diamond

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Diamond kwa sasa hana Baba, ukweli mchungu

    DIAMOND KWA SASA HANA BABA, UKWELI MCHUNGU. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Tahadhari: Makala hii inaweza isimfae kila mtu, kwani lugha iliyotumika humu inaweza kuwa kali na yenye kuumiza kwa baadhi ya watu. Hivyo ikiwa wewe unajijua sio mvumilivu wa lugha ngumu, maneno makali basi nakusihi ishia...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Harmonize amshukuru Diamond

    Kupitia Instagram ya Harmonize, Harmonize ameanza mwaka mpya kupitia kuandika ujumbe wake mrefu aliomuandikia Diamond kutoa appreciation yake kwa alichomfanyia mpaka kufika hapo alipo. NB: Kiukweli jamaa kafanya Jambo zuri kama alichokiandika kinatoka moyoni maana watu wa Mtwara hawaaminiki...
  3. Leak

    JamiiForums Tanzania Harmonize amtumia Diamond Platinumz ujumbe wa mwaka mpya kuhusu umuhimu wa wazazi

    Wasalaam wana jamvi Msanii Harmonize kupitia wimbo wake mpya wa "WAPO" AMEMTUMIA salamu za Mwaka mpya 2021 Harmonize amemkumbusha Diamond kuhusu umuhimu wa wazazi wote wawili hasa wakiwa hai kabisa. namnukuu anasema "Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia Wapende wote Sio wa kike anacheka wa...
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Diamond: Usitoe ngoma nyingine mpaka Juni 2021

    Hii ngoma yako " WAAH " ni ngoma kubwa sana. Subiri mpaka ifikishe views 1b ndo ufanye ngoma nyingine. Am sure as hell by the time inafika june WAAH itakuwa na viewers bilioni moja. " Papa Mobimba yooo, papa mobimba yooo x 2 " " darisalama ngwasuma"
  5. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Diamond naona anatuwakilisha vyema sana

  6. U

    JamiiForums Tanzania Show ya Diamond Platnumz yajaza watu 100,000 Sudan

    Hakika huyu kiumbe kashindikana. Hii ni zaidi ya ile ya kigoma
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kama Diamond anashindwa kumsitiri baba yake kwenye ukata utajiri wake una faida gani?

    Mimi Kama mzazi naumizwa kuona watu wamejaaliwa Mali lakini hizo fedha haziwezi kusaidia familia yake. Kama uwezi kusaidia familia yako unaondikaje kusaidia familia za wengine? Naomba niwakumbushe vijana; sote tuna dhambi na hakuna namna tutakwepa ilo. Wanaume wengi wametelekeza watoto na...
  8. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Wasafi TV inabidi mkajifunze kwa Clouds TV namna ya kurusha vipindi mubashara

    Hii media imekuja kwa kasi sana, kweli mmeweza kukamata pakubwa kwenye tasnia ya habari mawasiliano na burudani. Lakini bado mnasafari ndefu sana kufikia media zilizotangulia, msijione mnaweza kufika 10 kabla ya kuanza 1, ni vema kujifua zaidi kupata maujuzi kabla ya kuanza kufanya mambo ambayo...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ya colabo za TZ na Congo naona Diamond anaenda tena kuvunja rekodi yake ya views milioni 10 kwa siku 8

    Wiki hii Tanzania imeng'ara baada ya msanii wake Diamond kuweka rekodi ya kupata views milioni 10 siku ya 8 baada ya kutoa hit song aliyomshirikisha papaa mobimba KOFI OLOMIDE. Ngoma hiyo inayoenda kwa jina la WAAH ilitoka siku ya tarehe 30 Novemba muda wa saa 6 mchana na ikapata views milioni...
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa!

    Yaani katika dunia hii ya watu karibu takriban bilioni 8, nyimbo ya kijana wetu, mTanzania mwenzetu, Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa. Wizara ya maliasili na utalii itumie fursa hii adhimu kuiambia dunia kwamba Tanzania ina nini cha kuwapa watalii, maana kila mtu...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hesabu hazidanganyi: Ni kwanini Diamond kadanganya kafikisha views milioni 10 ndani ya siku saba?

    Hata nikikaa kimya kwajili ya utaifa au kuwa shabiki wa diamond, ukweli inabidi unyooke, nyeupe iwe nyeupe na nyeusi iwe nyeusi, hakuna kupindisha, nisipo sema nani atasema?? ukiingia mtandao >> huu << , utaweza kujua muda ilipopandishwa video, tunaona ya kwamba video iliwekwa tarehe 30...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania The 100 Most Influential Africans of 2020, Ni Hawa!, Kama JPM, Mo, Diamond, Samatta Hawapo, Then It Must Be Fake List!,ila Kuna Mtanzania 1, Gues Who?

    Wanabodi The much anticipated annual listing of the 100 Most Influential Africans of 2020 published by the continent’s premier pan-African publication, London-based New African magazine imetangazwa leo. List hiyo iliyogawanywa katika mafungu manne, four categories of Leaders; Pathfinders...
  13. DavidHard

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Diamond lakini kwa hili hapana...

    Diamond haina haja ya kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja na yote yakakosa ubora na ubunifu. Hiyo ni kutengeneza vitu vitakavyo ishi muda mfupi sana. Na ukweli unaujua kuwa watu wanapenda na ku support hivyo vitu vingi unavyovitengeza na kuvianzisha hata kama havina ubora. Si kwa sababu...
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mnaokosoa kolabo ya Diamond & Koffi msome HAPA

    Natumaini mko wazima. Kwanza nimshukuru Mungu kwa neema zake. Pia nitoe pole kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa kuingia mgogoro na wanachama wake nguli waliokipigania kwa muda mrefu. Siwezi kuongelea hilo hapa ila tambueni msimamo wangu ni kama wa Mh Ndugai na Mh Polepole. Leo nitaongelea...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Kibao hiki cha 'WAAH' chake Mwana Simba Mwenzangu Diamond akimshirikisha Koffi nasema 'Shikamoo' mno tu Kwake

    Huu Wimbo wa 'WAAH' ukiwa unapigwa au hata unausikiliza tu popote pale halafu huamki ama Kucheza tu au Kutikisika basi utakuwa na matatizo Kichwani au utakuwa ni mwana Yanga SC mwenye Roho Mbaya au utakuwa kati ya Team Kiba au Yule aliyetaka Kufa kwa Kuanguka kutoka katika Paa la Uwanja wa Mkapa...
  16. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Dunia Duara: Kofi kudhaminiwa na Diamond?

    Hakika dunia duara leo hii Mopao analetwa nchini na kupewa dili na mwanae? Tuheshimiane tu ndugu zangu dunia SI yetu
  17. The Dictator

    JamiiForums Tanzania AFRIMMA AWARDS 2020: Hongereni wasanii wetu Diamond, Zuchu na Nandi kwa kutuwakilisha vilivyo watanzania

    Napenda kuanza kwa kuwapa hongera wasanii wetu kwa kazi nzuri inayoonekana . Hakika juhudi inalipa. Katika utoaji wa tuzo hizo za AFRIMMA jana usiku wasanii Diamond, Nandi na Zuchu wamechukua tuzo za -: Best east Afrika awards ya (Female & Male - DIAMOND PLATNUMZ & NANDI). Huku tuzo ya -...
  18. aka2030

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli Nillan anafanana na Ivan sio Diamond

  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Waliokwenda kumuona Diamond tu wanyooshe mikono

  20. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuweka nyimbo za Diamond na kundi lake WCB kwenye cd,simu,pc wala flash..

    Labda mtu azikopi mwenyewe Au nizikute kwenye hiyo disk Au nizikilize radion Au zitumwe kwenye .agroup..... Yaani inshort ..sizielewagi tu... Katika nyimbo zake 1000+ nilizozisikiliza ni 3 tu ndio nilizielewa Lala salama Ukimuona Nataka kulewa Kamuharibu mpaka harmonize Wa aiyola,kidonda...
Back
Top Bottom