ki2c JF-Expert Member Jan 17, 2016 7,078 12,946 Nov 14, 2020 #3 Hatakama hafanani na Dai,ila Dai katambuliwa kama baba,na ni mwanae.
My Sons Legacy JF-Expert Member Feb 4, 2019 3,487 11,434 Nov 14, 2020 #5 Duuh kweli alooh, Dogo hajafanana na Diamond kabisa, Au mwamba hajafa ??
euca JF-Expert Member Apr 6, 2015 3,741 4,081 Nov 14, 2020 #6 Wabongo kukuza kuza mambo tu . haya mambo ni Magumu sana hata ukiwauliza wazazi wako watakuambia na ukiendelea kuwazawaza haya mambo utapata stroke.
Wabongo kukuza kuza mambo tu . haya mambo ni Magumu sana hata ukiwauliza wazazi wako watakuambia na ukiendelea kuwazawaza haya mambo utapata stroke.
aka2030 JF-Expert Member Jan 5, 2013 2,630 3,577 Nov 14, 2020 Thread starter #7 euca said: Wabongo kukuza kuza mambo tu . haya mambo ni Magumu sana hata ukiwauliza wazazi wako watakuambia na ukiendelea kuwazawaza haya mambo utapata stroke. Click to expand... Kama wewe najua sasa umeacha kufuatilia
euca said: Wabongo kukuza kuza mambo tu . haya mambo ni Magumu sana hata ukiwauliza wazazi wako watakuambia na ukiendelea kuwazawaza haya mambo utapata stroke. Click to expand... Kama wewe najua sasa umeacha kufuatilia
aka2030 JF-Expert Member Jan 5, 2013 2,630 3,577 Nov 14, 2020 Thread starter #8 Next Man said: Duuh kweli alooh, Dogo hajafanana na Diamond kabisa, Au mwamba hajafa ?? Click to expand... Alikufa akiwa ameacha mtoto
Next Man said: Duuh kweli alooh, Dogo hajafanana na Diamond kabisa, Au mwamba hajafa ?? Click to expand... Alikufa akiwa ameacha mtoto
stephot JF-Expert Member Mar 1, 2012 15,819 22,920 Nov 14, 2020 #11 aka2030 said: View attachment 1626069View attachment 1626070View attachment 1626071View attachment 1626072View attachment 1626073View attachment 1626074View attachment 1626075 View attachment 1626076View attachment 1626077View attachment 1626078 Click to expand... Nilifikiri niko peke yangu mwenye hayo mawazo...
aka2030 said: View attachment 1626069View attachment 1626070View attachment 1626071View attachment 1626072View attachment 1626073View attachment 1626074View attachment 1626075 View attachment 1626076View attachment 1626077View attachment 1626078 Click to expand... Nilifikiri niko peke yangu mwenye hayo mawazo...
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Apr 13, 2017 44,492 188,640 Nov 14, 2020 #12 Siri ya mtoto mama mtu ndio anajua!
Kiranga Platinum Member Jan 29, 2009 71,257 105,389 Nov 14, 2020 #13 Kichwa Kichafu said: Siri ya mtoto mama mtu ndio anajua! Click to expand... Kuna watu wana muda mchafu kweli. Yani nikae kabisa nianze kumchunguza huyu mtoto kafanana na baba gani? Labda kama kwenye familia yangu.
Kichwa Kichafu said: Siri ya mtoto mama mtu ndio anajua! Click to expand... Kuna watu wana muda mchafu kweli. Yani nikae kabisa nianze kumchunguza huyu mtoto kafanana na baba gani? Labda kama kwenye familia yangu.
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Feb 19, 2011 9,188 6,323 Nov 14, 2020 #14 Sasa hapa watanzania mnashabikia nini?
Mvumbo JF-Expert Member Aug 20, 2015 3,443 11,939 Nov 14, 2020 #15 Ni kwa sababu "nyuku" ilitumika pande zote kwa wakati mmoja hivyo sensor ikachanganya taarifa.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,204 128,012 Nov 14, 2020 #16 umemkwaza sana innocent dependent kwa hii thread yako.
aka2030 JF-Expert Member Jan 5, 2013 2,630 3,577 Nov 14, 2020 Thread starter #17 Beef Lasagna said: Mbona unateseka Click to expand... Habari yako mboso khan upo
aka2030 JF-Expert Member Jan 5, 2013 2,630 3,577 Nov 14, 2020 Thread starter #18 stephot said: Nilifikiri niko peke yangu mwenye hayo mawazo... Click to expand... Mtoto si wake aliuziwa jumba bovu na ndo maana hata huwa hampost sana nankumsema kama yule wakike
stephot said: Nilifikiri niko peke yangu mwenye hayo mawazo... Click to expand... Mtoto si wake aliuziwa jumba bovu na ndo maana hata huwa hampost sana nankumsema kama yule wakike
aka2030 JF-Expert Member Jan 5, 2013 2,630 3,577 Nov 14, 2020 Thread starter #19 Kiranga said: Kuna watu wana muda mchafu kweli. Yani nikae kabisa nianze kumchunguza huyu mtoto kafanana na baba gani? Labda kama kwenye familia yangu. Click to expand... Habari yako mwenye muda msafi unayesoma thread ya wenye muda mchafu
Kiranga said: Kuna watu wana muda mchafu kweli. Yani nikae kabisa nianze kumchunguza huyu mtoto kafanana na baba gani? Labda kama kwenye familia yangu. Click to expand... Habari yako mwenye muda msafi unayesoma thread ya wenye muda mchafu
Rabonn JF-Expert Member Nov 7, 2018 5,733 10,926 Nov 14, 2020 #20 Daudi Mchambuzi said: umemkwaza sana innocent dependent kwa hii thread yako. Click to expand... Ataumia sana jamaa
Daudi Mchambuzi said: umemkwaza sana innocent dependent kwa hii thread yako. Click to expand... Ataumia sana jamaa