Viongozi wa dini wameamua kutuonesha njia sahihi

the truecaller

JF-Expert Member
May 8, 2019
809
940
Nimetoka kule tweeter,nilichokiona ni mashambulizi lukuki toka kwenye huu upande wa pili.

Wamejaa sumu kupita kiasi dhidi ya viongozi wetu wa dini hasa maaskofu wetu na ni dhahiri kwamba wapinzani wa kitanzania hawaheshimu uhuru wa mawazo tofauti na wanayotaka wao kuyasikia.

Ukiwasifia wanakusifia,ila ukitoa msimamo wako wasiopenda,basi utatukanwa mpaka mwisho.lakini tusisahau kwamba hawa viongozi wa dini wana maono ya mbali sana.
Hawa viongozi wa dini wametumia nuda mwingi sana madarasani kuisomea tabia ya binadamu na mahusiano ya kimungu.

Wamekaa katika maudhui ya kuiombea amani dunia muda woote.
Sasa wanapoona dalili za makusudi za kuiharibu amani hiyo,je mnataka waendelee ku support ujinga?

Acheni kila mtanzania atumie haki yake ya kikatiba.
Kama mnalalamikia uminywaji wa demokrasia nchini,mbona nyinyi mnashindwa kuiheshimu hiyo demokrasia na mnabaki kutukana ovyo mitandaoni?

Hivi watanzania ni mataahira wawape wahuni ikulu?

Shame on you.

Tuko na JPM 2020-2025

=======
Kuna Kiongozi wa Dini Mmoja wa Dhehebu langu na ni Mtu aliyekuwa akikubalika na hata Kuheshimika si tu na Sisi Wakristo bali na hata Ndugu zetu wa Kiislamu hasa kwa maneno yake ya Busara na Hekima zako alizokuwa nazo, ila kwa sasa ameanza Kutuonyesha kuwa huenda tulikosea Kumpenda na Kumuamini na kumbe ni bonge la ‘ Popoma ‘ ndani ya Kanisa hilo muhimu.

Ni jambo la aibu na la Kusikitisha sana kwa Kiongozi wa Dini Kuanza ‘ Kupayuka / Kuzoza ‘ hovyo tena kwa Kusema mambo ya aibu nay a Ajabu ambayo hata Mimi Mtenda Dhambi GENTAMYCINE siwezi ‘ Kuthubutu ‘ kuyasema mbele ya Kadamnasi hii Kubwa ya Watanzania tena ambayo huenda ikawa na Akili Kubwa na Nyingi kuliko Mimi.

Hivi inaingia vipi Akilini kwa Kiongozi wa Dini ambaye ‘ uliheshimika ‘ sana leo hii Kuanza Kutamani Mtawala / Kiongozi mwenye Vinasaba ( DNA ) vya Kutosha vya Ukatili, Unyang’anyi, Utapeli na Ushirikina ulioshindikana Siku moja aje nae Kuiongoza Tanzania hii iliyoachwa vyema na Wazee Wetu Hayati Nyerere na Karume?

Kuna Watu ( Wakristo ) tulijitoa sana Kumuombea huyo Kiongozi tukiamini kwamba huenda Kupona Kwake na Kuwepo nasi Watanzania basi Hekima yake pamoja na Viongozi wa Dini wa Madhehebu wengine ingesaidia ‘ Kuikomboa ‘ Tanzania hii ya sasa ambayo inaonekana kuwa na ‘ Vimelea ‘ fulani vya Wanamgambo ‘ Wauwaji ‘ waliopo nchini Burundi waitwao Intarahamwe.

Kwa Kauli za huyu Kiongozi tena wa Dhehebu langu kabisa naanza Kuamini sasa kuwa huenda bado atakuwa ‘ anaumwa ‘ na pengine Ugonjwa wake sasa umeshaathiri hata mfumo wake mzima wa Akili ( Fikra ) na sasa nae amekuwa ni wa ‘ hovyo hovyo ‘ kama huyo aliyekuwa akimsifia kuwa angetamani Siku moja nae aje kuwa Kiongozi / Mtawala wa Tanzania hii.

Viongozi wa Dini nchini Tanzania kuweni makini tafadhali vinginevyo kwa ‘ Upuuzi ‘ mlionao baadhi yenu mnaweza sasa Kutulazimisha kuwa pale mnapokuwa ‘ Mnaugua ‘ tuwaombeeni mpone basi Sisi sasa tukawa tunafanya Maombi yetu ya haraka haraka kwa Mwenyezi Mungu ili awachukue ( namaanisha Mfe / Mfariki ) kabisa ili tupumzike na ‘ Upopoma ‘ wenu ambao unaweza ukaliangamiza Taifa hili.

Yaani mnakutana Usiku au Siku moja kabla ya Mikutano yenu mbalimbali halafu ‘ unatishwa ‘ tu kidogo au kwakuwa umeomba Msaada wa kwenda Kutibiwa zaidi nje ya nchi au kuna Jambo lako fulani unaona haliendi kwakuwa huna Hela ya Kodi dhidi yake au kuna Mtu fulani unataka Kumpigia ‘ debe ‘ nae apate Cheo unapewa Sharti kuwa ili usaidiwe basi Kwanza msifie huyo Mtu ili nae akusaidie kwa Namba Moja.

Sasa naanza Kupata majibu ya kwanini Dhehebu langu kila Siku Waumini wake wanazidi Kupungua tu na Kuhamia katika Madhehebu mengine ya Lutheran, Anglican, TAG na mengineyo ( hasa ya Kiroho ) huku Dhehebu langu kila Siku likilalamika tu ‘ Kukimbiwa ‘ huko. Na kama Dhehebu langu halitokuwa makini na huyu Kiongozi na ‘ Upuuzi ‘ wake basi hata Mimi GENTAMYCINE naweza Kuwaacha vile vile.
 
Upinzani wamezingua sana.
Wamekosea kujaza fomu wameondolewa, wakasusia...wamerudishwa wamesusia na matusi juu..viongozi wamewashangaa wanatukana bila breki.
Upinzani wa Tanganyika ni balaa tupu
 
Siku ukitoka Twitter ndio uje uanzishe UZI, ila kwa sasa ungerudi huko huko "tweeter"
 
Upinzani wamezingua sana.
Wamekosea kujaza fomu wameondolewa, wakasusia...wamerudishwa wamesusia na matusi juu..viongozi wamewashangaa wanatukana bila breki.
Upinzani wa Tanganyika ni balaa tupu
Kama wamekosea nini kimewafanya watendaji wazikimbie ofisi zao? Kuweni na sura za aibu watanzania sio wapumbavu
 
Kuna Kiongozi wa Dini Mmoja wa Dhehebu langu na ni Mtu aliyekuwa akikubalika na hata Kuheshimika si tu na Sisi Wakristo bali na hata Ndugu zetu wa Kiislamu hasa kwa maneno yake ya Busara na Hekima zako alizokuwa nazo, ila kwa sasa ameanza Kutuonyesha kuwa huenda tulikosea Kumpenda na Kumuamini na kumbe ni bonge la ‘ Popoma ‘ ndani ya Kanisa hilo muhimu.

Ni jambo la aibu na la Kusikitisha sana kwa Kiongozi wa Dini Kuanza ‘ Kupayuka / Kuzoza ‘ hovyo tena kwa Kusema mambo ya aibu nay a Ajabu ambayo hata Mimi Mtenda Dhambi GENTAMYCINE siwezi ‘ Kuthubutu ‘ kuyasema mbele ya Kadamnasi hii Kubwa ya Watanzania tena ambayo huenda ikawa na Akili Kubwa na Nyingi kuliko Mimi.

Hivi inaingia vipi Akilini kwa Kiongozi wa Dini ambaye ‘ uliheshimika ‘ sana leo hii Kuanza Kutamani Mtawala / Kiongozi mwenye Vinasaba ( DNA ) vya Kutosha vya Ukatili, Unyang’anyi, Utapeli na Ushirikina ulioshindikana Siku moja aje nae Kuiongoza Tanzania hii iliyoachwa vyema na Wazee Wetu Hayati Nyerere na Karume?

Kuna Watu ( Wakristo ) tulijitoa sana Kumuombea huyo Kiongozi tukiamini kwamba huenda Kupona Kwake na Kuwepo nasi Watanzania basi Hekima yake pamoja na Viongozi wa Dini wa Madhehebu wengine ingesaidia ‘ Kuikomboa ‘ Tanzania hii ya sasa ambayo inaonekana kuwa na ‘ Vimelea ‘ fulani vya Wanamgambo ‘ Wauwaji ‘ waliopo nchini Burundi waitwao Intarahamwe.

Kwa Kauli za huyu Kiongozi tena wa Dhehebu langu kabisa naanza Kuamini sasa kuwa huenda bado atakuwa ‘ anaumwa ‘ na pengine Ugonjwa wake sasa umeshaathiri hata mfumo wake mzima wa Akili ( Fikra ) na sasa nae amekuwa ni wa ‘ hovyo hovyo ‘ kama huyo aliyekuwa akimsifia kuwa angetamani Siku moja nae aje kuwa Kiongozi / Mtawala wa Tanzania hii.

Viongozi wa Dini nchini Tanzania kuweni makini tafadhali vinginevyo kwa ‘ Upuuzi ‘ mlionao baadhi yenu mnaweza sasa Kutulazimisha kuwa pale mnapokuwa ‘ Mnaugua ‘ tuwaombeeni mpone basi Sisi sasa tukawa tunafanya Maombi yetu ya haraka haraka kwa Mwenyezi Mungu ili awachukue ( namaanisha Mfe / Mfariki ) kabisa ili tupumzike na ‘ Upopoma ‘ wenu ambao unaweza ukaliangamiza Taifa hili.

Yaani mnakutana Usiku au Siku moja kabla ya Mikutano yenu mbalimbali halafu ‘ unatishwa ‘ tu kidogo au kwakuwa umeomba Msaada wa kwenda Kutibiwa zaidi nje ya nchi au kuna Jambo lako fulani unaona haliendi kwakuwa huna Hela ya Kodi dhidi yake au kuna Mtu fulani unataka Kumpigia ‘ debe ‘ nae apate Cheo unapewa Sharti kuwa ili usaidiwe basi Kwanza msifie huyo Mtu ili nae akusaidie kwa Namba Moja.

Sasa naanza Kupata majibu ya kwanini Dhehebu langu kila Siku Waumini wake wanazidi Kupungua tu na Kuhamia katika Madhehebu mengine ya Lutheran, Anglican, TAG na mengineyo ( hasa ya Kiroho ) huku Dhehebu langu kila Siku likilalamika tu ‘ Kukimbiwa ‘ huko. Na kama Dhehebu langu halitokuwa makini na huyu Kiongozi na ‘ Upuuzi ‘ wake basi hata Mimi GENTAMYCINE naweza Kuwaacha vile vile.
 
Huyo msemaji wa TEC lazima kaamrishwa na mwanya amsifie jiwe,dini yangu imevamiwa na viwavi jeshi.kipindi cha jk walimsema sana ila huyu muumini wao ni kumsifia tu
 
Wakatoliki tutaheshimika iwapo viongozi mithili ya kina pengo wakiondoka kabisa kwenye kutoa matamko pale tec wanatakiwa wawepo watu makini mapadri kama kitima, Raymond sabba na asanteMungu wawe maaskofu ila sio hawabkina nzigilwa na wenzake vibaraka was pengo
 
Ngalalekumtwa aliiwezea TEC
Chengula (r.i.p) waliweza kuionya serikali hadharani

Awa wengine ukakasi
 
Afadhali Askofu wangu akuongea .Dk Malasusa otherwise kukaa kimya baba na kuombea taifa kimoyomoyo ni busara .Mungu akutunze tu
 
Wakatoliki tutaheshimika iwapo viongozi mithili ya kina pengo wakiondoka kabisa kwenye kutoa matamko pale tec wanatakiwa wawepo watu makini mapadri kama kitima, Raymond sabba na asanteMungu wawe maaskofu ila sio hawabkina nzigilwa na wenzake vibaraka was pengo

kwani Askofu Ruwa'ichi anasema je?
 
Raymond sabba alikuwa katibu mkuu tec baada ya yeye kuuanda ule waraka mzito wa kraresma serkali inamind vibaraka kina pengo wakamtoa
TEC ya awamu ile ilikua na nguvu despite pengo alijitokeza hadharan kutoa msimamo tofaut na ule uliotolewa na baraza

School mate wa mkuu wa TEC wa saiz wanasema jamaa alikua muoga sana sio mtu wa ku raise complaints kwenye mambo ya kijamii unless awe amebadilika
 
Back
Top Bottom