dodoma

  1. JamiiForums Tanzania Dodoma: Ikulu imejengwa juu ya Madini aina tofauti 28. Je, Tuipige mnada au tumpe Mwekezaji?

    Salaam Wakuu, Imegundulika Ikulu ya Tanzania iliyozinduliwa hivi karibuni iyopo Chamwino Jijini Dodoma, imejegwa Juu ya Madini tofauti 28 ikiwemo dhahabu Sio Ikulu ya Chamwino tu, bali Dodoma yote na Wilaya zake zina Madini tofauti. Huko tuendako, Tujiandae Bunge kuhamishwa na kupewa...
  2. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Jiji la Dodoma tambueni mnatesa abiria wageni

    Kitendo cha uongozi wa Jiji la Dodoma kukataza mabasi yenye ofisi eneo la CBE kutopakia abiria eneo lile hakika huku ni kuumiza na kutesa wageni natoa sababu zangu ambazo kimsingi ni za kiubinadamu tu. Unakuta mtu amefikia Lodge za hayo maeneo ya CBE au pale mitaa ya Chaduru (mkabala na...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali Itajenga Viwanja 2 vya Mpira wa Miguu Dodoma na Arusha kabla ya AfCoN 2027

    Akihutubia kama mgeni Rasmi siku ya Simba Day, Rais Dk. Samia amesema Serikali yake Itajenga Viwanja vya Mpira wa Miguu vipya 2 kwenye Miji ya Arusha na Dodoma Ili kujiandaa na kuwa mwennyeji wa AfCoN 2027. Rais Samia amesema viwanja hivyo vitakuwa na uwezo wa kuchukua Watazamani elfu 30,000...
  4. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi NHC: Uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma umesababisha hasara kwa Shirika la Nyumba

    Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Hamad Abdallah amesema uamuzi huo umekuwa na matokeo hasi kwa miradi iliyopo Dar es Salaam zikiwemo nyumba na mali nyingine zilizokuwa zikitumiwa na Serikali na Maafisa wake zimeachwa wazi. Kati ya Miradi iliyotajwa kuingia hasara ni pamoja na wa...
  5. JamiiForums Tanzania Tuko mitaani na Wabunge wa CCM waliomaliza Vikao vya Bunge Dodoma ila hawataki kuongelea Mkataba wa DP World

    Kuna sura tofauti imejitokeza Jimbo la Arusha Mjini. Mbunge wetu katokea Bungeni kwenye vikao, yuko Jimboni hataki kuongelea Mkataba wa DP world kabisa. Ila CCM Mkoa na Wilaya nao wamepiga kimya kuhusu mkataba huo. Wabunge wamepatwa na kigugumizi gani? Mitandaoni Anaonekana Kinana na Wasira...
  6. JamiiForums Tanzania Dodoma kama jiji, barabara zake wekeni lami

    kwetu sisi ambao tuna makazi Dodoma, wakati fulani tunaenda kuishi Dodoma na wakati fulani tunarudi jijini, kuna kitu kinakera sana Dodoma, nacho ni barabara za mitaani, hata kipindi cha mvua mbacho wamesema hakiko mbali.(walituambia kuna uwezekano el ninyo ikaja october). Serikali, Dodoma...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuongoza Siku ya Mashujaa Julai 25 Mkoani Dodoma

    Rais Dkt Samis Suluhu kuwa mgeni rasmi katika Kilele cha Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa Julai 25, 2023. Maadhimisho hayo yatafanyika katika uwanja mpya wa kudumu wa Mashujaa uliopo katika eneo la Mji wa Serikali, Mtumba, mkoani Dodoma. Mkuu wa Mkoa huo, Rosemary Senyamule...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Awasili Ofisi za Wizara Mtumba Dodoma

    Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akikabidhiwa maua ya pongezi na watumishi wa Wizara hiyo alipowasili katika Ofisi za Wizara, Mtumba Dodoma, Julai 18, 2023, baada ya kuapishwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waziri wa Viwanda na...
  9. JamiiForums Tanzania Dodoma: Wanafunzi 92 waliorejea shule baada ya kujifungua, wakwama kuendelea na masomo

    Ugumu wa maisha na kukosekana kwa Wasaidizi wa kulea Watoto kumetajwa kuwa kuwa sababu ya kusitisha masomo kwa Wanafunzi 92 kati ya 265 waliorejea masomoni baada ya kupata ujauzito shuleni chini ya Utaratibu wa Kuboresha Elimu Sekondari (SEQUIP). Msimamizi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza vikao vya uongozi wa CCM ngazi ya Taifa leo Julai, 09,2023 jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao Cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa kilichotanguliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Leo, Julai 09,2023 katika Ukumbi Wa (White House) Jijini Dodoma
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuongoza Vikao vya Uongozi wa CCM Ngazi ya Taifa, Jijini Dodoma, Tarehe 9 Julai 2023

    Vikao vya Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan, vitaketi siku ya tarehe 9, Julai, mwaka 2023, jijini Dodoma. Vikao hivyo vya kawaida vya Uongozi wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi zote za Serikali zihamie Dodoma

    Wananchi toka mikoa ya pembezoni mwa nchi tunaumia sana kusafuri toka Sumbawanga, Kigoma, Kagera kwenda mpaka Dar es salaam kupata huduma kwenye taasisi za serikali. Tunaomba wahamie haraka Dodoma. Ikulu na wizara zote zimeshahamia Dodoma. Wao wanasubiri nini?
  13. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana ku-enjoy Dodoma kama umepazoea Dar

    Starehe ni sehemu ya maisha naomba nisinukuliwe popote pale vibaya kutokana na thread hii na maisha yangu ndani ya JF, Nimefunga safari kuingia dodoma, lengo ni kula maisha, kuenjoy, kufanya starehe. Ni ngumu sana kuenjoy hapa dodoma, Bar zimekaa kiuchovu sana, Sijui shida ni hali ya hewa ya...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Naomba connection ya mfugaji wa kuku wa mayai anayeweza kuniuzia trey 50-100 kwa wiki Dodoma na Morogoro

    Salaam wana JF, Naombeni connection ya mfugaji wa kuku wa mayai (layers) aliyepo DODOMA au Morogoro anayeweza kuniuzia trey 50 hadi 100 kwa wiki moja tufanye kazi. Nipatieni tu mawasiliano, nitampigia na kumfata popote alipo anipe mzigo kwa gharama zangu. Ahsante
  15. B

    JamiiForums Tanzania Dereva wa UDOM akamatwa kwa madai ya kummwagia Kemikali Afisa Mtendaji

    Dereva wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Lusajo Makiwelu, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuwamwagia kemikali watu wawili akiwemo mtalaka wake, Witness Nguvalwa (31) na mtoto wake mwenye umri wa miezi sita (jina limehifadhiwa). Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno, amethibitisha...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri: Uwanja mpya wa Mashujaa uongezwe hadhi

    Mama wa Taifa Samia, Hongera kwa wazo Mulua la kujenga sehemu ya mashujaa makao makuu Dodoma, nikuombe, naamini unao uwezo wa kuliomba Taifa lione umuhimu wa jambo hili, ujenzi huo ujumuishe sehemu muhimu ya kuwahifadhi mashujaa wetu ambao kwa kuwa Dodoma sasa ni makao makuu yetu rasmi, viongozi...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Tabia Mwita Akiwa Bungeni Jijini Dodoma

    WAZIRI TABIA MWITA AKIWA BUNGENI JIJINI DODOMA Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita akiwa Bungeni Jijini Dodoma Juni 27, 2023 kufuatilia shughuli za muhimili huo, kwa mwaliko wa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana...
  18. M

    JamiiForums Tanzania DODOMA; Wabunge Washindana kula Ubwabwa!

    Salamu Wakuu, Baadaye ya kuumiza vichwa na mijadala ya mizito ya kuitoa Tanzania kwenye Lindi la umaskini, leo Wabunge wanafanya bonanza la kushindana kula Ubwabwa na maharage!
  19. JamiiForums Tanzania JKT Half Marathon 2023 kufanyika Dodoma Jumapili

    Mashindano ya Mbio za barabarani za nusu marathoni za JKT ( JKT Half Marathon 2023) Kufanyika Jumapili tarehe 25 Juni 2023 Jijini Dodoma. Mbio hizo ni za Kilomita 21 (21.1K), kilomita 10 (10K) na Kilomita tano (5K, Fun Run). Zawadi za Washindi zimeshatangazwa, 21K anachukua milioni moja na...
  20. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Meneja wa Maji Dodoma watenguliwa

    Waziri wa Maji, Jumaa H. Aweso ametengua uteuzi wa Meneja wa Maji Mkoa wa Dodoma, (RUWASA) Mhandisi Godfrey Kabula Mbabaye, Aweso amechukua hatua hiyo kwa Mamlaka aliyonayo kupitia Sheria Na. 5 ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira ya mwaka 2019, kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…