dini

  1. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Clement Mzize abadili dini lakini nimeshangaa kumuona akipiga ishara ya msalaba baada ya mechi kumalizika

    Hii ilitokea baada ya mechi ya Mbeya city vs Yanga kumalizika juzi, ama kweli mazoea hujenga Tabia.
  2. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Mkush vs Ulimwengu na Walimwengu

    🥂RAHA YA KUwA MKUSHI 🥂 Wakushi asili yetu ni upendo hatubaguani tuna pendana 🥂Wakush hatuogopi kufa kwakuwa tunajua hii miili ni kama bodaboda tu tunapanda na kushuka 🥂Wakush tupo huru kifikra hatuabudu/kushadadikia vitu visivyo na ushahidi 🥂Wakush hatuna hofu ya mungu wa israel wala mungu...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini nawasihi kuandaa siku maalum kuliombea taifa.

    Naomba kuwasihi viongozi wote wa dini nchi Tanzania kuandaa siku maalum kuliombea taifa na kuwashtaki kwa Mungu wahusika wote kwenye ubinafsishaji huu utakaolitumbukiza taifa shimoni hadi vizazi vijavyo. Kwa waislam zisomwe albadir na kwa wakristo zigongwe kengele mara3 kuashiria msiba na...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi wote wa Dini iwapendeze kuteua siku maalum kwa ajili ya kumlilia Mungu aliponye taifa kwa yanayoendelea

    Kwa hali ilivyo nchini mwetu namna viongozi wetu wanavyoiendesha nchi, Kwa mikataba ya vificho yenye kuliingiza taifa kwenye hasara mfano ikiwa kuibinafsisha bandari yetu ambayo ni nguzo kuu ya uchumu wetu,na mikataba mingine mingi yenye agenda za Siri tusiyoijua. Iwapendeze viongozi wetu wa...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Alshabaab wajaribu kujilipua kwa Waethiopia na kukuta wamesubiriwa na kuwahishwa

    Magaidi wa alshabaab kule Somalia wenye mlengo wa dini walijaribu kuvamia kambi ya Wahabeshi, Ethiopians, walianza kwa kujilipua lipua ila wakakuta wamesubiriwa na kupokea kichapo..... ================== Ethiopian National Defence Forces (non ATMIS) , who are supporting the Federal Government...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tumtafute Mungu sana pia tutafute pesa kwa bidii

    MUOMBE MUNGU SANA TAFUTA PESA KWA BIDII: ayo mengine ACHANA nayo kwanza. Maisha yamebadilika Sana, nakumbuka wakati na kua, nyumbani kwetu, kulikua na desturi kuwa siku ya juma pili huwezi kwenda kwa mkristo ukamkuta anafanya kazi ngumu kama vile kulima, kukata majani ya ng'ombe pia hata...
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini susieni Mkutano wenu na RC Chalamila kwa kuwa ajenda yake ya Aibu imejulikana

    Ni aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia Samia apite bila kupingwa, hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja. Ni aibu kuhudhuria mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia CCM kubaki madarakani, ni aibu kwenu na ni aibu kwetu sisi waumini wenu...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kidini ya Spirit Word Ministry yafutiwa usajili

    Wizara ya Mambo ya Ndani imesitisha usajili wa Jumuiya ya kidini iitwayo Spirit Word Ministry iliyopo eneo la Stakishari Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam baada ya kubainika kutoa mahubiri na mafundisho yenye mwelekeo wa kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja. Waziri wa Mambo ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali ianzishe utaratibu wa kuwashughulikia viongozi wa dini wanaohatarisha maisha ya watu

    Kutokana na madhara yanayoendelea kuwapata watu kutokana na mafundisho au maelekezo ya baadhi ya Viongozi wa Dini kwa ajili ya kutimiza haja zao au kutimiza mahitaji yao na matamanio ya mioyo yao, imepelekea kuathiri maisha ya watu kwa namna moja au nyingine. Kutokana na athari hizo zinazo...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Maisha magumu ni sababu kubwa inayofanya watu waanzishe dini

    Ukiangalia kwa unfdani utaona kuwa dini nyingi ni matokeo ya maisha magumu. Kisaikolojia mtu akiwa frustrated na ugumu wa maisha huanza kuota ndoto za mchana na kufantasize maisha yasiyo na taabu. mifano mingi inaonyesha hivyo. 1. Kuanzishwa kwa dini ya kiyahudi: Kuna mtaalamu anasema kuwa...
  11. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni sahihi katika dini ya Uislamu???

    Kutoka nchini Marekani Pichani ni Imam Mwanamke Amina Wadud akiswalisha kundi la Wanaume, alianza kwenye kutafsiri Qur'an hadi kuwa Imam anayesimama mbele ya mamia ya Wanaume na anaongoza Sala ya Ijumaa. 👉 I mean no malice to nobody.
  12. TPP

    JamiiForums Tanzania Mwanachama wa chama cha kikomunisti cha China (CPC) haruhusiwi kuwa na dini. Kwanini?

    Ndio, mwanachama wa chama cha kikomunisti cha China haruhusiwi kuwa na dini kwa kuzingatia kanuni za kimarx za chama cha CPC. BEIJING - Wanachama wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) hawapaswi kuamini dini, ambayo ni kanuni inayopaswa kuzingatiwa kwa ujasiri, alisema afisa mkuu. Chama...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli dawa inaweza kutumika mwezi mmoja baada ya expiry date?

    Hiki kitu nimekikumbuka leo, kwa wahenga, Nakumbuka zamani miaka ya 1990 kurudi nyuma na kuendelea kulikuwa na hii Hospitali ya dini ya kanisa katoliki pale Iringa mjini, kitongoji cha kihesa. Tulikuwa tunaita jina la Mission Hawa bwana kuna wakati walikuwa wanatoa dawa zilizoisha mda wake kwa...
  14. 2013

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa taaluma katika vyombo vya habari vya dini

    Vipindi vingi vya Dini hususani vya Kikristo katika radio mbalimbali nchini vinaendeshwa na watangazaji ama wasemaji wasioweza kuzungumza lugha fasaha ya kiswahili. Inaonyesha hata wanao wasaili hawajui kama hawajui kiswahili Sanifu. Mfano, Unakuta mtangazani anatakiwa aseme Roho Mtakatifu...
  15. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua dini ya Kiafrika, nijiunge nayo

    Salam! Mimi ni Muumini wa uwepo wa Mungu. Lakini pia huamini dini ni njia ya kumfuata huyo Mungu. Na kila mazingira huwa na dini yao. Waarabu wana Uislam wao, Wayahudi wanayo yao, Wachina wanayo yao. Naombeni ya kwetu Waafrika au hata Watanzania ili niungane nayo!
  16. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Dini hairuhusu watu kusema uongo

    Kumekuwa na matatizo kuhusu Nusra,mwanafunzi wa UDOM. Habari zinasema mwanamke alikufa kwenye ile ajali ya Waziri. Polisi inaelekea wanaleta obfuscation. Badala ya kusema maneno kuuzima huu uvumi once and for all Polisi wanaleta ubabaishaji. Hawataki kuyamaliza haya maneno. They are just...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Kipi kati ya Shule au Dini kina uzito zaidi kwenye malezi ya watoto?

    Kati ya vitu hivi viwili, unadhani kitu gani kina uzito zaidi kwenye malezi ya watoto haswa kwa karne hii? Mambo ni mengi mno. Kuna haya mambo ya LGBTQ, kuacha kusoma ili kufanya biashara... ili ku"trade" au kubet.... wazazi wa sasa na watarajiwa wawekeze nguvu wapi sasa?
  18. ONJO

    JamiiForums Tanzania Hatutaki dini ndani ya serikali

    Wanaharakati vita yetu si ya damu na nyama,bali ni ya kutumia maarifa na ufahamu. Dua yangu ''Ee ulimwengu nifundishe niwe na maarifa,niendeleze akili yangu ili nipate hekima.'' Tanganyika ilipopata uhuru,viongozi wa kiislamu walikusanyika kwa nyerere kuona nafasi yao ndani ya serikali ni...
  19. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Ukristo ni Dini ya AMANI SANA, asikwambie mtu!

    Huu upande una raha sana asikwambie. ukikosea unasamehewa saba mara sabini.. unaingia kanisani Hata mara 1 kwa mwaka and no one cares.. Hakuna kufuatiliana hata ukibadili msimamo wako wa kidini na kwenda kwingine, ukirudi unapokelewa vizuri tu Mkristo kipindi cha mfungo hakuna purukushani za...
  20. aka2030

    JamiiForums Tanzania Mzize toka abadili dini kiwango kimeisha

    Ni kama laana sijui Hajafunga toka muda ule Anaruka ruka uwanjani Anabaki na kipa anakosa
Back
Top Bottom