dodoma

  1. sanalii

    JamiiForums Tanzania Dodoma ndo ilipaswa iitwe Rock city

    Ukiachana na Symbolic rock ya Mwanza, Dodoma naamini inaongoza kwa mawe na miamba mingi, nadhani ikifuatiwa na Singida, Dodoma ndo Rock city. Mwanza ni Kibua city
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna mazingira ya rushwa kwa Askari wanaoomba kwenda Kozi

    Nimeamua kuandika hapa kwa kuwa JamiiForums inafuatiliwa na watu wengi ndani na je ya Nchi, mtandao huu unafuatiliwa na watu wa kawaida, Viongozi na Watu wengine mashuhuri. Ningependa kuwaomba kwa unyenyekevu mkubwa kabisa andiko langu hili liende hewani. Ikiwezekana andiko hili lifikisheni...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wanaodaiwa kuwa wapenzi wakutwa wamefariki

    Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni wapenzi wamekutwa wamefariki dunia huku mwanamke akiwa amechinjwa na mmwanaume ambaye hajafahamika jina akiwa na jeraha kubwa tumboni lililosababisha utumbo kutoka nje. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo Jumatatu Septemba 18, 2023 katika Mtaa wa...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Aliyekuwa akisafirisha Mirungi afariki dunia wakati akijaribu kuwakimbia Polisi

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Mkacha Mohamed (35), mkazi wa Soya wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma, amefariki dunia baada ya kuanguka na pikipiki akiwa na mwenzake wakiwakimbia Polisi wa Kibaya waliokuwa kwenye doria kijiji cha Namelock. Vijana hao walikuwa wanasafirisha shehena ya dawa...
  5. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Dodoma yaweza kuwa kama Windhoek

    Kwa wale waliobahatika kufika Windhoek, kuanzia ukame, tambarare na hali ya hewa vinalingana kabisa na Dodoma, hadi ukavuukavu. Nilipita Dodoma last week kuna maeneo kama unaelekea udom, hazina hadi kule makao makuu ya mahakama, kuna vigorofa vingi vinaibuka na kuna uwezekano pakafanana au...
  6. Scaramanga

    JamiiForums Tanzania Kero ya barabara ya Morogoro - Dodoma

    Ndugu zangu TANROAD niwaombe sana mtuonee huruma na vigari vyetu na usalam pia. Kilichofanyika barabara ya Morogoro kwenda Dodoma mbele ya hotel ya Flomi karibu na kituo cha kupozea umeme hapo msamvu ni kero. Zile rasta mlizoweka 6 zinaumiza magari na nimeshuhudia ajali mbili mfululizo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Marufuku ruhusa za kwenda Dodoma.

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewaagiza Maafisa Utumishi wa Halmashauri zote nchini kuacha tabia ya kukaa ofisini badala yake watembelee ofisi za watumishi zilizopo katika Kata na Vijiji ili kutatua changamoto za watumishi...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Where is SGR? 2 years delays? infrastructures?

    It’s 2023 , we have not progress kabisa In infrastructures . Leo kutoka Dodoma Dar ni shida. No buses no nothing . Yani natumia 12 hrs kwa bus . Kweli ? When. Will people work . Serikali hii vipi ? Wana fanya nini sasa? Au wengine Huko kuna kitu wanafanya? Maji shida? umeme shida? Usafiri...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Spika Tulia aitaka Serikali ifanye tathimini kuhusu mfumo wa uagizaji mafuta

    SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson ametaka ifanyike tathmini ya mfumo mpya wa uagizaji mafuta nchini. Ametoa kauli hiyo bungeni muda mfupi kabla ya kusitisha shughuli za bunge mchana leo Septemba 7, 2023 na kusema ni wakati mwafaka kwa serikali kufanya tathimini kwa mfumo huo wa uagizaji mafuta...
  10. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bwawa Jijini Dodoma Umefikia Wapi kwa Maendeleo ya Kanda ya Kati?

    Wakuu Kama mada ilivyowekwa mezani kwa utaratibu wa swali nikiwa miongoni mwa wananchi wa Tanzania ambao pia eneo la Dodoma, Singida, Manyara Na Tabora ni mojawapo ya sehemu ninazoweza kutembelea lakini pia wakazi wa maeneo hayo pamoja na serikali kuu mradi huu wa ujenzi wa bwawa kubwa kwa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wakristo Zanzibar na wao hawataki kuongozwa kutoka Dodoma na Askofu Mkuu Dkt. Mndolwa

    Mama anaezungumza kwa niaba ya Wakristo wa Kanisa la Anglikana Zanzibar (Kanisa mama), anasema hawataki tena kuchukua maelekezo kutoka Dodoma au kwa Askofu Mkuu Dkt. Maimbo Mndolwa ! Anasema ni vyema sasa wakawa na utaratibu kama wa ndugu zao Waislam wa Zanzibar ambao taasisi yao haipokei...
  12. Shivo32

    JamiiForums Tanzania VETA ya Dodoma wametoa fursa ya mafunzo

    VETA Dodoma wametoa fursa Kwa vijana kusoma fani ya ufundi Bomba wa majunbani na viwandani pia na uchomeleaje. Fomu mwisho kuchukua ni tar 1 mwez wa 9 Ushauri nikasome ipi hapo yenye Dili mjini?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ruti ya DODOMA TO MWANZA - Msaada wa anayejua Kampuni nzuri ya Bus

    Wana familia ya Jf, Naomba kujuzwa kampuni yenye mabasi mazuri yanayosafiri kuanzia Dodoma mjini kuelekea Mwanza mjini anifahamishe. Sijawahi kufika Mwanza, ndio mara yangu ya kwanza na safari naanzia hapa Dom mjini. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu mtakao nipa taarifa njema, na pia...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Dodoma yakamata Tani 120 za Nondo zisizo na ubora zilizopangwa kujenga Barabraba ya Ihumwa-Bandari Kavu

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Dodoma, imefanikiwa kuzuia matumizi ya nondo tani 120 zisizokuwa na ubora ambazo zilipangwa kutumika katika ujenzi wa barabara ya mzunguko nje (Ring-road) yenye kilomita 52.3 ya Nala-Veyula na Ihumwa- Bandari Kavu, iliopo jijini...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli wabunge wanahujumu mradi ya Reli (Dar- Dodoma) kuanza?

    Taarifa za rafiki yangu ambaye ni mfanyabiashara ni kwamba wabunge wengi ikiwa pamoja na waziri wa Fedha schoolmate wangu Mwigulu ni wawekezaji wakubwa kwenye magari. Tatizo wanaogopa safari za treni zikianza biashara zao zitapata wakati mgumu. Hivyo wanahujumu kucheleweshwa kwa mradi kwa...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Dodoma

    Wadau hamjamboni nyote? Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino, Dodoma leo tarehe 18/08/2023
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuna Rais mwenzangu aliniambia nimbadilishe Balozi, aliyepo kazini haendi na Mikutano hashiriki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mabalozi Wateule Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=3hgz9HYOiR8 RAIS SAMIA: MAFUNZO YA UBALOZI YASIWE YA JUMLAJUMLA Rais Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mabalozi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Hatima ya Jengo la kiuchumi la kanisa la Anglican(SAFINA HOUSE) mjini Dodoma, inaweza kuwa kama ya Jengo la TANESCO pale Ubungo, Dar-es-Salaam

    Huu ni mtazamo kulingana na ukweli kuwa, Jengo hili kubwa na zuri, limejengwa pembezeni mwa barabara inayoingia mijini Dodoma (katika ya mji) huku barabara ikiwa finyu na magari teyari ni mengi na siku zijazo barabara itahitajika kupanuliwa. Ukiangalia, ni wazi watakuwa wamejenga nje ya hifadhi...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akifungua Jengo la Kitega Uchumi la Kanisa la Anglikana - Central Tanganyika Dodoma

    https://www.youtube.com/watch?v=Fzph9HC7EzU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Jengo la Kitega Uchumi lenye Ukumbi wa Huduma za Jamii la Kanisa la Anglikana- Central Tanganyika Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023 jijini Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  20. aka2030

    JamiiForums Tanzania Kati ya Dodoma na Arusha wapi pazuri kujenga apartment kwa ajili ya biashara ya Airbnb?

    Nauliza wadau wapi ni pazuri ambapo soko kwa sasa lipo. Kuna rafiki yangu yupo Canada ana wazo la kufanya hiyo biashara.
Back
Top Bottom