Diamond Platinumz kuvaa rozali, amebadili dini au uislam unaruhusu?

Kwani tatizo nini ?
20230812_130315.jpg
 
Hizo rosari ndo ule msalaba anavaa sana mpaka vipuri vyake sio yeye mpaka harmonize yaani kawaida mtu anapiga kazi 😅😅
 
Rozari ni sala za bikira maria. Ukiona mtu yeyote amevaa Rozari anatambua umuhimu wa bikira maria.Msikilize shehe wako
 
Huyo ni msanii na mfanyabiashara Mkuu, kadri anavyozungumziwa ndiyo anazidi kuingiza pesa.

Unakumbuka ishu ya yeye kusoma Biblia kwenye lile tamasha lake la Mkesha wa Pasaka?

Mwaka 2009 wakati anatoa wimbo wa "nenda kamwambie" akaunti yake ilikuwa inasoma maybe 750,000 leo hii akaunti yake inasoma 19,659,064,550

Akili ndugu yangu, akili 🙌
 
Haya ndugu yetu yupo Mwanza huko anapiga shoo muda huu,ila nashangaa amevaa rozali..masharti ua chama yanampeleka vibaya huyu mtu au ni kuwa kachagua njia ambayo anaona ni sahihi kwake?
Hata tu kuimba nyimbo anakofanya, ni haramu kwa imani yake
 
Haya ndugu yetu yupo Mwanza huko anapiga shoo muda huu,ila nashangaa amevaa rozali..masharti ua chama yanampeleka vibaya huyu mtu au ni kuwa kachagua njia ambayo anaona ni sahihi kwake?
Weka picha wewe acha kua Zuzu unatuwekea udaku hapa weka Picha fasta au weka video sio unatuwekea porojo hapa hatutaki km huna picha huna video futa uzi
 
Haya ndugu yetu yupo Mwanza huko anapiga shoo muda huu,ila nashangaa amevaa rozali..masharti ua chama yanampeleka vibaya huyu mtu au ni kuwa kachagua njia ambayo anaona ni sahihi kwake?
unashangaa nini na ushamba wako huo, hivi huoni hata aibu kuandika hii post? Kwanini ufuatilie maisha ya mtu, we ulimmsilimisha kwenye uislam? Acha ushambenga mtoto wa kiume
 
Back
Top Bottom