dini

  1. R

    Kwanini viongozi wa Dini Tanzania hawajakemea mauaji yaliyosababishwa na Mchungaji Kenya? Wanaogopa nini kukemea Imani potofu?

    Tulitegemea viongozi wa Dini wakemee mauaji huko Kenya, lakini wamekaa kimya means wanaona ni sawa alichofanya mwenzao? Soon wachungaji wa Tanzania nao wataleta crisis kama ya Kenya kutokana na kukosekana Kwa udhibiti wa mahubiri. Hiki alichofanya mchungaji Kenya, alikifanya kibwetere Uganda...
  2. D

    Membe waonee huruma Hawa wake wawili wa Musiba kama umewakatalia viongozi wa dini

    Naomba niseme kwa ufupi sana, Mwera Bernard Membe ana hasira na chuki ya wazi kwa mtukanaji Ciprian Musiba. Hali hii Sasa ni Tete. Yono anatangaza mnada wa mali za Musiba Ijumaa na wanunuzi wameshajaa ofisini kwa Yono na miongoni mwao ni waliotukanwa na Musiba. Membe amekataa ushauri wa kila...
  3. Mr Sir1

    Ifike wakati Wahubiri dini wamuogope Mungu japo kidogo

    Mtu na akli zake timamu kabisa anaenda kupanga foleni kupewa nguvu za kiume na muhubiri dini. Hizi dini zinazidi kupoteza maana sababu ya tamaa za wanadamu.
  4. The Father of All

    Muuaji wa Kilifi Paul Mackenzie, ni vigumu kumtia hatiani vinginevyo dini zote zifutwa

    Japo nalaani mauaji ya kinyama yaliyofanyika huko Kilifi Kenya, nina wasiwasi kama sheria zetu za kiingereza zinaweza kumtia hatiani. Zifuatazo ni sababu nuzuhu za kisheria: Mosi, si rahisi kuthibitisha kuwa Mackenzie aliwashawishi wahanga kutokula. Na kama aliwashawishi, si kosa kumshawishi...
  5. Mcqueenen

    Jinsi ya kwenda Mbinguni katika kila dini

    Kuna dini nyingi duniani na kila dini ina mtazamo wake kuhusu jinsi ya kufika mbinguni. Sijui kama mbingu ni ile ile kwa kila dini na sijui kama kuna njia bora kuliko nyenzake, lakini Hapa ni maelezo mafupi juu ya jinsi ya kufika mbinguni katika dini kadhaa maarufu: Ukristo: Kulingana na...
  6. Rwetembula Hassan Jumah

    Dini hizi ndo zitakazotupeleka Motoni tena kilahisi fuatilia Mahojiano yangu na huyu Shekhe

    Asante Muumba wangu na watu wote muumba Arshi,Mbingu na vilivyomo. ... Karibu mpenzi Mwanajukwaa leo nimekuletea mambo baadhi yaliyokuwako na mwisho wakakopy na kuingiza kwenye utaratibu wa dini zao na kutumia majina ya wakwao pamoja na viongozi wao wakidai ni maagizo toka Kwa muumba wetu ila...
  7. Rwetembula Hassan Jumah

    Duniani Dini inayotambulika ni moja Uislamu na ulikuwepo kabla ya adamu( a.s)

    ... Soma kuhusu uislamu ni nini? Utapata jibu, huwezi kupata maarifa bila kusoma Someni . mtume Mohammad alikuja kukamilisha maana ndo mtume wa mwisho hakuna mwingine mpaka kiyama kinasimama. QUR'AN Ndo kitabu kitukufu pekee duniani maana kimekamilika kila idara utofauti unakuja kutokana na de...
  8. Mcqueenen

    Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

    Asalam aleykum...twende kwenye mada Kusali jumapili Amri ya Nne inasema kwamba siku ya kuabudu ni ya 7 ni Sabato. Wakatoliki wanaita hii amri ya Tatu kwa sababu waliifuta Amri ya Pili inayokataza mtu kuabudu sanamu. Ambayo bila shaka Wakatoliki wengi hufanya. Wakati wa Masihi Yehowshuwa...
  9. MK254

    Wakenya sita washtakiwa kulipua mabomu DRC kisa dini

    Jameni huu uzombi wa kidini hunishangaza sana, Mwafrika unaingiwa na uzombi unakwenda kwenye nchi ya Mwafrika mwenzako na kulipuka mabomu huko. Yaani hata ndugu wa damu akishaingia kwenye hii dini inabidi kumsahau kabisa ndio keshamezwa, unatakiwa kuwa makini naye muda wote.....Sijui kitu gani...
  10. NetMaster

    Wakristo kimavazi tunazidi kupotea, Mavazi yaliyoshauriwa kwenye maandiko yamepuuzwa, Pongezi kwa Waislam kuendela kuvaa mavazi yanayositiri

    NI MAVAZI AMBAYO MTU HAWEZ KUVAA MBELE YA BABA YAKE MZAZI LAKINI ANAONA NI SAWA MBELE YA BABA MTAKATIFU .!! Imeshakuwa kama kawaida sikuhizi wakristo kuhamia rasmi mavazi kulingana na tamaduni za wazungu na sio maandiko, mavazi haya yasiyositiri yamechangia kuleta mmonyoko wa maadili kwa...
  11. J

    Miaka 20 ya Maranatha: DC Jokate ashiriki ibada, aomba viongozi wa dini kuombea serikali

    MIAKA 20 YA MARANATHA DC JOKATE ASHIRIKI IBADA, AOMBA VIONGOZI WA DINI KUOMBEA SERIKALI. Na Miko Luoga Tanga Mkuu wa wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Jokate Mwegelo amewaomba viongozi wa dini na waumini wilayani humo kuwaombea viongozi wa serikali na ardhi ya Tanzania ili Taifa liendelee kuwa...
  12. M

    Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

    Hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini. Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu, ambaye anakubaliki na Dini zote, kuanzia Uyahudi, Ukristo mpaka Uisilamu, na hawa wote ibada zao zimetofautiana. Je, niwapi wanaomfata?
  13. Zacht

    Je, ni kweli muislamu akibadilisha dini adhabu yake ni kifo?

    Wakuu Sallam Siku chache zilizo pita Kuna mdau iliweka thread humu JF aliuliza kumbe ukitoka kwenye uislamu unahukumiwa kifo,mada ambayo imezua mjadala mkubwa sana wachangiaji wengi wameonekana wakitoa maoni hasi juu ya uislamu kupita mada hio, wengi wanaizungumzia vibaya uislamu kuwa dini ya...
  14. bahati93

    Gauni la Rose

    Watu bana sijui kwa nini wanakuwa na secret ajenda kila pale Rose anaposhine. Kazi kumwekea chuki tuu kila kukicha hapo zamani kidogo walimletea chuki baada ya kushinda tuzo ya kili, sasa wanaleta chuki juu ya gauni lake wakitoa sababu za ajabu. Eti gauni lina kola ya kiFremason, etii oooh gauni...
  15. Abraham Lincolnn

    Pongezi viongozi wa dini kwa kukemea ushoga, Ndoa za jinsia moja

    Nilipohudhuria ibada kuanzia Alhamisi Kuu, Ijumaa Kuu mpaka Jumapili ya Pasaka nimeona jinsi viongozi wetu wa dini walivyojipanga katika kukemea maovu haya. Siku ya Ijumaa kuu, Askofu alitumia muda mwingi kukemea tabia za ushoga na ndoa za jinsia moja (sikuelewa kwanini alitilia mkazo sana), Pia...
  16. CAPO DELGADO

    Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

    Heri ya Pasaka? Heri ya Mfungo kwa WAISLAMU. Ndugu zangu wataalamu wa Masuala ya Biblia na Quran NAOMBENI MSAADA wa hili swali linalonisumbia Daima? JE ni KWELI QURAN ilishushwa kutoka MBINGUNI? 1. Inamaana Mungu alitengeneza karatasi. 2. Akatafuta Penny Compyuta printer nk? 3. Mbona ni...
  17. sanalii

    Dini kuu mbili zote ziko katika mfungo, wanaojaza sehemu za starehe ni kina nani?

    Inawezekanaje kua Kwaresma na Ramadhani vimekutana lakini maeneo ya starehe mambo yako kama kawaida, hii inaleta tafsiri gani?
  18. M

    Ni ipi dini ya mitume wa mwenyezi mungu na manabii

    Mitume na Manabii wa Mwenyezi Mungu walikuwa Dini gani? Kuanzia Adamu,Nuhu,Ibrahimu,Musa na Yesu,na wengine wengi Sikalibishi matusi ni kwa ajili ya kuelimishana tu,kama unajiona huna hoja baki kama msikilizaji
  19. Dasizo

    Hivi kati ya mwanamke na mwanaume nani anatakiwa kubadili dini ili aoe au kuolewa? Na kwanini?

    Naombeni mnisaidie kuna mdada nimempenda anakata kubadili dini anasema nibadili mimi .
  20. Hemedy Jr Junior

    Binadamu walifanya Ibada hata kabla ya hizi Dini

    Mwanzilishi wa Dini ya ukristo na uisalam ni mtu mmoja tena ni kwa lengo la utawala na biashara, hakuna cha ziada kuhusu uisalam na ukristo. Maandiko na dini ni vitu viwili tofauti.
Back
Top Bottom