dini

  1. MWAISEMBA CR

    JamiiForums Tanzania Kauli za kipuuzi za viongozi wa kisiasa dhidi ya vyombo vya dini zinapaswa zipingwe vikali

    KAULI ZA KIPUUZI ZA VIONGOZI WA KISIASA DHIDI YA VYOMBO ZA DINI ZINAPASWA ZIPINGWE VIKALI Na: Shujaa Charles Richard Mwaisemba (CRM) Kwa muda mrefu sasa imeanza kuzoeleka na kuonekana ni desturi kwa viongozi wa kisiasa hasa hawa Ma-DC na RC(Wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa) kutoa...
  2. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Daniel Mgogo ni mchungaji wa dini au ni motivational speaker?

    Naomba kujua kutoka kwa waumini wa huyu mchungaji Mgogo, je ni mchungaji wa dini au ni mtia hamasa(motivational speaker) wa dini? Hua naona watu wengi wanapenda kuweka video clips za mahubiri yake kwenye social media statuses ila hakuna mahala au sijawahi kusikia akinukuu vifungu vya dini yake...
  3. bahati93

    JamiiForums Tanzania Nashukuru nilizaliwa kwenye familia yenye dini nayoabudu na wewe pia ndugu nakushauri ushukuru kama nami navyoshukuru

    Akili ya mwanadamu inamuwezesha kungamua uwepo wa muumba wa viumbe vyote hapa duniani, uelewa juu ya muumba unaletwa na dini mbalimbali hapa duniani. Lengo la kuandika waraka huu ni kutaka kuonyesha kwamba hakuna haja ya kubishana dini ipi ni bora kwa sababu zote zinabeba ujumbe mmoja...
  4. Dr Orb

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni Mkristo au Muislamu? je, kalenda unayoitumia unaijua?

    Historia kuu inayozingatiwa kuhusu hesabu za miaka ni ile yenye mlengwa wa kidini. ambapo historia hiyo inasema miaka 2019 ilianzia mwaka 1 ambapo Yesu kristo alipozaliwa kwa mujibu wa Dionysius Exiguu. Hesabu hii haikuwa na uhakika na ilikuwa kimakadirio tu ya bwana Dionyius. Sababu kuu ya...
  5. KijanaHuru

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyelaaniwa kuishi hadi kiama

    Habari Wana JF Nilipenda sana huu uzi ukae jukwaa la Jamii Intelligence Lakini nimeshindwa kutokana na matatizo tunayofanyiwa kule kila uzi ukiuweka unakuwa sio approved na ukizingatia uzi unakuwa hauna shida yoyote, basi wacha tukutane hapa hapa tu. Sasa naendelea na hoja kama kichwa...
  6. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    Mfano 1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.? 2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Back
Top Bottom