Napinga kibali cha Papa kwa Mapadre

bahati93

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
1,134
2,010
Habari za kushinda.
Hapa majuzi nimesika Habari iliyonifanya kushtuka sana kimawazo juu ya huko tunakoelekea. Habari yenyewe ilikuwa ni juu ya papa wa roma kutoa kibali kwa mapadre wa jamii moja huko amerika kusini kuoa na kuzaa watoto. Ni habari inashtusha sana endapo itaendelea kutokea katika maeneo mbalimbali.

Kwa sababu gani nasema inashtusha, ni kwa sababu maparde wa roma catholic ni kama beacon ya ubinadamu, ni alama ya kututofautisha sisi na viumbe wengine.

Moja ya sifa moja ya binadamu ni kwamba yupo conscious of his living ( kujitambua) na kwa mawazo yake mwenyewe anaweza kuchagua mambo ya kufanya bila kuhangaishwa na mambo ya kimwili.

Wanyama hawawezi kamwe kujizuia kwa matendo yao ya kimwili, eehe jogoo akiona tetea lazima afukuzie sio kwamba anapenda bali ndo hivyo hawezi jizuia, Na symbol kubwa ya kuonyesha kwamba binadamu anauwezo mkumbwa sana ni kuweza kustaili maisha pasipo kupata raha za kujamiina.

Kwa mimi naona kujamiiana ni moja ya alama kuu za unyama, embu angalia pilika za viumbe wengine wanazofanya ili tu wajamiane, kama chura yaani eti ambaye atakoroma sauti nzito ndo atapa gemu, embu cheki ndege mpaka acheze stepu za ajabu ndo apate, cheki mbuzi anavyonyaua pua yake ili tu ajue jike lipi anaweza lipanda. Na sasa embu angalia binadamu anavyo hangaika na kiuno chake sasa ili amwage ni unyama jamani ukiangalia kwa undani.

Turudi kwa mapadre na masister hawa wanaishi kwa idea ya usafi kutunza tunu hii ni idea ambayo ipo nje ya unyama ambao binadamu anao Lakini kwa kuishi tuu kuifuata ni ushindi mkubwa sana katika ulimwengu huu wa vionekanavyo na vitamanishavyo, watu wanapaswa wajue maisha huwa hayajali kama baba na mama wanaishi kwa kuraha au karaha inachojali ni kwamba yamefanikisha hivyi viumbe viwili kukutana na kufyatua kingine ili kuendeleza uwepo wa maisha.
Sasa katika haya maisha sio kwamba siku zote wanadamu tunaelekea kwenye maendeleo, kwamba huko mbeleni binadamu watakuwa watu wa technologia sana la hasha bali pia kuna uwezekano wa kurudi nyuma kwa baadhi ya mambo, binadamu wana weza huko mbeleni wasijali tena utu alionao binadamu na kuamua kutokuendelea tena na utafiti wa kisayansi kubaki katika maisha ya kusurvive tuu.

Ndo maana nilishtuka kwamba wameanza kuruhusu makasisi kuoa huwenda ndo ukawa mwanzo wa kupiga chini idea zote kubwa ambazo binadamu peke yake tu anaweza zifikiria.
 
Umesema unapinga papa kuruhusu mapadre wa eneo fulani huko Amerika kuoa, unalipinga hapa hapa JF? au utachukua hatua za juu zaidi!
Ila tuache udini na unafiki,
Mtu mwanaume umekamilika kabisa, unakula msosi vizuri kabisa, maisha safi mpaka sehemu ya kulala iko vizuri, usitie wadada? Unataka utiwe?
Mimi mapadre siamini kama kweli hawalali na wadada.
Mdada kabisa unakula vizuri na unaishi vizuri eti uzizuie nyege,
Kwa mwanaume kuna njia / namna kadhaa za kujizuia kufanya ngono, moja wapo ikiwa ni; Uwe mpunga, usuguliwe.
Kwa masista bila kutiwa lazima watiane vidole na visigino huko parokia!
 
Kwa sababu gani nasema inashtusha, ni kwa sababu maparde wa roma catholic ni kama beacon ya ubinadamu, ni alama ya kututofautisha sisi na viumbe wengine. Moja ya sifa moja ya binadamu ni kwamba yupo conscious of his living ( kujitambua) na kwa mawazo yake mwenyewe anaweza kuchagua mambo ya kufanya bila kuhangaishwa na mambo ya kimwili. Wanyama hawawezi kamwe kujizuia kwa matendo yao ya kimwili, eehe jogoo akiona tetea lazima afukuzie sio kwamba anapenda bali ndo hivyo hawezi jizuia, Na symbol kubwa ya kuonyesha kwamba binadamu anauwezo mkumbwa sana ni kuweza kustaili maisha pasipo kupata raha za kujamiina. Kwa mimi naona kujamiiana ni moja ya alama kuu za unyama, embu angalia pilika za viumbe wengine wanazofanya ili tu wajamiane, kama chura yaani eti ambaye atakoroma sauti nzito ndo atapa gemu, embu cheki ndege mpaka acheze stepu za ajabu ndo apate, cheki mbuzi anavyonyaua pua yake ili tu ajue jike lipi anaweza lipanda. Na sasa embu angalia binadamu anavyo hangaika na kiuno chake sasa ili amwage ni unyama jamani ukiangalia kwa undani.
Turudi kwa mapadre na masister hawa wanaishi kwa idea ya usafi kutunza tunu hii ni idea ambayo ipo nje ya unyama ambao binadamu anao Lakini kwa kuishi tuu kuifuata ni ushindi mkubwa sana katika ulimwengu huu wa vionekanavyo na vitamanishavyo, watu wanapaswa wajue maisha huwa hayajali kama baba na mama wanaishi kwa kuraha au karaha inachojali ni kwamba yamefanikisha hivyi viumbe viwili kukutana na kufyatua kingine ili kuendeleza uwepo wa maisha.
Sasa katika haya maisha sio kwamba siku zote wanadamu tunaelekea kwenye maendeleo, kwamba huko mbeleni binadamu watakuwa watu wa technologia sana la hasha bali pia kuna uwezekano wa kurudi nyuma kwa baadhi ya mambo, binadamu wana weza huko mbeleni wasijali tena utu alionao binadamu na kuamua kutokuendelea tena na utafiti wa kisayansi kubaki katika maisha ya kusurvive tuu. Ndo maana nilishtuka kwamba wameanza kuruhusu makasisi kuoa huwenda ndo ukawa mwanzo wa kupiga chini idea zote kubwa ambazo binadamu peke yake tu anaweza zifikiria.
Tendo la ndoa ni kanuni ya kimaumbile ukiwa mzima lazima na uwezo km ni mume au mke tafuta mwenza wako mfunge ndoa muishi asije mtu akakupangia kuwa usioe au usiolewe anakudanganya matokeo yake unafanya kisirisiri alaf jamii inakuamini kumbe haupo Sawa msingi halalisha tu uishi Kwa amani
 
Walio kupa hiyo dini ndo walio amua hicho ni sahihi wewe una pinga kama muanzilishi kwa dini yako mpya au?? Dini yenyewe wao ndo wanayoijua ww mfata mkumbo tuu.

Turudi kwenye dini za mababu zetu utumwa huu ufike mahali uishe
 
Wao ndo wenye imani wameshaamua sasa
ww umeletewa tu fata kama walivyoamua wao
 
Tendo la ndoa ni kanuni ya kimaumbile ukiwa mzima lazima na uwezo km ni mume au mke tafuta mwenza wako mfunge ndoa muishi asije mtu akakupangia kuwa usioe au usiolewe anakudanganya matokeo yake unafanya kisirisiri alaf jamii inakuamini kumbe haupo Sawa msingi halalisha tu uishi Kwa amani
Hili si suala ambalo mtu analadhimishwa bali ni jambo la hiari kutoka kwa mtu mwenyewe na mawazo yake.
 
Namuunga mkono Papa katika hili. Nimewahi kuishi jengo moja na Mapadre, na pia nimeishi jirani na Watawa (wa kike na kiume). Ukweli ni baadhi yao tu ndiyo hujitahidi kuishi maisha ya useja.

Walio wengi, uvumilivu umewashinda. Labda kama kuna uwezekano, Papa angetoa option! Anayetaka kuoa/kuolewa aoe/aolewe! ili haki itendeke kwa wote.
 
Kitu ambacho unakosea

Papa hajaruhusu mapadri waoe bali watu waliokwisha kuoa na wanasifa ya upandri waruhusiwe wawe mapadri.

Hii maana yake kama ni padri hurusiwi kuoa ila kama ulioa na sasa unataka kuwa padri unaweza kupewa ruhusua.

Kwanini maamuzi hayo yamefikiwa ndio la msingi sana. Uhaba wa mapadri umekuwa mkubwa wamejaribu kuchukua kutoka nchi nyingi lakini bado.
Hivyo kutengua kanuni hiyo ingawa bado haijapitishwa rasmi na baba mtakatifu.

Pia ikumbukwe sio mara ya kwanza kanisa kutoa kibali cha namna hiyo na pia sio kila atakayetaka kuwa padri ataruhusiwa. Kuna vigezo na masharti.

Ni hayo tu
 
Umesema unapinga papa kuruhusu mapadre wa eneo fulani huko Amerika kuoa, unalipinga hapa hapa JF? au utachukua hatua za juu zaidi!
Ila tuache udini na unafiki,
Mtu mwanaume umekamilika kabisa, unakula msosi vizuri kabisa, maisha safi mpaka sehemu ya kulala iko vizuri, usitie wadada? Unataka utiwe?
Mimi mapadre siamini kama kweli hawalali na wadada.
Mdada kabisa unakula vizuri na unaishi vizuri eti uzizuie nyege,
Kwa mwanaume kuna njia / namna kadhaa za kujizuia kufanya ngono, moja wapo ikiwa ni; Uwe mpunga, usuguliwe.
Kwa masista bila kutiwa lazima watiane vidole na visigino huko parokia!
Se se

Horrible
Kuna mambo mengi waweza dedicated maisha yako, in short huku kugonganaa ndo kunarudisha sana binadamu nyuma kwa ujumla, embu fikiria creative power inavyotumiwa kwenye kaz za sanaa kuhusu kugongan zingepelekwa eneo lingine, bila shaka tungekuwa poa sana,
Napinga jf tuu nadhan inatosha kama kuanza ili nipate wafuasi
 
Mtume Paulo aliishi kiseja, siyo hawa wa kulazimishwa na sheria za kanisa..kama huna quality za kujizuia na mambo ya kimwili unakuwa huna tofauti na wanyama, akihisi harufu ya jike tu lazima afuate
 
Habari za kushinda.
Hapa majuzi nimesika Habari iliyonifanya kushtuka sana kimawazo juu ya huko tunakoelekea. Habari yenyewe ilikuwa ni juu ya papa wa roma kutoa kibali kwa mapadre wa jamii moja huko amerika kusini kuoa na kuzaa watoto. Ni habari inashtusha sana endapo itaendelea kutokea katika maeneo mbalimbali.

Kwa sababu gani nasema inashtusha, ni kwa sababu maparde wa roma catholic ni kama beacon ya ubinadamu, ni alama ya kututofautisha sisi na viumbe wengine.

Moja ya sifa moja ya binadamu ni kwamba yupo conscious of his living ( kujitambua) na kwa mawazo yake mwenyewe anaweza kuchagua mambo ya kufanya bila kuhangaishwa na mambo ya kimwili.

Wanyama hawawezi kamwe kujizuia kwa matendo yao ya kimwili, eehe jogoo akiona tetea lazima afukuzie sio kwamba anapenda bali ndo hivyo hawezi jizuia, Na symbol kubwa ya kuonyesha kwamba binadamu anauwezo mkumbwa sana ni kuweza kustaili maisha pasipo kupata raha za kujamiina.

Kwa mimi naona kujamiiana ni moja ya alama kuu za unyama, embu angalia pilika za viumbe wengine wanazofanya ili tu wajamiane, kama chura yaani eti ambaye atakoroma sauti nzito ndo atapa gemu, embu cheki ndege mpaka acheze stepu za ajabu ndo apate, cheki mbuzi anavyonyaua pua yake ili tu ajue jike lipi anaweza lipanda. Na sasa embu angalia binadamu anavyo hangaika na kiuno chake sasa ili amwage ni unyama jamani ukiangalia kwa undani.

Turudi kwa mapadre na masister hawa wanaishi kwa idea ya usafi kutunza tunu hii ni idea ambayo ipo nje ya unyama ambao binadamu anao Lakini kwa kuishi tuu kuifuata ni ushindi mkubwa sana katika ulimwengu huu wa vionekanavyo na vitamanishavyo, watu wanapaswa wajue maisha huwa hayajali kama baba na mama wanaishi kwa kuraha au karaha inachojali ni kwamba yamefanikisha hivyi viumbe viwili kukutana na kufyatua kingine ili kuendeleza uwepo wa maisha.
Sasa katika haya maisha sio kwamba siku zote wanadamu tunaelekea kwenye maendeleo, kwamba huko mbeleni binadamu watakuwa watu wa technologia sana la hasha bali pia kuna uwezekano wa kurudi nyuma kwa baadhi ya mambo, binadamu wana weza huko mbeleni wasijali tena utu alionao binadamu na kuamua kutokuendelea tena na utafiti wa kisayansi kubaki katika maisha ya kusurvive tuu.

Ndo maana nilishtuka kwamba wameanza kuruhusu makasisi kuoa huwenda ndo ukawa mwanzo wa kupiga chini idea zote kubwa ambazo binadamu peke yake tu anaweza zifikiria.
Unachopinga ni kitu gani? Ni heri mtu kudanganya kuwa ni mtawa akawa anazini kimyakimya au kuwa na Mke na kutenda kazi ya Mungu. Msiwe na mazoea unajua kuna wakati haya mambo inabidi kujua badala ya kukaririshwa. Papa kaona mbali watawa wengi wanaanguka katika dhambi ya uzinzi pengine kuliruhusu hili litaokoa sana roho za watu.
 
Watawa wanaozinzi they are weak yawapasa kuacha utawa mara moja kama wana sense of moral
 
Habari za kushinda.
Hapa majuzi nimesika Habari iliyonifanya kushtuka sana kimawazo juu ya huko tunakoelekea. Habari yenyewe ilikuwa ni juu ya papa wa roma kutoa kibali kwa mapadre wa jamii moja huko amerika kusini kuoa na kuzaa watoto. Ni habari inashtusha sana endapo itaendelea kutokea katika maeneo mbalimbali.

Kwa sababu gani nasema inashtusha, ni kwa sababu maparde wa roma catholic ni kama beacon ya ubinadamu, ni alama ya kututofautisha sisi na viumbe wengine.

Moja ya sifa moja ya binadamu ni kwamba yupo conscious of his living ( kujitambua) na kwa mawazo yake mwenyewe anaweza kuchagua mambo ya kufanya bila kuhangaishwa na mambo ya kimwili.

Wanyama hawawezi kamwe kujizuia kwa matendo yao ya kimwili, eehe jogoo akiona tetea lazima afukuzie sio kwamba anapenda bali ndo hivyo hawezi jizuia, Na symbol kubwa ya kuonyesha kwamba binadamu anauwezo mkumbwa sana ni kuweza kustaili maisha pasipo kupata raha za kujamiina.

Kwa mimi naona kujamiiana ni moja ya alama kuu za unyama, embu angalia pilika za viumbe wengine wanazofanya ili tu wajamiane, kama chura yaani eti ambaye atakoroma sauti nzito ndo atapa gemu, embu cheki ndege mpaka acheze stepu za ajabu ndo apate, cheki mbuzi anavyonyaua pua yake ili tu ajue jike lipi anaweza lipanda. Na sasa embu angalia binadamu anavyo hangaika na kiuno chake sasa ili amwage ni unyama jamani ukiangalia kwa undani.

Turudi kwa mapadre na masister hawa wanaishi kwa idea ya usafi kutunza tunu hii ni idea ambayo ipo nje ya unyama ambao binadamu anao Lakini kwa kuishi tuu kuifuata ni ushindi mkubwa sana katika ulimwengu huu wa vionekanavyo na vitamanishavyo, watu wanapaswa wajue maisha huwa hayajali kama baba na mama wanaishi kwa kuraha au karaha inachojali ni kwamba yamefanikisha hivyi viumbe viwili kukutana na kufyatua kingine ili kuendeleza uwepo wa maisha.
Sasa katika haya maisha sio kwamba siku zote wanadamu tunaelekea kwenye maendeleo, kwamba huko mbeleni binadamu watakuwa watu wa technologia sana la hasha bali pia kuna uwezekano wa kurudi nyuma kwa baadhi ya mambo, binadamu wana weza huko mbeleni wasijali tena utu alionao binadamu na kuamua kutokuendelea tena na utafiti wa kisayansi kubaki katika maisha ya kusurvive tuu.

Ndo maana nilishtuka kwamba wameanza kuruhusu makasisi kuoa huwenda ndo ukawa mwanzo wa kupiga chini idea zote kubwa ambazo binadamu peke yake tu anaweza zifikiria.
Sijamailizia kusoma, lakini nikwambie kitu, Binadamu ni myama pia!
 
Mkuu una roho ya ubinafsi sio kitoto,kwa hiyo unataka wewe uwe na mke na watoto wenzako wakiruhusiwa kufanya hivyo unakereka.usifanye hivyo Kwanza sheria hiyo ni ya wanadamu sio Mungu.
 
Back
Top Bottom