda pale bungeni kaulize Kama Wana kantini halafu nije kubonga nao nianze waletea wabunge juice matata maana Mimi nimeiva kwenye Hilo eneo.

Fanya ivyo halafu nipe jibu jumatano.
 
Back
Top Bottom