dodoma

  1. M

    Taasisi zote za Serikali zihamie Dodoma

    Wananchi toka mikoa ya pembezoni mwa nchi tunaumia sana kusafuri toka Sumbawanga, Kigoma, Kagera kwenda mpaka Dar es salaam kupata huduma kwenye taasisi za serikali. Tunaomba wahamie haraka Dodoma. Ikulu na wizara zote zimeshahamia Dodoma. Wao wanasubiri nini?
  2. Chance ndoto

    Ni ngumu sana ku-enjoy Dodoma kama umepazoea Dar

    Starehe ni sehemu ya maisha naomba nisinukuliwe popote pale vibaya kutokana na thread hii na maisha yangu ndani ya JF, Nimefunga safari kuingia dodoma, lengo ni kula maisha, kuenjoy, kufanya starehe. Ni ngumu sana kuenjoy hapa dodoma, Bar zimekaa kiuchovu sana, Sijui shida ni hali ya hewa ya...
  3. D

    Naomba connection ya mfugaji wa kuku wa mayai anayeweza kuniuzia trey 50-100 kwa wiki Dodoma na Morogoro

    Salaam wana JF, Naombeni connection ya mfugaji wa kuku wa mayai (layers) aliyepo DODOMA au Morogoro anayeweza kuniuzia trey 50 hadi 100 kwa wiki moja tufanye kazi. Nipatieni tu mawasiliano, nitampigia na kumfata popote alipo anipe mzigo kwa gharama zangu. Ahsante
  4. B

    Dereva wa UDOM akamatwa kwa madai ya kummwagia Kemikali Afisa Mtendaji

    Dereva wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Lusajo Makiwelu, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuwamwagia kemikali watu wawili akiwemo mtalaka wake, Witness Nguvalwa (31) na mtoto wake mwenye umri wa miezi sita (jina limehifadhiwa). Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno, amethibitisha...
  5. Wimbo

    Ushauri: Uwanja mpya wa Mashujaa uongezwe hadhi

    Mama wa Taifa Samia, Hongera kwa wazo Mulua la kujenga sehemu ya mashujaa makao makuu Dodoma, nikuombe, naamini unao uwezo wa kuliomba Taifa lione umuhimu wa jambo hili, ujenzi huo ujumuishe sehemu muhimu ya kuwahifadhi mashujaa wetu ambao kwa kuwa Dodoma sasa ni makao makuu yetu rasmi, viongozi...
  6. Stephano Mgendanyi

    Waziri Tabia Mwita Akiwa Bungeni Jijini Dodoma

    WAZIRI TABIA MWITA AKIWA BUNGENI JIJINI DODOMA Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita akiwa Bungeni Jijini Dodoma Juni 27, 2023 kufuatilia shughuli za muhimili huo, kwa mwaliko wa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana...
  7. M

    DODOMA; Wabunge Washindana kula Ubwabwa!

    Salamu Wakuu, Baadaye ya kuumiza vichwa na mijadala ya mizito ya kuitoa Tanzania kwenye Lindi la umaskini, leo Wabunge wanafanya bonanza la kushindana kula Ubwabwa na maharage!
  8. Melubo Letema

    JKT Half Marathon 2023 kufanyika Dodoma Jumapili

    Mashindano ya Mbio za barabarani za nusu marathoni za JKT ( JKT Half Marathon 2023) Kufanyika Jumapili tarehe 25 Juni 2023 Jijini Dodoma. Mbio hizo ni za Kilomita 21 (21.1K), kilomita 10 (10K) na Kilomita tano (5K, Fun Run). Zawadi za Washindi zimeshatangazwa, 21K anachukua milioni moja na...
  9. Lady Whistledown

    Uteuzi wa Meneja wa Maji Dodoma watenguliwa

    Waziri wa Maji, Jumaa H. Aweso ametengua uteuzi wa Meneja wa Maji Mkoa wa Dodoma, (RUWASA) Mhandisi Godfrey Kabula Mbabaye, Aweso amechukua hatua hiyo kwa Mamlaka aliyonayo kupitia Sheria Na. 5 ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira ya mwaka 2019, kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake...
  10. Miki123

    Kumbe uchumi WA shinyanga ni mkubwa kuliko Dodoma, mbeya, Tanga na Arusha

    Kuna miji huwa haisemwi kiasi unachoweza kudhani IPO nyuma. Moja ya mkoa huo ni Shinyanga. Katika orodha ya uchangiaji WA pato la taifa Kwa kila mkoa Shinyanga inashika nafasi ya tatu(3) Kwa kuchangia 5% ikiwa imezidia na mikoa ya Mwanza yenye mchango WA 9% na Dar yenye 17%. Kinachoshangaza ni...
  11. K

    Nauza rice thresher machine ziko Dodoma

    Kwa wadau wa kilimo nchini tafadhari karibuni Mashine ni Diesel Engine HP 16 2200 RPM Uzito wa body na Engine jumla ni Kg 165 Inauwezo wa kupiga Kg 1000 kwa saa inafaa kwa kupigia Alizeti ,Mpunga, Mtama na Uwele mashine mpya inapatikana kwa tsh 7.5M badala 9.5M na used iliyotumika mwaka mmoja...
  12. Msanii

    Soko la Machinga Dodoma, tumpe Rais Samia maua yake

    Wengi watashangazwa na huu uzi. Nimekuwa nakosoa tena kwa lugha kali utendaji wa hovyo usiozingatia uhalisia hususani kuanzia awamu hii ya sita. Tembea uone. Nilifanikiwa kutembelea soko la Machinga pale mji mkuu Dodoma, nilijihakikishia kuwa plan na ukamilishwaji wa mradi wa soko hilo la...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mkataba Barabara ya Mafinga - Mgololo (KM 81) Kusainiwa Kesho Dodoma

    BARABARA YA MAFINGA - MGOLOLO (KM 81) MKABATA KUSAINIWA KESHO DODOMA Mikataba ya ujenzi wa barabara saba (07) ambazo zimekuwa zikiongelewa kwa muda mrefu katika majukwaa mbalimbali ikiwemo ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakwenda kusainiwa hapo kesho Juni 16, 2023 tukio...
  14. HaMachiach

    Kikao cha baraza la taifa la chama cha Walimu Tanzania tarehe 18/6/2023 jijini Dodoma ni mwarobaini wa mtikisiko ndani ya chama

    Tangu kuasisiwa kwake Tarehe 1 novemba 1993 chama cha walimu Tanzania kimekua kikiongozwa kwa kutumia katiba na kanuni zake. Katiba imekua ikibadilika ili kuendana na mabadiliko ya kiuchumi, kijamii na mengineyo. Hadi kufikia 2014, CWT ilipata katiba ya toleo la 6 ambayo ndio inatumika hadi...
  15. Zanzibar-ASP

    Ujenzi wa Uwanja wa Mpira Dodoma kwa msaada wa Mfalme wa Morocco umeishia wapi?

    Huenda kuna mambo yamenipita, nimeona niulize hapa. Ninakumbuka takribani miaka mitano iliyopita kulitokea ujio wa Mfalme wa Morocco hapa Tanzania wakati wa kipindi cha utawala wa Magufuli na ulikwenda sambamba na utiaji wa saini wa mikataba zaidi ya 10 (ambayo hatukuambia kwa kina kila mkataba...
  16. Stephano Mgendanyi

    Utiaji Saini Mikataba ya Miradi ya Maji Mkoa wa Dodoma

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA MIRADI YA MAJI KWA HALMASHAURI ZA MKOA WA DODOMA Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Biashara (Mb) Mh Dkt Ashatu Kijaji tarehe 12 Juni, 2023 alishuhudia tukio la utiaji saini Mikataba ya Miradi ya Maji katika Mkoa wa Dodoma. Tukio hili la...
  17. Erythrocyte

    CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma, mambo yote yataanikwa na Wahusika wote watatajwa

    Taarifa iliyosambazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo inaeleza kwamba, Chama hicho kinatarajia kuongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma 14/6/2023. Bila shaka jambo kubwa linalozungumzwa Dunia nzima la Mauzo ya Bandari litaenda KUHITIMISHWA RASMI , taarifa za chini kwa chini zinadokeza...
  18. Midevu

    Fiber ISP kwa Dodoma

    Habari zenu wakuu? Naomba kufahamu ISP wa fiber internet kwa Dodoma. Nafahamu TTCL pekee ila ningependa kufahamu options nyingine zilizopo.
  19. JanguKamaJangu

    Muonekano wa Stendi ya Mabasi Kondoa (Dodoma) unatia aibu

    Licha ya mamlaka za Serikali kuendelea kutoza ushuru kutoka kwenye mabasi ya abiri yanayopita kwenye Stendi Kuu ya Wilaya ya Kondoa. Mkoani Dodoma bado hali ya mazingira si mazuri. Mabasi yanavyopita wakati wa kiangazi vumbi linalotimka hapo si la Nchi hii, wakati wa mvua napo matope ndio...
  20. peno hasegawa

    Watanganyika wanaohitaji kwenda Dodoma tar 10.6.2023 kushuhudia bunge likipisha Mkataba wa Bandari tukutane hapa !

    Karibuni mikoa yote Tanzania bara. 1. Kundi la vijana wasio na ajira karibuni 2. Kundi na watumishi wa TPA 3. Kundi la vyama vya siasa na wasomi mbali mbali 3. Kundi la wafanyabiashara 4. Wananchi wote Tanganyika Karibuni Dodoma Bungeni tarehe 10.6.2023 bila kukosa
Back
Top Bottom