dodoma

  1. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Kuna mwamba alirudia Form II mara 8 katika shule nne tofauti na zote akafeli

    Huyu mwamba alikuwa anafahamika sana kwa kupata mitihani ya form two iliyovuja na alikuwa anaipata ile yenyewe, alikuwa na moyo wa kuwapiga pindi wenzake na kuwakaririsha majibu, akiingia kwenye chumba cha mtihani anafeli kwa kishindo, yaani F zote, wenzake wanafaulu. Alikuwa ni mtoto wa...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongoza Kikao Cha Kwanza Cha Baraza la Mawaziri Ikulu Mpya ya Chamwino Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri tarehe 24 Mei, 2023 ikiwa ni Kikao cha kwanza kufanyika kwenye Ofisi mpya ya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tangu kuzinduliwa kwa Jengo hilo Jumamosi tarehe 20 Mei, 2023.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma wapewe maua yao

    Nilikwenda hapo hospitali ya Benjamin Mkapa siku ya Alhamis wiki iliyopita, nikiwa na tatizo ambalo lilihitaji wabobezi. Mimi ninaishi Dodoma, baada ya kutafakari sana, nikakata shauri kuwa niende tu. Mwanzoni niliwaza labda niombe ruhusa kazini, nifunge safari Dar niende hospitali kubwa kubwa...
  4. MKARASINGA

    JamiiForums Tanzania Natamani kuhamia Dodoma

    Habari wanajamvi, Rejea kichwa hapo juu, natamani kuhamia Dodoma kwa ajili ya kujitafuta, mtaji wangu kimaisha ni m4.5 niliwaza kifungua duka la vipodozi dogo kiasi na bodaboda used. Mimi niwe boda wife akae dukani. Je, kwa mnaoijua vizuri Dodoma ntatoboa?
  5. JF Member

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Mpira Dodoma umeyeyuka? Hayati Magufuli angekuwepo ingekuwaje?

    Angalia hii Picha afu nambie iwapo mwamba angekuwa hai Dodoma pangekuwa pamefikia hatua gani? Ujenzi huu ulitakiwa Kuanzia mara baada tu ya Ujenzi w msikiti wa BAKWATA pale Kinondoni. Mfadhiri alishaahidi kutoa pesa.. mfalume wa Morocco. Ushauri wangu kwa Ikulu; Fuatilieni hii ahadi.
  6. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete apongeza juhudi za Kuhamia Dodoma

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete kwa niaba ya Wastaafu amemshukuru Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwaalika kushuhudia uzinduzi wa Ikulu mpya ya Chamwino Dodoma huku akisema leo historia leo historia mpya imeandikwa Tanzania “Historia imeandikwa tena imeandikwa kwa...
  7. nguvumali

    JamiiForums Tanzania The Bistro Bar Dodoma wanawahitaji Tena NEMC au Idara za Afya

    Nimeingia Dodoma Jana kuhudhulia uzinduzi wa Ikulu , Jioni hii nimefika Bar Ilivyokua imefungiwa na NEMC inaitwa The Bistro ...Iko Dodoma Nkuhungu. Hii bar Kuna haya Mamitungi ya Shisha yanavutwa kila upande na kufanya indoor bar kuwa na mimoshi kwelikweli . Mamlaka , zichukue hatua kuhusu...
  8. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Ikulu ya Chamwino: Nani hasa anastahili credits?

    Zuhura Yunus ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya Ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. Hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza? Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hakuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki anayehudhuria ufunguzi wa ikulu ya Dodoma siku ya leo. Walimwandikia rais Samia kuhusu hilo

    Ikulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini. Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu! Wapo wapi? Rais Samia amesema kuwa maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ikulu ya Dodoma? Je, watu wa Dodoma wana maji safi ya kunywa?

    Utakuta tumekopa mabilioni kujenga ikulu kubwa zaidi duniani. Tumekopa hata ramani ya Mjerumani aliyotumia kujenga ikulu ya Magogoni, mwonekano ni uleule hata Zanzibari muonekano ni ule ule, nani katufinyanga namna hii? Ikulu ya kifahari kwa fedha za kukopa, kweli?! Embu angalia ikulu ya...
  11. Sifael Mpollo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua rasmi Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma

    Leo tarehe 20 Mei 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan ataongoza uzinduzi rasmi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa JMT na watumishi wengine watahamia katika Ikulu hiyo. Sherehe hiyo ya kihistoria inatarajiwa kuhudhuriwa na takribani watu 2,500...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Walihamia Dodoma kutwa wapo Dar

    Japo Makao Makuu ya nchi yapo Dodoma Ila Watu wanashinda Dar Kwa 1. Semina elekezi, 2. Mikutano, 3. Misiba, 4. Harusi, 5. Ukaguzi wa miradi, 6. Mechi za kimataifa 7. Uapisho **na per Diem kama kawa. NB: Mjini mipango, GHARAMA hizi analipa Nani?
  13. olimpio

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Shule ya wasichana ya Huruma iliyopo Dodoma yazuia wanafunzi kurudi likizo

    Katika , hali ya kutatanisha , shule ya masister inayomilikiwa na Kanisa katoliki mkoani DODOMA iitwayo HURUMA secondary school, imezua vurugu miongoni mwa wazazi wa vijana wa kidato cha nne . 1. Shule hiyo inadaiwa kuondokewa na waalimu wao mahili katikati ya maandalizi ya NECTA ijayo ...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Utiaji saini Mikataba ya Kupeleka Huduma ya Mawasiliano Vijijini - JKCC, Dodoma, Mei 13, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla ya utiaji saini Mikataba ya miradi ya kufikisha huduma za mawasiliano ya Simu katika kata 763 nchini katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, tarehe 13 Mei, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  15. SOWETO_MAN

    JamiiForums Tanzania Nauza iphone 7 plain used ,Dodoma

    Habarini za muda huu wana jukwaa, nauza iphone 7 plain kwa bei ambayo ipo in mint(excellent) conditions kabsa na ina sifa zifuatazo: Iphone 7 plain 32 Gb Ram 4 Battery 100% 280k price, fixed...mawasiliano ni haya 0621599120
  16. R

    JamiiForums Tanzania Hizi taarifa za ndege kushindwa kutua Dodoma kutokana na Taa inalenga kuieleza nini Dunia? Hakuna tender inatengenezewa mazingira?

    Ndege inapoondoka Dar es Salaam inajulikana for sure itatua Dodoma muda gani na miundombinu ya uwanja inajulikana. Lakini Kwa tuliosoma Cuba tunaposikia ndege ya Yanga yashindwa kutua, ndege ya kiongozi mkubwa yashindwa kutua lakini ndege zenye abiria wasio na attention Kwa jamii hazikwami...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Upangaji wa Makao Makuu Dodoma. Nani aliamuru Ikulu izungukwe na Makazi ya Watu?

    Watanzania kama sio kukosa exposure basi ujinga unatutesa sana na kuna siku utakuja kutugharimu sana Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma nimeangalia namna ya Jiji la Dodoma lilivyopangwa na kusema kweli nimesikitika sana. Hii nchi kuna siku yatatukuta ya Haiti wahuni wanaingia kwenye makazi ya Rais...
  18. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Sintofahamu yaibuka kuhusu uwanja wa ndege wa Dodoma kutokuwa na taa za kuwezesha ndege kuruka na kutua usiku

    Sintofahamu hiyo pia imeongezeka baada ya jana Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kutoa taarifa kwamba uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Songwe umewekwa taa na huduma za ndege zinatolewa kwa saa 24. Ukosefu wa taa kwenye uwanja huo ulibainika baada ya ndege ya Precision namba PW 602...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama, amewataka wakandarasi wanaondelea ya shughuli ya ujenzi wa majengo ya Mji wa Serikali Mtumba Dodoma kuongeza kasi

    WAZIRI MHAGAMA AWATAKA WAKANDARASI UJENZI WA MJI WA SERIKALI MTUMBA KUONGEZA KASI Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, amewataka wakandarasi wanaondelea ya shughuli ya ujenzi wa majengo ya Mji wa Serikali Mtumba Dodoma...
  20. n00b

    JamiiForums Tanzania Dodoma: NEMC yazifungia Rainbow na Chako ni Chako kwa kupiga kelele

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezifungia bar za wazi za Rainbow na Chako ni Chako Pub za Jiini Dodoma baada kukuta kelele zilizo kinyume cha sheria ya usimamizi wa mazingira namba 20 va mwaka 2004 na kanuni ya viwango vya udhibiti wa kelele na mtetemo ya mwaka...
Back
Top Bottom