dodoma

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dodoma waitaka Serikali kutafuta Dawa ya Ugonjwa wa Macho Mekundu kwani wanaonekana ni Wavuta Bangi

    Yaani huu Uginjwa wa Macho Mekundu ulioingia sasa Mkoani Dodoma kutokea Dar es Salaam unatukwaza kwani kwa Macho yetu kuwa Mekundu hivi tunaonekana ni Wavuta Bangi wakati wengine hata hiyo Bangi yenyewe hatujui amesema Mkazi Mmoja wa Mkoa wa Dodoma. Chanzo: Nipashe ya Radio One Asubuhi hii...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mafuriko yakatisha mawasiliano Barabara ya Morogoro – Dodoma, Waziri Bashungwa atoa maelekezo kwa TANROADS

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Eng. Mohamed Besta kufanya tathmini ya eneo la Mtanana katika barabara kuu ya Morogoro – Dodoma ambalo leo Januari 9, 2024 lilijaa maji na kusababisha barabara hiyo kufungwa majira ya asubuhi. Pia...
  3. 2

    JamiiForums Tanzania Wakandarasi wa barabara (Nyanza Roadworks) hawafukii mashimo walipochukua vifusi, maeneo ya Iyumbu, Block C, Dodoma na kusababisha HATARI

    Habari, Tunaomba ushauri ili tupate msaada kutoka kwa mamlaka husika. Mimi ni mmoja wa wakazi wa Block C, Iyumbu West, Dodoma. Tuna changamoto ya mashimo / makorongo makubwa yaliyochimbwa na kampuni ya Nyanza Roadworks wakitafuta kifusi kwa ajili ya matengenezo ya barabara, na mpaka sasa...
  4. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Leo January 2, 2024 Dodoma tumepata mvua

    Tunamshkuru Mungu tangu jana na Leo tunapata mvua. Tulikua na mashaka na mazao tuliyopanda kama tutapata mvua. Mungu atujaalie iendelee kunyesha
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Kijana afariki kwa kukanyagwa na treni akiwa anasikiliza muziki

    Mkazi wa Mtaa wa Ndejengwa jijini Dodoma, Laurent David, amefariki dunia baada ya kugonga treni ya mzigo akiwa eneo la reli. Inaelezwa aliaga nyumbani kwamba anaenda kufanya mazoezi. Ajali hiyo imetokea leo, Jumamosi Desemba 30, 2023 saa 12 asubuhi kwenye Reli ya Kati. Laurent inaelezwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Migahawa ya kigeni Dodoma

    Hellow , marry Christmas to you all, Naomba kuuliza ni mgahawa gn au hotel gan ya kigeni ambapo mtu anaweza pata Chakula pamoja na hizi race nyingne Kwa hapa DODOMA , Nafuatilia comment Ili nikaenjoy Christmas yangu huko .
  7. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania FT. Dodoma Jiji Fc 1, Ihefu Fc 0

    Hivi hawa Ihefu ndiyo wale wale walio wafunga kweli Yanga goli 2-1 kule Highland Estate!! Mpira umemalizika muda si mrefu leo tarehe 18/12/2023 kwenye uwanya wa Jamhuri Dodoma. Yaani msimu mzima wanajiandaa kwa ajili ya kuifunga Yanga tu kwenye uwanja wao wa nyumbani, halafu baada ya hapo...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kuunga Mkono Jitihada za Serikali, St. John University, Dodoma Mjiongeze

    Sekta binafsi ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi. Pale st John university kikuyu wana eneo kubwa sana ambalo limekaa kikmkakati. Ukitoka kwenye jengo lao jipya la utawala, wana eneo kubwa ambalo linaenda mpaka kikuyu centre. Kama walivyofanya ndugu zao pale kanisani mjini kuwekeza kwenye jengo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuhamia Chemba (Dodoma)

    Wadau, Baada ya ya utafiti wa zaidi ya mwako mmoja, nimeamua kuweka makazi wilaya ya Chemba (Dodoma) na nataka kujikita kwenye ufugaji wa kisasa wa ngombe na mbuzi. Naomba kupata connection na wadau waliopo hapa kwa nia ya kubadilishana mawazo jinsi ya kuishi hapa makazi mapya. Asanteni familia.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Umeme umekatika Manispaa ya Dodoma tu au maeneo mengine ya nchi

    Manispaa ya Dodoma tangu saa 11 umeme umekatika na kila nilikopita kote hakuna umeme (Area C, Area D, town centre, Ipagala, kisasa, Ilazo, Ihumwa na maeneo mengine). Wenzetu mlioko mikoani na maeneo mengine ya mkoa wa Dodoma, umeme upo?? Hivi hii SGR kwa umeme huu itakuwaje?
  11. The Gojo

    JamiiForums Tanzania Kero katika stendi kuu ya mabasi Dodoma

    Habari! Nataka kufikisha kero hii kwa niaba ya wasafiri wanaoingia na kutoka katika Stand Kuu ya Mabasi, Dodoma. Kila mtu anajua kuwa ni wajibu wa raia kulipa kodi, lakini ni lazima kuwe na mantiki katika hiyo kodi. Nimeshangazwa sana na utaratibu wa ushuru uliowekwa katika stand hii ambao...
  12. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango ashiriki ibada Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska

    Mlokua mnamzushia kifo mna hali gani?Mlokua mnatangaza na kujiapiza kwamba akionekana mtafuta page zenu mshafuta?Mlokua mnapiga ngoma ya nchimbi na kuanza kumpost mpo wapi?Huwezi kushindana na Mungu hata kidogo!! Kwa mara nyingine wahuni na genge lenu mmefail again!! Kama mnadhani mtafanikiwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Shamba linahitajika Chemba (Dodoma)

    Wadau, Nahitaji shamba kwaajili ya kuweka mifugo (mbuzi na ngombe), wilaya ya Chemba (Dodoma) hasa maeneo ya Soya au kokote kunakofaa kwa ufugaji mbubwa heka 5 na zaidi. Naomba muongozo.
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ahudhuria sherehe za Uhuru Dodoma

    Wakuu sherehe za uhuru zinaendelea huko Dodoma. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar amehudhuria sherehe za uhuru. Ni taarifa tu
  15. I

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza HP Folio 9470M, Dodoma Mjini

    Habari Wakuu, Nauza laptop yangu sio dalali. Hp,Core i5, Intel(R) Core (TM) i5 Family Processor 4th Generation Laptop 4GB installed RAM. Processing Frequency of 2.40GHz X 2.3GHz. 4CPU's (Core Processing Units) 500GB of HDD STORAGE. Backlight keyboard Bluetooth & webcam Original Hp folio...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watendaji Dawati la Jinsia ‘kupewa mbinu mpya’ Dodoma

    Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wapo Jijini Dodoma lengo likiwa ni kuwapa mafunzo nambinu za kukabiliana na vitendo vya ukatili vinavyofanywa na baadhi ya watu wenye ulewa mdogo na imani potofu. Msemaji wa Jeshi la Polisi, Kamishna Msaidizi wa Polisi...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dodoma Area C ina miundombinu mibovu sana

    Jiji la Dodoma limekuwa na miundombinu mibovu ya mitaro na machemba haswa eneo la Area C. Tunahitaji Serikali ishughulike na kurekebisha mitaro na machemba kumalizika haswa kabla janga la mvua kubwa kutukumba na kuadhirika kwa ukubwa kama Hanang Manyara. Mitaro imechimbwa vibaya na...
  18. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Nimepapenda machinga Complex Dodoma

    Soko lipo mjini kati, daladala zote zinafika na usafiri mwingine upo wa kutosha. Hapa Kuna kitu serikali imefanya.
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Felista Njau aeleza namna alivyotumia pesa kupata Ubunge na kwenda kuapa Dodoma kwa siri

    Felista Njau, Mbunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA, ameeleza jinsi ambavyo kwenye siasa za Tanzania bila kutumia pesa kununua kura huwezi kupata uongozi. Asimulia jinsi wabunge COVID-19 walivyoitwa na kigogo Dodoma kuapishwa kwa siri.
  20. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa kamati kuu hili lenu, kabla hamjatoka Dodoma

    1. Mpeni maua yake Dr Samia anajitahidi sana kuifanya CCM iendelee kuwa Chama cha kutumainiwa. 2. Tunaelekea uchaguzi mwakani, ile ya kufikilia (kujua kusoma na kuandika) ni sifa pekee ya kumpa mtu uongozi ikataeni Dunia imebadilika sana. viongozi waandaliwe kwa umakini, watayalishwe wenye...
Back
Top Bottom