Mchungaji Daniel Mgogo ni mchungaji wa dini au ni motivational speaker?

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,904
Naomba kujua kutoka kwa waumini wa huyu mchungaji Mgogo, je ni mchungaji wa dini au ni mtia hamasa(motivational speaker) wa dini?

Hua naona watu wengi wanapenda kuweka video clips za mahubiri yake kwenye social media statuses ila hakuna mahala au sijawahi kusikia akinukuu vifungu vya dini yake. Je ni mchungaji au ni motivational speaker? Yeye na Mchungaji Mitimingi wana uhusiano wowote?

Ahsante.
 
Naomba kujua kutoka kwa waumini wa huyu mchungaji Mgogo, je ni mchungaji wa dini au ni mtia hamasa(motivational speaker) wa dini?

Hua naona watu wengi wanapenda kuweka video clips za mahubiri yake kwenye social media statuses ila hakuna mahala au sijawahi kusikia akinukuu vifungu vya dini yake. Je ni mchungaji au ni motivational speaker? Yeye na mchungaji mitimingi wana uhusiano wowote?

Ahsante.
watu wana crop, na kupost kile wanacho vutiwa navyo. sehemu ulyio isikia na kuiona i bet ni kijipande tu katika mahubiri yake, muda ule wa kutoa mifano n.k

ngumu kukuta watu wanapost mahubiri au vipande vinavyo toa ngumu chungu, kukemea dhambi n.k

lakini pia lengo la kuchunga ni ku guide, na hizo ni sehemu za ku guide.
 
Kama hatokuelewa hapa. Ndo basi tena
 
Huwa namsikiliza vizuri, anawaambia watu waziwazi waache dhambi!!

Kuna ubaya hapo?
 
Watu wanachukua vipande baadhi tu vya yake mafundisho.. Mm binafsi namkubali sana huwa anatoa za USO live live
Naomba kujua kutoka kwa waumini wa huyu mchungaji Mgogo, je ni mchungaji wa dini au ni mtia hamasa(motivational speaker) wa dini?

Hua naona watu wengi wanapenda kuweka video clips za mahubiri yake kwenye social media statuses ila hakuna mahala au sijawahi kusikia akinukuu vifungu vya dini yake. Je ni mchungaji au ni motivational speaker? Yeye na mchungaji mitimingi wana uhusiano wowote?

Ahsante.
 
Naomba kujua kutoka kwa waumini wa huyu mchungaji Mgogo, je ni mchungaji wa dini au ni mtia hamasa(motivational speaker) wa dini?

Hua naona watu wengi wanapenda kuweka video clips za mahubiri yake kwenye social media statuses ila hakuna mahala au sijawahi kusikia akinukuu vifungu vya dini yake. Je ni mchungaji au ni motivational speaker? Yeye na mchungaji mitimingi wana uhusiano wowote?

Ahsante.
Wewe unaonaje kwa nini maaana ya Uchungaji manake ukilijua hilo wala hutapata shida
 
watu wana crop, na kupost kile wanacho vutiwa navyo. sehemu ulyio isikia na kuiona i bet ni kijipande tu katika mahubiri yake, muda ule wa kutoa mifano n.k

ngumu kukuta watu wanapost mahubiri au vipande vinavyo toa ngumu chungu, kukemea dhambi n.k

lakini pia lengo la kuchunga ni ku guide, na hizo ni sehemu za ku guide.
Asipoelewa hapa basi ni kilaza sana ani huyu jamaa
 
Naomba kujua kutoka kwa waumini wa huyu mchungaji Mgogo, je ni mchungaji wa dini au ni mtia hamasa(motivational speaker) wa dini?

Hua naona watu wengi wanapenda kuweka video clips za mahubiri yake kwenye social media statuses ila hakuna mahala au sijawahi kusikia akinukuu vifungu vya dini yake. Je ni mchungaji au ni motivational speaker? Yeye na mchungaji mitimingi wana uhusiano wowote?

Ahsante.
Ukiona mtu ana challenge ukweli ama uhalisia wa jambo basi huyo mtu hakosi kuwa na makando kando katika maeneo anayo yakosoa na kuyajengea hoja za utetezi, Mchungaji Danniel Mgogo hana injili ya kupapasa bali ako anahubiri uhalisia wa neno la Mungu linavyowataka watu waishi /wawe hasa kwa maisha ya utauwa.Acha ulevi, uzinzi, uasherati, uongo, wizi ,dhuluma hizi ndizo point mhimu sana katika Mahubiri yake haya zaidi ya hapo wewe ungependa ahubiri nini kwa kizazi hiki upepo wa kisulisuli?
 
Back
Top Bottom