Shamba linahitajika Chemba (Dodoma)

Mabala21

Senior Member
Jul 24, 2021
125
85
Wadau,

Nahitaji shamba kwaajili ya kuweka mifugo (mbuzi na ngombe), wilaya ya Chemba (Dodoma) hasa maeneo ya Soya au kokote kunakofaa kwa ufugaji mbubwa heka 5 na zaidi.

Naomba muongozo.
 
Back
Top Bottom