Kuna miji huwa haisemwi kiasi unachoweza kudhani IPO nyuma.
Moja ya mkoa huo ni Shinyanga.
Katika orodha ya uchangiaji WA pato la taifa Kwa kila mkoa Shinyanga inashika nafasi ya tatu(3) Kwa kuchangia 5% ikiwa imezidia na mikoa ya Mwanza yenye mchango WA 9% na Dar yenye 17%.
Kinachoshangaza ni...
Kwa wadau wa kilimo nchini tafadhari karibuni Mashine ni Diesel Engine HP 16 2200 RPM Uzito wa body na Engine jumla ni Kg 165 Inauwezo wa kupiga Kg 1000 kwa saa inafaa kwa kupigia Alizeti ,Mpunga, Mtama na Uwele mashine mpya inapatikana kwa tsh 7.5M badala 9.5M na used iliyotumika mwaka mmoja...
Wengi watashangazwa na huu uzi.
Nimekuwa nakosoa tena kwa lugha kali utendaji wa hovyo usiozingatia uhalisia hususani kuanzia awamu hii ya sita.
Tembea uone.
Nilifanikiwa kutembelea soko la Machinga pale mji mkuu Dodoma, nilijihakikishia kuwa plan na ukamilishwaji wa mradi wa soko hilo la...
BARABARA YA MAFINGA - MGOLOLO (KM 81) MKABATA KUSAINIWA KESHO DODOMA
Mikataba ya ujenzi wa barabara saba (07) ambazo zimekuwa zikiongelewa kwa muda mrefu katika majukwaa mbalimbali ikiwemo ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakwenda kusainiwa hapo kesho Juni 16, 2023 tukio...
Tangu kuasisiwa kwake Tarehe 1 novemba 1993 chama cha walimu Tanzania kimekua kikiongozwa kwa kutumia katiba na kanuni zake. Katiba imekua ikibadilika ili kuendana na mabadiliko ya kiuchumi, kijamii na mengineyo. Hadi kufikia 2014, CWT ilipata katiba ya toleo la 6 ambayo ndio inatumika hadi...
Huenda kuna mambo yamenipita, nimeona niulize hapa.
Ninakumbuka takribani miaka mitano iliyopita kulitokea ujio wa Mfalme wa Morocco hapa Tanzania wakati wa kipindi cha utawala wa Magufuli na ulikwenda sambamba na utiaji wa saini wa mikataba zaidi ya 10 (ambayo hatukuambia kwa kina kila mkataba...
WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA MIRADI YA MAJI KWA HALMASHAURI ZA MKOA WA DODOMA
Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Biashara (Mb) Mh Dkt Ashatu Kijaji tarehe 12 Juni, 2023 alishuhudia tukio la utiaji saini Mikataba ya Miradi ya Maji katika Mkoa wa Dodoma.
Tukio hili la...
Taarifa iliyosambazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo inaeleza kwamba, Chama hicho kinatarajia kuongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma 14/6/2023.
Bila shaka jambo kubwa linalozungumzwa Dunia nzima la Mauzo ya Bandari litaenda KUHITIMISHWA RASMI , taarifa za chini kwa chini zinadokeza...
Licha ya mamlaka za Serikali kuendelea kutoza ushuru kutoka kwenye mabasi ya abiri yanayopita kwenye Stendi Kuu ya Wilaya ya Kondoa.
Mkoani Dodoma bado hali ya mazingira si mazuri.
Mabasi yanavyopita wakati wa kiangazi vumbi linalotimka hapo si la Nchi hii, wakati wa mvua napo matope ndio...
Karibuni mikoa yote Tanzania bara.
1. Kundi la vijana wasio na ajira karibuni
2. Kundi na watumishi wa TPA
3. Kundi la vyama vya siasa na wasomi mbali mbali
3. Kundi la wafanyabiashara
4. Wananchi wote Tanganyika
Karibuni Dodoma Bungeni tarehe 10.6.2023 bila kukosa
Ni bahati mbaya sana Tanzania ujinga ni mkubwa sana, Wabunge hawapimwi kwa michango yao kwa Taifa bali kwa uwezo wa kununua Cement, Bati na Misumari na kwenda kugawa Jimboni siku za weekend.
Pale Dodoma wanapitisha kila kitu kinacho jadiliwa pale na wengine hawaongei kabisa ila wanajua Jimboni...
NDEJEMBI HAJARIDHISHWA USIMAMIZI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA CHEMBA – DODOMA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Deo J. Ndejembi (Mb) hajaridhishwa na hali ya usimamizi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa na Ofisi katika halmashauri ya wilaya...
Hali ya huduma ya Maji safi Dodoma.
Kufuatia ongezeko la watu katika jiji la Dodoma lililosababishwa na Serikali kuhamia Dodoma, mahitaji ya maji yaliongezeka kutoka Lita Milion 44 kwa siku mwaka 2017 hadi Lita Milion 133 kwa siku mwaka 2023. Vyanzo vyote vya maji vilivyopo Dodoma vina uwezo wa...
Nimekaa hapa wiki moja nzima, mabomba hayatoi maji.
Nadhani serikali imeharakisha kuhamishia makao makuu hapa Dodoma kabla suala la maji halijatengemaa.
Awesu ndo yupo Italy anakula bata tu.
====
UFAFANUZI KUTOKA DUWASA
====
Huyu mwamba alikuwa anafahamika sana kwa kupata mitihani ya form two iliyovuja na alikuwa anaipata ile yenyewe, alikuwa na moyo wa kuwapiga pindi wenzake na kuwakaririsha majibu, akiingia kwenye chumba cha mtihani anafeli kwa kishindo, yaani F zote, wenzake wanafaulu.
Alikuwa ni mtoto wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri tarehe 24 Mei, 2023 ikiwa ni Kikao cha kwanza kufanyika kwenye Ofisi mpya ya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tangu kuzinduliwa kwa Jengo hilo Jumamosi tarehe 20 Mei, 2023.
Nilikwenda hapo hospitali ya Benjamin Mkapa siku ya Alhamis wiki iliyopita, nikiwa na tatizo ambalo lilihitaji wabobezi. Mimi ninaishi Dodoma, baada ya kutafakari sana, nikakata shauri kuwa niende tu. Mwanzoni niliwaza labda niombe ruhusa kazini, nifunge safari Dar niende hospitali kubwa kubwa...
Habari wanajamvi,
Rejea kichwa hapo juu, natamani kuhamia Dodoma kwa ajili ya kujitafuta, mtaji wangu kimaisha ni m4.5 niliwaza kifungua duka la vipodozi dogo kiasi na bodaboda used. Mimi niwe boda wife akae dukani. Je, kwa mnaoijua vizuri Dodoma ntatoboa?
Angalia hii Picha afu nambie iwapo mwamba angekuwa hai Dodoma pangekuwa pamefikia hatua gani?
Ujenzi huu ulitakiwa Kuanzia mara baada tu ya Ujenzi w msikiti wa BAKWATA pale Kinondoni. Mfadhiri alishaahidi kutoa pesa.. mfalume wa Morocco.
Ushauri wangu kwa Ikulu; Fuatilieni hii ahadi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.