dodoma

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Wafanyakazi 400 wa SGR - Dodoma wafanya mgomo

    Zaidi ya Wafanyakazi 400 wanaoshiriki katika ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa (Standard Gauge Railway – SGR) Awamu ya 2 (Lot 2) kipande cha Morogoro - Makutupora chenye urefu wa Kilometa 422 wameshiriki mgomo kwa kile kinachodaiwa kutoafikiana na uongozi wa Mkandarasi Mkuu Yapi Merkezi kuhusu...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo Maktaba na Mkutubi Festo wa National Archives Dodoma

    Maktaba ilibahatika kutembelewa na Mkutubi Festo Liheta kutoka National Archives Dodoma. Kusudia la safari yake ilikuwa kupata nyaraka. Tulifanya mazungumzo mafupi: https://youtu.be/wO86ftnPSa4
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) yakagua ujenzi wa Makazi ya Askari Zimamoto - Dodoma

    Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Vincent Mbogo (Mb) imefanya ziara na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji unaoendelea katika eneo la Kikombo Jijini Dodoma Novemba...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Waliochukuliwa maeneo kulipwa Tsh. Bilioni 4.5 Dodoma

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesema kuanzia wiki ijayo Halmashauri ya Jiji la Dodoma itaanza kulipa fidia wananchi ambao maeneo yao yalitwaliwa na tayari Sh bilioni 4.5 zimetolewa na serikali kwa ajili hiyo. Akizungumza kuhusu kliniki ya ardhi iliyoandaliwa na...
  5. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Hawa wabunge sio wazalendo. Dodoma hili jambo lingepitishwa haraka

    Yaani hii ndio ingekuwa ni Tanzania pale Dodoma saa hii viti vilikuwa vinaumia kwa makofi maana ni swala ambalo wangesema tumechelewa sana 😅 Tanzania Ila Tanzania muda mwingine unawaza kwanini haya mavituko yanafanyika kwenye mamlaka zetu nyeti kiasi kwamba hawaoni aibu hata chembe 😂
  6. analysti

    JamiiForums Tanzania TTCL Dodoma mnaihujumu Serikali na kukwamisha maendeleo ya wananchi

    Habari ya leo wadau. Leo nina kilio juu ya kampuni yetu ya TTCL. Kwa kipindi kirefu kampuni hii imeshindwa kabisa kushindana na makampuni binafsi yanayotoa huduma ya mawasiliano. Kushindwa huku binafsi nilitarajia waliopewa wajibu wa kuliongoza na kusimamia uendeshaji wake wangekuwa wabunifu na...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya Ngono na Fedha zilitawala katika Idara za Uhamisho na Upangaji vituo vya kazi katika Halmashauri za Dodoma mwaka 2022

    Matukio ya Rushwa za Ngono na Fedha bado yanaendelea kuwa kikwazo cha upatikanaji wa Haki katika huduma ikiwemo kuwakosesha Watumishi wenye Sifa fursa za kupata Uhamisho wa Idara au Vituo vya Kazi kutokana na kukataa au kutoridhia masharti ya kutoa Rushwa. Ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na...
  8. hp4510

    JamiiForums Tanzania Nahitaji modem ya TTCL Dodoma

    Wakuu nahitaji modem ya TTCL Kwa mtu yoyote ambae anauza na Yuko Dodoma please nidm Nataka Ile ambayo ina WiFi na mtu zaidi ya mmoja anaweza kukonect
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Askofu Sylvester Gamanywa kutunukiwa u Profesa wa heshima na Chuo cha Mipango Dodoma

    Askofu Mkuu Dk. Sylvester Gamanywa wa Wapo Mission Tanzania 🇹🇿 atatunukiwa u Profesa wa heshima kutoka Chuo cha Mipango Dodoma. Hafla hiyo ya mahafali itafanyika Novemba 4 ambapo Waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Nchemba atakuwa mgeni rasmi. Hayo yameelezwa kwenye ukurasa rasmi wa Askofu Gamanywa...
  10. chakutu

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wakaidi na waanzilishi wa fujo wa Shule ya Sekondari Mpwapwa, Dodoma wachoma matranka na nguo za wanafunzi wenzao

    Wakaidi hao Wanajigamba hakuna Mwalimu yeyote wala Mkuu wa Shule anayeweza kuwafanya chochote, Mpaka sasa Wanafunzi wanaendelea na Masomo. Ninachojiuliza ni hivi kama wangeunguza Mabweni ingekuwaje ? Mali zote za shule kongwe kwa kweli zingeungua pamoja na Vifaa vyao
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe, Ikulu ya Dodoma, leo Oktoba 20, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona wengine wanajulikana Kitambo tu 'Kusagana' na Wanawake maarufu na Kuwahonga Pesa na Mali Dar, Arusha na Dodoma na hamuwakemei?

    Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amekemea vikali na kupiga marufuku tabia ya wanawake watu wazima, kuwaweka kinyumba vijana wenye umri mdogo. Mgomi ameyasema hayo wakati akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mtima, Ileje na kueleza kuwa taarifa zimemfikia kwamba vijana wengi wanaishi...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dar Ceramica yatinga Dodoma kwa kishindo

    DODOMA Ijumaa Oktoba 6, 2023: Moja ya makampuni yanayoongoza katika vifaa vya ujenzi katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati, Dar Ceramica Centre, leo imefungua rasmi milango kwa wakazi wa Dodoma na mikoa jirani ili pamoja na mambo mengine kukidhi mahitaji yaliyopo sasa hivi katika miradi ya...
  14. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania Ulanguzi wa Maji Dodoma: Waziri wa Maji Chukua Hatua

    Hii nimepenyezewa na watani zangu wa kigogo Wananchi wa Dodoma wanataabika kupata maji kutoa mamlaka yao ambayo ni Duwasa, huku Duwasa wenyewe wakiwapelekea wauza maji wenye matenki chini ya ardhi ili wauze Imekua ni kawaida kwa Duwasa kutoa ratiba ya maji ambayo hawaitekelezi. Ikifika Siku ya...
  15. Kitchener

    JamiiForums Tanzania viwanja vya Dodoma & Arusha vijengwe kwa AFCON

    Naishauri serikali ijenge viwanja hivi haraka iwezekanavyo, kwa ajili ya kugombania michezo ya AFCON 2027. Kenya wanajenga viwanja vyao vizuri sana na kuna uwezekano michezo mingi ikachezwa kule kama hatutachangamka. Dodoma wajenge uwanja hata wa watu 30,000 tu, na Arusha 30,000. tukimaliza...
  16. Faana

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza au kuondoa kero ya upepo mkali wenye vumbi Dodoma?

    Wataalamu wa mazingira wana mkakati gani au mapendekezo gani kwa serikali na wananchi kwa ujumla kujaribu kupunguza au kuondoa kabisa hii kero ya upepo mkali unaoambatana na vumbi hapa jijini ili paakisi status ya makao makuu ya nchi. Wengine wanasema hii ni balaa ya milele, wengine wanasema...
  17. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Piga kelele uwanja uliokusudiwa Dodoma ujengwe

    Ujio wa AFCON nchini ni fursa kwa mji wa Dodoma, Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania, lakini hauna uwanja wa michezo wa serikali baada ya uliokuwepo kuporwa na CCM kama ilivyotokea kwenye miji mingine. CCM inataka kutumia pesa za umma kuuendeleza uwanja wake (haramu) wa Arusha badala ya kuzitumia...
  18. Nakfa

    JamiiForums Tanzania Amekuja Dodoma na vingi

    Huu ni mwaka wa sita toka nilivyoanzisha uzi humu JF kuhusu mdogo wangu aliyepata GPA ya majonzi 0.3 kwenye matokeo yake ya kidato cha nne enzi hizo ya motoo na inavutia kweli kweli siku hizi wanajua wenyewe ilivyokuwa haili muda wangu tena. Uzi wenyewe huu hapa...
  19. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kupaza hii sauti iwafikie Wakuu wa Nchi, Sakata la bodaboda Dodoma ni zaidi ya mateso kwa vijana wetu

    Habari wakuu, Naandika huu ujumbe kwa maumivu makali sana, kilio simanzi na maumivu yasiyoelezeka, Nilishawahi kuleta mada hii hapa jukwaani bahati mbaya sana haikupata wadau wengi, haikupata wachangiaji na mwisho wa siku uzi wangu ulifunikwa na nyuzi za vichekesho, vibonzo na stori za...
  20. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Refund ya Ada chuo cha Mipango Dodoma, Mamlaka husika ziingilie kati

    Habari za Saizi wana jukwaa. Nimeleta mada hapa jukwaani nikiamini mamlaka husika wataona na kulishughulikia haraka. Ni zaidi za miezi kadhaa imepita dogo alinigusia habari kuwa alikuwa amelipa ada na amemaliza ada yote lakini baadae alikuja kujua kuwa bodi pia walimlipia kiasi cha ada, na...
Back
Top Bottom