dini

  1. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Maoni kwa mtaala mpya wa elimu: badala ya somo la dini ondoa iwepo falsafa

    Katika pitiapitia yangu mitandaoni nimeona mapendekezo ya maboresho ya mtaala wa elimu. Tumekuwa tukilialia kuhusu oooh, mfumo wa elimu/mtaala unatufundisha kukariri sana. Mara haufundishi watu kujiajiri. Mambo mengi tu. Je katika mtaala mpya tumeweka jambo lipi la kuwafundisha hawa watoto...
  2. Chomo

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz kuvaa rozali, amebadili dini au uislam unaruhusu?

    Haya ndugu yetu yupo Mwanza huko anapiga shoo muda huu, ila nashangaa amevaa rozali... masharti ua chama yanampeleka vibaya huyu mtu au ni kuwa kachagua njia ambayo anaona ni sahihi kwake?
  3. mangikule

    JamiiForums Tanzania Dini ya kweli ni haki, kinyume chake ni ushetani

    Nimefuatilia mijadala mingi ya kisiasa hapa. Kuna wanaopinga au kuunga mkono tu kwa kigezo cha dini ya kiongozi mkuu. Mijdala ilianzia mbali sana Miaka ya tisini mbuga zetu ziliuzwa Loliondo upinzani na uungaji mkono ukalalia udini. Miaka ya 2005 hadi 2010 ufisadi mkubwa ukajitokeza na...
  4. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Waislamu ni kwamba dini yao ni nzuri lakini hawaifuati

    Nasikitika kwa padre wa White Fathers kutekwa nchini Nigeria. Lakini, we must not take it personally. Kule Nigeria utekaji nyara watu ni national pastime. Ni hobby. Lakini Mwislamu anaonyesha kukosa imani na dini na kwa hiyo haifuati. Always lazima utofautishe kati ya Mwislamu na dini ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wajuzi wa mambo ya Dini, andika jina la Mtume na nchi aliyozaliwa

    Nimekuja na hii maada ili watu wapate kujua historia ya Mitume wa Mwenyezi Mungu, inchi walizozaliwa na walikuwa wangapi, Hapa tunazungumzia Mitume wa Mwenyezi Mungu, siyo wanafunzi wa mitume,Mtume ni yule aliyechaguliwa na Mungu peke, ambaye hata riziki yake anayokula hutoka kwa Mungu...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Uislamu Siyo Kilema, Waislamu acheni kulia lia Tunapowakosoa

    Waislamu Wengi hasa hawa wa Tanzania Huwa wanajiona kama ni kundi lenye mahitaji maalumu. Yaani kundi la kupendwa pendwa lisilotakakiwa kukosolewa pale mnapo mbwela mbwela Ngoja niwaambie nyie siyo walemvu. Habari za Kusema Kila kitu eti Kwa kuwa ni muislamu ndo maana imekuwa hivi na vile...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Suala la dini litanikosesha ndoa. Naombeni ushauri

    Wakuu naandika huku nina stress. Huwa ni mzito wa kuongelea mambo yangu ya mapenzi ila hapa JF naona ni sehemu sahihi ya kuomba ushauri kwasababu kila mtu yupo huru kwa feki ID. Kiufupi mimi ni kijana mdogo wa miaka 37, mkristo na mwanachama wa CCM. Baada ya kumpata msichana tuliyependana...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Waislamu jifunzeni kutenganisha dini (religion) na ya kidunia (secularism)

    Kalenda ya kiislam inasema huu ni mwaka 1445! Hii ni miaka 600 hivi nyuma ya kalenda ya watu waliokombolewa! Waislamu wengi ni vigumu sana kutenganisha dini na mambo ya kidunia. Jambo hili lilikuwa tatizo pia Ulaya miaka 600 iliyopita. Dini ilikuwa serikali na serikali ilikuwa dini. Watu wengi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tuwekane sawa: Dini hujenga mitazamo ya mtu, vyama vya siasa vichukue mikondo ya kimakundi

    Asalam, Hoja: Kuhuhusu mitazamo, mantiki, ufikiri na misingi ya maamuzi. Nimeona mivutano na uongo mwingi kuhusu dini, imani, madhehebu,, makabila, ukanda, jinsia nakadhalika kutumika katika kukanya, kuzuia, kuhimiza na kuogofya kutumika kama misingi ya kifikra katika kufanya maamuzi au kutoa...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke lazima Abadili Dini na Imani Ili ifanane na yako ndipo umuoe.

    MWANAMKE LAZIMA ABADILI DINI NA IMANI ILI IFANANE NA YAKO NDIPO UMUOE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya ishara za awali Kwa Mwanamke anayekupenda na anayeweza kuwa Mkeo ni kukuamini, na kuamini Kwa kile ukifanyacho na kile unachokiamini. Kwa Mwanamke Hisia na Imani vinaenda sambamba...
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa waache kuwakashfu viongozi wa dini kwenye mikutano yao

    Namsikia Lema akiwakoromea viongozi wa dini kwa maneno ya dhihaka na dharau kwa kuwa tu hawajahudhuria mkutano wa siasa, kana kwamba na wao ni wanasiasa au wanalazimika kufanya hivyo. Wana hiyari ya kuja au kutokuja, wasipokuja hawana kosa na wakija pia hawana kosa, iweje wasipokuja uwaone...
  12. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Alex masawe abadili dini na kuwa muislamu

    Mfanyabiashara maarufu na mmilikiwi wa A. M investment na mahotel mbalimbali nchini Alex massawe abadili dini na kuwa muislamu Alex massawe alikimbia nchi ya Tanzania na kukimbilia south Afrika kutokana na tuhuma mbali mbali.Hongera bwana Alex massawe kuja kwenye dini ya haki na dini yenye...
  13. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mwijaku ana juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu ya dini aliyonayo

    Niseme tu ukweli huyu jamaa huwaga namshangaaga sana, licha ya kukaa sana madrasa na kufanikiwa kumaliza juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu aliyonayo. Hatukatai anajitafutia rizki ila kwa kweli ni too much haswa kwa mtu kama yeye. Kwa alipofikia sidhani kama atakuwa...
  14. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wa dini kwenye nyumba za Ibada, wanaongoza sala ya kuzuia mkataba wa DP, ajabu wakitoa maoni mbele ya makamera, wanaunga mkono

    Baadhi ya viongozi wa Dini huwenda hawana Roho wa kweli, Hawana msimamo, hawaelewi maelekezo ya Mungu kuhusu mambo ya watu wao, nchi yao na hata mambo yao wenyewe Haiwezekani kama kiongozi wa dini, ukiwa kwenye nyumba ya Ibada, unaongoza watu maombi ya kuzuia mkataba wa DPWORD Ajabu ukiitwa...
  15. Mama Mwana

    JamiiForums Tanzania Wanaume na kubadili dini

    Kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi any way tuachane na hayo. Unamchukuliaje mwanaume anayebadili dini kisa mwanamke, mimi namuona wa ajabu kweli kama ameshindwa kusimamia imani ya dini yake bas hata maamuzi kama baba wa familia hatokua nayo mke akimkingia kibesi tayar...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Dkt Slaa atoa wito kwa Viongozi wa dini zote na madhehebu yote na wananchi wote kwa ujumla kuhudhuria mkutano mkubwa wa kujadili hatma ya bandari zetu

    WITO WA KUHUDHURIA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA: BANDARI ZETU! URITHI WETU! Kwa viongozi wa dini zote na Madhehebu yote nchini Tanzania! Sisi Watanzania tulioko ndani na nje tumeamua kulinda rasilimali za nchi tulizopewa na Mungu sisi na vizazi vyetu kama ilivyoanishwa kwenye Ibara ya 27 (1) na...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mnaosema dini ni biashara mnakosea. Biashara ina manufaa kwa pande 2. Kama utanufaika upande 1 tu huo ni utapeli sio Biashara

    Biashara maana yake muuzaji anafurahi kuuza bidhaa yake huku akiweka kibindoni faida yake, while mteja akifurahia bidhaa ya thamani halisi. Kama mbele ya safari mteja akigundua kuwa ameuziwa bidhaa bandia au isiyo thamani halisi ya pesa yake hali hiyo tutaiita utapeli. Na huo utapeli ndio...
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Wakoshwa na Bwawa la Nyerere

    Wakati mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) ukifikia asilimia 90 ya ujenzi wake, viongozi wa dini wamesema watakwenda kuwaelezea waumini wao umuhimu wa kutunza mazingira ili mradi huo uwe endelevu. Viongozi hao kutoka Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu...
  19. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Huu ni udhalilishaji mkubwa kwa Dini za Kikristo. Clip Kutoka madhabahu ya GeorDavie

    Video ya wadada wakiwa wanapita mbele yaa nabii mkuu na mawazi yasio ya heshima na yasiyostahili kwenye madhabahu ya Mungu. Kuna haja ya kufungia baadhi ya huduma na kuweka vigezo vikali kwa wanaoongoza huduma hizo. Shetani yupo duniani.
  20. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Kwa hawa watu wanaobadili dini, Ndugu na wanafamilia wa dini tofauti wajiandae kwa lipi kwenye mazishi yao?

    MKASA WA BINTI MKRISTO ALIEBADILI DINI: Nimeshawahi kushuhudia mvurugano wa hali juu kwa suala hili kutoka kwa familia za wanandoa, Bint wa kimakonde Mkristo alikubaliwa na wazazi wake abadili Dini ili aolewe na kijana Muislam, Shida ikaja pale bint alipofariki, ndugu za mume wanataka kumzika...
Back
Top Bottom